Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?


Mkuu habibu Hanga kwanza nakupongeza kwa kumpa ugali kijana ila kuna malalamiko yako hapa!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

El Chapo![emoji1591]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chief unaweza nipatia mwongozo juu ya forex natamani sanaa hii biashara

mwanabhonga
Ni biashara ambayo inavutia ukiangalia unaweza kuona kama kesho utatajirika lakini kiukweli ukisoma kwa kina huo utajiri hauonekani, kwasasa sio kitu cha ajabu sana kuna machapisho mengi na video nyingi kuhusu hiyo biashara so kama umevutiwa unaweza kupata maelezo mengi mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio biashara ya kila mtu....
wachache sana ulimwenguni wanatengeneza faida hapo....
ni biashara kama biashara zingine....
mfano leo hii ukisema ukauze mbao ama ukalime ama ukanunue na kuuza dhahabu....
unaweza ukapata hasara.....
at the some time kuna wengine wanatengeneza big profit....
kwenye hiyo biashara ambayo ww umeshindwa
 
Mwambie. Watu tunateseka sana lakini tukikumbuka fadhila tulizopata wakati tunasoma hadi kupata hiyo digrii tunakuwa wapole tu, hakuna namna. Unakuta katika ukoo mzima ni wewe tu uliyesoma na kubahatika kuingia kwenye payroll (ya Magufuli) halafu ukoo wote unakutazama wewe. Na inakuwa kama vile matatizo yao yanaotea wakati ukiwa na hela nyingi na matatizo nayo yanakuwa mengi....unajikuta unagawa mpaka zinaisha unabaki tupu. Na ukiangalia kweli wana matatizo makubwa ambayo huwezi kukwepa. Wewe acha tu, hizi shida zinatutesa sana I see!
 
Kashanipiga mzinga wa Kama lakini tano kasoro, nimemwambia asubiri hela zangu za likizo zikitoka tu ntampatia hiyo Laki tano kasoro
Hahahaha! Wewe endelea kujipigia mbunye taratibu mkuu....ikifika wakati wa likizo utatafuta gia nyengine ya kutokea 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hahahaha! Wewe endelea kujipigia mbunye taratibu mkuu....ikifika wakati wa likizo utatafuta gia nyengine ya kutokea 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mkuu mbunye bado Sijapata, Ndiyo nabuni njia ya kuipata mbunye
 
[emoji1][emoji1][emoji1]...uache kununua mawe. Anyways, Asante sana kwa maelezo yako mujaarabu.
Nimejifunza kitu.

I moved your cheese!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…