Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Na mkakati uliopo ni kuwanyima huo uwezo wa kurusha vitu vyao hovyohovyo, mwisho wa siku jeshi la yahudi litaanza kupita nyumba kwa nyumba ndani ya iran kuwakamata akina khamenei
 
Hata Syria wafungwa wengi wa magereza walishiriki uasi wa kumpindua Assad.
Na wengi wa wafungwa wa Iran walikuwa wanapinga uongozi uliopo wa Ayatollah na wenzake.

Hivyo wakiachiwa huru wakapewa na silaha panapendeza.
 
Viongozi wa Iran walikimbilia jera bila kupenda mwamba kawanasa uko uko tu MWENDO w kupeleka Moto tu.
KAZI ni kipimo cha utu
 
kama huna uhakika na taarifa usiilete hapa, "Sasa unaposema Kuna taarifa" taarifa inatoka wapi.. Kila mtu alianza kusema Kuna taarifa si tunaweza kupokea taarifa nyingi hapa?

kwenye hivi vita Kuna vyanzo vya kuaminika unaweza kupata taarifa na ukaziamni na ukaleta hapa sio tu kuanza Kwa kusema Kuna taarifa, taarifa inatoka wapi?????
 
Inaonakana kuna taarifa nyingi za Iran zinavujishwa kwenda Israel
Kuna kitu kinaitwa propaganda kwenye vita unaijua hiyo kiongozi??

Kuna watu kabisa kipindi Cha vita wanapangwa Kwa ajili ya kueneza hizo propaganda na Zina kaz yake.

kwahiyo sio Kila taarifa unayopewa ni ya kweli jaribu kuchunguza
 
In times of war the biggest casualty is 'truth'
Ayatollah anasema Tell Aviv inateketea
Bibi anasema kazi waliyoanza Iran karibu wanaimaliza.
 
Utajijua mwenyewe
 
Kuna kitu kinaitwa propaganda kwenye vita unaijua hiyo kiongozi??

Kuna watu kabisa kipindi Cha vita wanapangwa Kwa ajili ya kueneza hizo propaganda na Zina kaz yake.

kwahiyo sio Kila taarifa unayopewa ni ya kweli jaribu kuchunguza
Tofauti ya propaganda na ukweli ni kuwa Propaganda huwa haina matokeo

Ni taarifa hewa cha kweli huwa na ushahid9 wa wazi wa kuona kwa macho kabisa

Hapo gereza linaungua sio propaganda
 
Nina uhakika kukiwa na sehemu mbili tu za kuchagua kuishi duniani kati ya Iran na Israel utakimbilia Jerusalem au Tel Aviv badala ya Tehran kwa Ayatollah.
 
Ina uhusiano gan na hii vita inayoendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…