Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Nani kakwambia kuwa mwanamke aliyeachika hataki kuolewa tena??
Wapo wanaachika na hawataki kuolewa tena , Allah hakujua hilo yeye akasema ili akurudie lazima akapigwe pipe kwanza ata kama mmeachana mwezi , lazima aende kwa mwanaume mwingine aolewe apigwe pipe ndio mrudiane 😂 🤣
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za Waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Hata wakristu wametuzidi mbali mfano mboga kama kitimoto haiihitaji mlolongo mrefu, watoto wa kike wanasoma maana hawaolewi wakiwa na miaka 9, na mwisho wamewazdi kumuachia Mungu wa kweli akapambane na mwenye kudhihaki dini yake siyo kumchinja kisa kadhihaki dini ya Mungu muweza wa yote anayestahili kutoa adhabu.
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za Waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
kabisa, uko sahihi. Wakristo wamecomplicate sana maisha na yanawashinda
 
Wapo wanaachika na hawataki kuolewa tena , Allah hakujua hilo yeye akasema ili akurudie lazima akapigwe pipe kwanza ata kama mmeachana mwezi , lazima aende kwa mwanaume mwingine aolewe apigwe pipe ndio mrudiane 😂 🤣
Umekazania kutumia neno "Kupigwa pipe " ili ionekane ni jambo baya wakati hata wewe ulipatikana baada ya mama yako kupigwa pipe na mzee wako?? Au hulijui hili?

Sheria imeshabainisha hivyo, Aliyetuumba ndio ameamrisha hivyo kuwa mwanamke ulishaachana nae kwa talaka 3 hupaswi kumuoa tena mpaka pale atakapoolewa na mwanaume mwingine na kisha akaachika. Period
 
Hata wakristu wametuzidi mbali mfano mboga kama kitimoto haiihitaji mlolongo mrefu, watoto wa kike wanasoma maana hawaolewi wakiwa na miaka 9, na mwisho wamewazdi kumuachia Mungu wa kweli akapambane na mwenye kudhihaki dini yake siyo kumchinja kisa kadhihaki dini ya Mungu muweza wa yote anayestahili kutoa adhabu.
Mbona daudi hakumuachia Mungu akapambane na goliath?? Mbona alisonga mbele vitani kwenda kupambana...ndio tuseme wewe ni mchamungu sana kuliko daudi?
 
Shida kubwa ipo hapa; kwa Wakristo mahari ni pesa/mali wanayolipwa Wazazi wa binti wakati kwa Waisilamu mahari ni pesa/mali ya binti anayeolewa hivyo kwa Waisilamu binti ndiye anayetaja thamani ya mahari yake mwenyewe, na jambo hili linatoa heshima kwa muolewaji kwani yeye akitaja mahari yake na ikiwa ni yake mwenyewe huyo binti anakuwa sio kama Bidhaa inayouzwa kwa mume tofauti na wazazi wakitaja na kupokea mahari ya binti yao ambapo inakuwa ni sawa wamemuuza binti yao kama Mbuzi kwa mume kitu ambacho wakati mwingine hupelekea mabinti kunyanyasika vibaya katika ndoa zao kwani unaweza kumsikia mume akimtamkia mkewe; "Mimi usinichezee unajua nimetoa kwa wazazi wako ngombe 100 kwa ajili yako??!"--- tena hapo mwanaume kafura kwa hasira kali kisa labda mkewe alijisahau kumtengea maji ya kuoga bafuni, 😀😀
Nini tafsri ya mahali? Ukimpa Binti hiyo pesa ni tofauti gani na aliyeko kwenye danguro anakutajia kiasi mnaenda kunyanduana baadae Yuko huko huru kusepa?? Wa kukolomea mkewe hivyo hajui tafsri ya mahali.
 
Okay usijali tupo hapa kuelimishana

Kama umemuacha na eda imeisha hapo INA maana huyo sio mkeo tena,Ila kama baadae ukaona Una mhitaji basi utalazimika kuanza process upya za ndoa na yeye aridhie kuolewa na wewe.

Kwahiyo haijalishi utakaa Mda gani mpaka ulete Hilo ombi lako la ndoa,cha muhimu ukitaka kurudiana nae basi itabidi umuoe upya.

Kwa faida zaidi,mke anayeachwa Kwa talaka moja au mbili,mume unaweza kumrejea Kwa kumuoa kama nilivyo sema hapo awali

Ila

Ukimuachia Kwa talaka tatu,na hapa talaka hazitoki zote Kwa pamoja laa,utaratibu ni kwamba unamuacha Kwa talaka moja,mbili mpaka zatimia tatu maana kuna wapuuzi huwa wanatoa tatu Kwa mpigo ambacho ni kinyume na sheria.

Sasa hiyo talaka ya tatu sheria inasema hivi,hapo hautaruhusiwa kumuoa mpaka aolewe na mume mwingine na akiachika ndio waeza kumuoa tena,ingawa kuna wapuuzi vile vile mke anampenda anakupanga wewe umuoe huyo mwanamke na kisha umuache kisha amuoe tena,hayo ni makosa,unaweza kutuficha Sisi wanadamu lakini Mungu anajua lengo lako na Nia yako.
Masha Allah!.
 
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha, siyo kesho tu akifariki asubuhi jioni anaweza kuzikwa kama hakuna vikwazo vya aina yoyote ile.
 
Binafsi ningepata pis ya kiislam aaaaahhhh chap tu mambo yangeisha.......huku wakristu walinambia mahari mil.2 nikajiuliza hiyo ndoa itakuwa ya bei gani.......mwanamke kuolewa ni kama stara kwake kwaio akipatkana bahatia kauelewa mzigo waislam hawana mambo mengi unakabidhiwa jiko watu wana piga ubwabwa mbaazi au chai andazi shekhe anachkua cha kwake maisha yanaendelea........ije pis ya kiislam nabadili dini fastaaa
Kuna binti wa kiislamu kaolewa Kwa mahali ya milioni 3 niliona mwenyewe karatasi la makubaliano sheikh Katia na mhuri
 
Umekazania kutumia neno "Kupigwa pipe "

Sheria imeshabainisha hivyo, Aliyetuumba ndio ameamrisha hivyo kuwa mwanamke ulishaachana nae kwa talaka 3 hupaswi kumuoa tena mpaka pale atakapoolewa na mwanaume mwingine na kisha akaachika. Period
Kwa nini kupigwa pipe ni muhimu , ata kama umemuacha ndani ya mwezi mkataka kurudiana lazima mwanaume mwingine achomeke pipe kwanza akimuoa bila kumpiga pipe hairuhusiwi
Kumbuka Huyu Mama aliolewa na Abdur Rahman kwa kijanja ili aachike arudiane na Rifa , Muhammad akasema hawezi kurudi kwa Rifa mpaka apigwe pipe na Abdur 🤣 🤣 pumbavu kabisa

Kisa kilicho leta hiyo Sheria
Rifa alimpa talaka mke wake badae huyu mwanamke akaolewa na adburrahman, huyu mwanamke akawa anapoke kipigo kutoka kwa abdul mpaka akawa wa kijani , akaenda kwa Muhammad kushtaki , muhammad hakujali kipigo alicho pewa ila akamwambia kama unataka kumuacha abdul urudi kwa rifa lazima abdul apige machine kwanza ndio urudi kwa mume wako wa mwanzo,
...."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari
 
Wa kristo kitendo cha kuweka taraka kuwa ngumu ndio wanaopelekea kuuwana kila siku,ila huwezi kuta waislam wanauwana kwa sababu mkichokana kila mtu anatafuta safari yake
Ukikuta wakristu wanauana kisa ugumu wa taraka ujue Kuna waislamu wanamwagana utumbo kisa misimamo mikali.
 
Huyo rafiki yako alijitesa tu nafsi yake kwa complications kama wanavyofanya baadhi ya Waislam ku complicate. Ukweli ni kuwa katika Uislam hakuna complications katika mambo ya ndoa. Ni taratibu za kishariah zinafuatwa ndoa inafungwa haraka bila complications tunazojiwekea wenyewe.

Pia mazishi katika Uislam yanatakiwa yaharakishwe, haijalishi uwezo. Wanakufa wafalme katika nchi za Kiislam ambao ni matajiri kweli kweli na wanazikwa siku hiyo hiyo. Unataka kuniambia hawajiwezi. La! Bali ndio utaratibu wa kiislam.

Jami` at-Tirmidhi 1075
Ali bin Abi Talib narrated that:
The Messenger of Allah said to him: "O Ali! Three are not to be delayed: Salat when it is due, the funeral when it is presented, and (marriage) for the single woman when someone compatible is found."

حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ، حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ وَهْبٍ، عَنْ سَعِيدِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ الْجُهَنِيِّ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ عُمَرَ بْنِ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ لَهُ ‏ "‏ يَا عَلِيُّ ثَلاَثٌ لاَ تُؤَخِّرْهَا الصَّلاَةُ إِذَا آنَتْ وَالْجَنَازَةُ إِذَا حَضَرَتْ وَالأَيِّمُ إِذَا وَجَدْتَ لَهَا كُفْؤًا ‏"‏ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ غَرِيبٌ وَمَا أَرَى إِسْنَادَهُ بِمُتَّصِلٍ ‏.‏

Grade:Sahih (Darussalam)
Reference: Jami` at-Tirmidhi 1075
In-book reference: Book 10, Hadith 111
English translation: Vol. 2, Book 5, Hadith 1075
Muhammad alizikwa mapema ili afufuke lakini wapi!
 
Kwahiyo Mo na Bwana Asas ndo kiigizo kwa Waislamu?
Mwenye akili havuti mizigo mingi ndani! Hz ni za wazinzi, mfano wewe kitoto Cha miaka 9 kinakutamanisha na nini Bado kinanuka mikojo??? Sasa Kuna role model wa watu alioa kitoto Cha miaka 9 kisa wa 18+ washazibuliwa wote
 
Katika majibu yake hajakosea sana.

Ni kwamba hali ya ustahimilivu ya wanawake wengi kwenye matukio ya simanzi na majonzi katika misiba hususan vifo sio sawa na ustahimilivu (forbearance) kwa wanaume, wanaume tumeumbwa kuhimili na kustahimili shida, mateso, adhabu na kila aina ya mikasa na matukio mabaya na katika hili sina haja ya kueleza kwa kirefu kwani ni jambo linalofahamika sana.
Ni kutokana na hali hiyo ndio maana wanawake katika Uisilamu wamezuiliwa kuhudhuria katika maziko makaburini, baada ya taratibu za maziko kukamilika kinachofuata ni shk kutoa nasaha kwa waliohudhuria na mwishowe hufanywa maombi ya pamoja kwa ajili ya marehemu na matukio yote hayo yanahitaji hali ya utulivu, sasa tuseme wawepo wanawake watatu tu ambao wanaouhusiano wa karibu sana na marehemu na wakashindwa kustahimili kumuona mpendwa wao akifukiwa ( japo kishakuwa maiti) hali itakuaje??!! Pia Kumbuka kwamba wanawake wanayo tabia ya kuambukizana vilio, yaani akianza mmoja kulia na kugalagala basi sehemu kubwa ya waliopo nao wataanza kulia na kugalagala katika hali hiyo kazi itakuwa mara mbili, kwanza kuwadhibiti hao wanawake na pili kumzika/kumsitiri huyo marehemu, sasa shida yote hiyo ya nini??-- ndio maana katika Uisilamu kina mama wakakatazwa kuhudhuria kwenye maziko/makaburini.

Ni hicho tu lakini kusema kwamba hao wanawake kwa kugalagala watamuongezeaa adhabu marehemu hiyo sio kweli.
Sababu za kitoto kabisa! Wanaohuaisha wanawake katka maziko hayo hayafanyiki? Sema kama Kuna agenda za Siri.
 
Sheria sio ya Muhammad bali ni Sheria ya mwenyewe MUNGU!

Mtume Muhammad (peace be upon him) katumwa kama mjumbe wa Mungu kuja kutubainishia haki wanaadam.

Na sheria ya ndoa ya uislam inatambua talaka 3 , pindi mume anapompa mkewe talaka tatu hatakiwi aendelee nae mpaka aolewe na mtu mwingine endapo huko akiachika pia kwa talaka 3 ndipo huyu wa kwanza ataruhusiwa kumuoa upya huyo mwanamke.
Hatari sana
 
Yalinenwa pale KKKT ya Kijitonyama mkuu kapewa adhabu ya benchi! Kumbe ni kweli. Hivi karejeshwa??
Dunia bhana, kumbe Hilo mlilishika sana ila aliyesema misikiti aifanye kuwa Sunday school hamkulijali!
 
Back
Top Bottom