DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Nimeuliza umri ili niweze kujua una experience gani katika maisha na niweze kuacha kupoteza muda. Kuna hatari nyingi sana katika maisha kama vile za gari, boda boda na nyingi nyingine zote ni hatari tu.

Watoto wetu lazima wafundishwe na kuna njia mbali mbali. Moja wapo walioamua walimu kuitumia ni hiyo na nakuhakikishia ni most effective kwa watoto hao ambao walikuwa wanaona aibu kutupa pedi zao sehemu tengefu na kuamua kutumbukiza chooni.

Maana kuna ambao walikuwa wanazitoa pedi hizo hizo walizotupa hao watoto kwa mikono.
Je mpaka leo huyo mtoto amepata madhara gani?
Unadhani atatupa tena pedi chooni au kumuona mwenzake anatupa na kukaa kimya?
 
You are right, tusipotezeane mda unawaza kushoto nawaza kulia.


Kosa la mjinga mmoja unaadhibu wengine tena unahatarisha maisha yao. Unaaanza kuzungunzia hatari za magari, vitu ambavyo viko.nje ya mada husika
 
Fundisheni watoto wenu jinsi ya kuhifadhi pedi zilizotumika..solution ndio hiyo tusikwepe majukumu.
 
Fundisheni watoto wenu jinsi ya kuhifadhi pedi zilizotumika..solution ndio hiyo tusikwepe majukumu.
I can't argue with you Demi, kwa sababu uliona sawa kushikishwa pedi shuleni.

Binafsi sijapenda pedi itupwe chooni na asiyejulikana, anaweza akawa mmoja wa hao walimu. Uitishe watoto shule nzima uwape adhabu ya kushika pedi yenye maji ya chooni plus damu


Sio sawa hata kidogo. Kiafya watoto unawahatarisha kesho anakuja kuwa mkubwa anafabya haya kwa watu wengine.
 
Mfano ni bweni la wanafunzi..utasemaje inawezekana ni mwalimu?
Hakuna ugonjwa wowote wanapata unakuza tu mambo mkuu.
Hiyo adhabu inasaidia kukomesha tabia mbaya.
 
Mfano ni bweni la wanafunzi..utasemaje inawezekana ni mwalimu?
Hakuna ugonjwa wowote wanapata unakuza tu mambo mkuu.
Hiyo adhabu inasaidia kukomesha tabia mbaya.
Unatolea kwa mfano sasa hapo kama iko bwenini.

Humu ndani nishaona mind-set za watu wengi. Unakuta mtoto wa kike anabakwa tena wanawake wenzake wanakuwa wa kwanza kusema kataka mwenyewe

Sikuzi mambo. Kuna magonjwa mengi sana yanapatikana kwenye damu. Leo hii huwezi kumshikisha mtu damu ya mwingine. Haliwezi kuwa jambo la kawaida hata kidogo

I see no body is answering my previous question. Dunia ya sasa ya magonjwa sio sawa
 
Walimu wapo sahihi.

Sasa akitupa chooni nani aje aishike?

Hiyo adhabu ipo sawa ili kusudi wajue ubaya wa kutupa chooni.

Hapo wamefundishwa kwa vitendo.

Hiyo Pedi lazima ametupa mmoja wao hivyo walipaswa wamtajekama alikosekana basi inakuwa adhabu ya wote.

Hivyo sioni tatizo hapo kama wakiona ni kimyaa basi wasingetupa.

Sasa ulitaka nani ateuliwe kwenda kuitupa? Na kigezo kipi hao Walimu wangekitumia Kuteua ?

Huyo mfanyakazi yeye ndo Kila siku ashike Pedi?
 
Kubakwa kwa kutaka mwenyewe inategemea umri na mazingira aliyobakwa.
 
Mfano ni bweni la wanafunzi..utasemaje inawezekana ni mwalimu?
Hakuna ugonjwa wowote wanapata unakuza tu mambo mkuu.
Hiyo adhabu inasaidia kukomesha tabia mbaya.
Hajielewi huyo achana nae.

Vyoo vya Walimu hawashehi na Wanafunzi.

Yaani Mwalimu wasitupe kwenye vyoo vyao waende kutupa vya Wanafunzi huyo anajielewa kweli?

Aadhabu walipewa ni sahihi ili wajifunze na wasirudie tena na Kila mmoja atakuwa mlinzi wa mwenzako.

Nawewe ulienda kufanya fujo shuleni ulikuta Walimu wa like peke Yao ungekutana nawalimu waliopinda na madaraja hawajapandishwa wangekufunga kamba na kukuitia polis na kukupa kesi ya kuvamia taasisi na kufanya fujo
 
Ufaulu wako mkuu ulikuwaje hapo temeke maana wewe ulikuwa unajitambua?
 
Mfano ni bweni la wanafunzi..utasemaje inawezekana ni mwalimu?
Hakuna ugonjwa wowote wanapata unakuza tu mambo mkuu.
Hiyo adhabu inasaidia kukomesha tabia mbaya.
Kuhusu vyoo uko sahihi ila kuhusu maradhi wanapata.
Tazama hiyo pedi ambayo ina damu iloganda pamoja na uchafu mwingine maji maji yake yakipita katika mikono ya huyo mwanafunzi yatazalisha ugonjwa gani.
Kuna FUNGAL,BACTERIAL NA VIRUS INFECTIONS wanaweza kupata.
Msilete ubishi wa kitoto.
 
Yaani mwalimu atupe pedi kwenye vyoo vya wanafunzi? Umesomea wapi wewe ambapo walimu na wanafunzi walitumia choo kimoja?
 
Yaani mwalimu atupe pedi kwenye vyoo vya wanafunzi? Umesomea wapi wewe ambapo walimu na wanafunzi walitumia choo kimoja?
Shule za government walimu wanatumia vyoo na wanafunzi kwa asimilia kubwa huko vijijini.

Ila kwa sababu unapenda ugomvi tusipoteze mda tumalize mjadala umeshinda wewe
 
Kwahiyo hao watoto wamepata ugonjwa gani hadi sasa? Unaweza kuthibitisha?
 
 
Vyoo vya shule hudekiwa kwa sabuni kila siku na sabuni huua bacteria na vijidudu vingi vya magonjwa. Kwa akili ya kawaida ilikuwa sawa mwalimu angezitoa hizo pedi na asifanye chochote kwa wanafunzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…