miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Wewe boxer zako za wasafi zakutosha tu[emoji23][emoji23]Huo ndo ukweli
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe boxer zako za wasafi zakutosha tu[emoji23][emoji23]Huo ndo ukweli
Eeh... halaf hata hawanywagi bia nyingi. Na hawaendagi kidimbwi. Wanaenda zao serena huko na kempisk wanakunywa whisk ama imported bia 2 tu wanaenda kulala na wanaamka alfajiri lwa siku mpya. Hawanywagi bia nyingi kama wanaume wa mbagala waliozivamia kwenye harusi.Ahaaahaahaaa umegonga mle mle[emoji38][emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji16][emoji16]
Big up Karucee ni ajabu mwanaume kulia lia eti amekosea kuoa, mwanaume mwenye akili timamu hawezi kukose akuoaSibishani na wewe.
Inatosha kusema kwamba wanaume wanaosimama kama wanaume hawawezi kulia lia kisa wapo na wake zao ambao wamesoma na wanapiga hela ndefu.
Na Wachagga wanaongoza kwa support wanayowapa wake zao sasa wewe Kongomani hebu tupumzishe na uturudishie jina letu na si tafazali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carihaa wanakuharaaa. Umetoka tu wameanza kujiachiaa[emoji23][emoji23]Napenda hii post aione cariha maana nimefuatilia comment zake inaonekana ana ugomvi na wanaume
Umechoka na kuchokwa nikiendelea na comment zangu hzi huko uliko hapakaliki coz unapigwa za uso we RUTUSibishani na wewe.
Inatosha kusema kwamba wanaume wanaosimama kama wanaume hawawezi kulia lia kisa wapo na wake zao ambao wamesoma na wanapiga hela ndefu.
Na Wachagga wanaongoza kwa support wanayowapa wake zao sasa wewe Kongomani hebu tupumzishe na uturudishie jina letu na si tafazali
Phaller weweWewe boxer zako za wasafi zakutosha tu[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Weweeeee... almost 80% of the women are singo mazaz. Mama zetu, dada zetu, shangazi zetu including wakwako etc etc. Singo maza ndo mashujaa zetu wametulea mpaka hapa. Singo maza siyo matusi. Hata sisi wasimbe tuko hapa. Hatujazaa ila mtaumia na vizazi vyetu bado. Na hata wewe yawezekana ni singo faza ama msimbe mwenzangu.. punguzaa hasiraa weweeee... masingo faza mumejaa humu kibao[emoji23][emoji23] njoo unipige...Nashangaa hii mada ni kwaajili ya WANAUME WALIOKOSEA KUOA... Lakin yanakuja manamake manungayembe yaliyoshindikana kwa tabia zao chafu huko... inawezekana hata na yenyewe yameisha achika huko na sasaiv ni masingo maza, yanatetea ukubuhu wao kwa nguvu sana [emoji706][emoji706][emoji706] Idiots!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka nikulishe mpenzi wangu[emoji23][emoji23] una njaa sana. Umekula?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Rey unajua why una upeo huu??Nataka kusema kitu kimoja
Wadogo zangu mlioolewa na msioolewa ndoa ni sacrifice kwa mwanamke!
Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke,tunafeli kutaka kua sawa na wanaume.Hiko kitu hakipo na hakitakaa kiwepo hata usome mpk wapi au uwe na mshahara billions of cash...!!!Labda uolewe na wazungu hukoo au mukubaliane kimkataba b4 hamjaona kua mtaishi kizungu zungu ila hawa wa kitanzania utaenda kazini,utarudi na utamhudumia yeye binafsi uchoke usichoke utajiju.
Ukihisi huwezi kumtake care mwanaume au unapretend ukiolewa unaonesha makucha yako mtashindwana mwisho kutafutiana lawama kuzungushana mahakamani Bure.
Kingine hakuna mwanaume anapenda mkewe amzidi kipato ikitokea ndo hvyo atakubali lakini wengi inakua shida plus mawivu na maugomvi.
So choose wisely mwenza wako,na Mungu awasimamie sana.
Ndoa ni changamoto sana,siku hizi sihukumu wanandoa mmegundua wake na waume wotee vimeo Siku hizi.
Kiongozi, sasa huoni kama mtakua mnatesa tu watoto wasio na hatia yoyote?Tuendelee kuongeza single maza mtaani ndo dawa yao.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji1787][emoji849][emoji1787]Weweeeee... almost 80% of the women are singo mazaz. Mama zetu, dada zetu, shangazi zetu including wakwako etc etc. Singo maza ndo mashujaa zetu wametulea mpaka hapa. Singo maza siyo matusi. Hata sisi wasimbe tuko hapa. Hatujazaa ila mtaumia na vizazi vyetu bado. Na hata wewe yawezekana ni singo faza ama msimbe mwenzangu.. punguzaa hasiraa weweeee... masingo faza mumejaa humu kibao[emoji23][emoji23] njoo unipige...
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hana ishu huyo.Carihaa wanakuharaaa. Umetoka tu wameanza kujiachiaa[emoji23][emoji23]
Njoo mama.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Jidanganye tu.Umechoka na kuchokwa nikiendelea na comment zangu hzi huko uliko hapakaliki coz unapigwa za uso we RUTU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carihaa wanakuharaaa. Umetoka tu wameanza kujiachiaa[emoji23][emoji23]
Njoo mama.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Reymage kwa hoja hizo hapo juu naomba kujua nikutumie pesa ya mafuta ya full tank kwa namba ipi mkuu?Nataka kusema kitu kimoja
Wadogo zangu mlioolewa na msioolewa ndoa ni sacrifice kwa mwanamke!
Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke,tunafeli kutaka kua sawa na wanaume.Hiko kitu hakipo na hakitakaa kiwepo hata usome mpk wapi au uwe na mshahara billions of cash...!!!Labda uolewe na wazungu hukoo au mukubaliane kimkataba b4 hamjaona kua mtaishi kizungu zungu ila hawa wa kitanzania utaenda kazini,utarudi na utamhudumia yeye binafsi uchoke usichoke utajiju.
Ukihisi huwezi kumtake care mwanaume au unapretend ukiolewa unaonesha makucha yako mtashindwana mwisho kutafutiana lawama kuzungushana mahakamani Bure.
Kingine hakuna mwanaume anapenda mkewe amzidi kipato ikitokea ndo hvyo atakubali lakini wengi inakua shida plus mawivu na maugomvi.
So choose wisely mwenza wako,na Mungu awasimamie sana.
Ndoa ni changamoto sana,siku hizi sihukumu wanandoa mmegundua wake na waume wotee vimeo Siku hizi.
Sanaaa. Masingo fazas kibao humu na mia ya matumizi hawatoi. Yet yanatukana tu. Heshimunk hawa singo mazaz. Hawakutoa mimba za wanenu. Nyie wenyewe ni mazao ya mama zenu kuwa singo. Ila kuutwaaa kuwasengenya mabinti za watu. Nachowapendeaga singo mazaz wanajipendaaa. Watoto wao wanasoma shule nzuriii. Wanapendezaaa. Wanavaa vizuri balaa[emoji28] wanapambana mno. Heshima kwenu singo mazaz. Vizazi mnavyo. Sisi ambao hatujaenda leba tunawaheshimuni sana[emoji3059][emoji3059][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji1787][emoji849][emoji1787]
Hii mijanaume inayoropoka humu ni zao la single mom's inaowatukana kila uchwao shiiit[emoji57][emoji57][emoji57]