Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Ahaaahaahaaa umegonga mle mle[emoji38][emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji16][emoji16]
Eeh... halaf hata hawanywagi bia nyingi. Na hawaendagi kidimbwi. Wanaenda zao serena huko na kempisk wanakunywa whisk ama imported bia 2 tu wanaenda kulala na wanaamka alfajiri lwa siku mpya. Hawanywagi bia nyingi kama wanaume wa mbagala waliozivamia kwenye harusi.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Big up Karucee ni ajabu mwanaume kulia lia eti amekosea kuoa, mwanaume mwenye akili timamu hawezi kukose akuoa
 
Umechoka na kuchokwa nikiendelea na comment zangu hzi huko uliko hapakaliki coz unapigwa za uso we RUTU
 
Weweeeee... almost 80% of the women are singo mazaz. Mama zetu, dada zetu, shangazi zetu including wakwako etc etc. Singo maza ndo mashujaa zetu wametulea mpaka hapa. Singo maza siyo matusi. Hata sisi wasimbe tuko hapa. Hatujazaa ila mtaumia na vizazi vyetu bado. Na hata wewe yawezekana ni singo faza ama msimbe mwenzangu.. punguzaa hasiraa weweeee... masingo faza mumejaa humu kibao[emoji23][emoji23] njoo unipige...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Rey unajua why una upeo huu??

You are an adult and matured. Hivi vitoto humu tunaviangalia tu vinavyojiropokea!

Usiku Mwema
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji1787][emoji849][emoji1787]

Hii mijanaume inayoropoka humu ni zao la single mom's inaowatukana kila uchwao shiiit[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Reymage kwa hoja hizo hapo juu naomba kujua nikutumie pesa ya mafuta ya full tank kwa namba ipi mkuu?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji1787][emoji849][emoji1787]

Hii mijanaume inayoropoka humu ni zao la single mom's inaowatukana kila uchwao shiiit[emoji57][emoji57][emoji57]
Sanaaa. Masingo fazas kibao humu na mia ya matumizi hawatoi. Yet yanatukana tu. Heshimunk hawa singo mazaz. Hawakutoa mimba za wanenu. Nyie wenyewe ni mazao ya mama zenu kuwa singo. Ila kuutwaaa kuwasengenya mabinti za watu. Nachowapendeaga singo mazaz wanajipendaaa. Watoto wao wanasoma shule nzuriii. Wanapendezaaa. Wanavaa vizuri balaa[emoji28] wanapambana mno. Heshima kwenu singo mazaz. Vizazi mnavyo. Sisi ambao hatujaenda leba tunawaheshimuni sana[emoji3059][emoji3059]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…