Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wanapenda kuwaonea wanyakyusa bure wakati mbeya tupo wandali,wanyiha,wasafwa,wanyamwaga,wanyakyusa na wengine wengi.
Kabisa ukisema tu you're from green city basi wewe ni mnyakyusa na sifa zote mbaya ni zetu aargh tunaonewa sana Sisi
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Kama anamapungufu hayo lakini hachepuki kaa nae.. tafuta namna nzuri ya kumfundisha kupika, Jay-Z kaishi na Beyonce miaka yote lakini alimkuta Beyonce hajui kupika sijui Kwa sahivi

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Kama si kukosa akili ni kitu gani? Yani ikitokea tatizo ambalo unaweza solve immediately ni mpaka umsubiri mume? Mtoto kaumwa ghafla unamsubiri babaake atoke Safarini Mbeya ili aje amtibie mtoto.

Sometimes mjitahidi kuficha ujinga wenu jamani[emoji41] ndoa is a bond between two people ambao mmeamua ku partner kimaisha.
Khaa kwahiyo ukiwa Mbeya hiyo hela huwezi kutuma? Ndiyo muone raha ya kulazimisha mtu afanye majukumu yake hata kama haiwezekani kwa muda huo yaani that is exactly how women feel pale mumeo anapokuambia "mimi hata kama unafanya kazi na unarudi usiku majukumu yako lazima ufanye"!
 
Back
Top Bottom