Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wanapenda kuwaonea wanyakyusa bure wakati mbeya tupo wandali,wanyiha,wasafwa,wanyamwaga,wanyakyusa na wengine wengi.
Kabisa ukisema tu you're from green city basi wewe ni mnyakyusa na sifa zote mbaya ni zetu aargh tunaonewa sana Sisi
 
Kama anamapungufu hayo lakini hachepuki kaa nae.. tafuta namna nzuri ya kumfundisha kupika, Jay-Z kaishi na Beyonce miaka yote lakini alimkuta Beyonce hajui kupika sijui Kwa sahivi

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Khaa kwahiyo ukiwa Mbeya hiyo hela huwezi kutuma? Ndiyo muone raha ya kulazimisha mtu afanye majukumu yake hata kama haiwezekani kwa muda huo yaani that is exactly how women feel pale mumeo anapokuambia "mimi hata kama unafanya kazi na unarudi usiku majukumu yako lazima ufanye"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…