fukunyuku1234
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 243
- 494
Poa kwaheri siku nyingine usirudie kurukia rukia comment za watu uwe unapita kimya kimyaSawa mkuu!
Walitukanaje ili tuweze kushiriki pamoja hii hoja jamani?!Wanaharakati ndio zao, hukaa kimya pale upande wanaoupinga ukiwa unadhalilishwa kwa matusi ya nguoni, "mara nyingi Wanaharakati hawako "centered " katika harakati zao, huu ndiyo upumbavu wao!
Ukishaandika inakuwa public, nina uhuru wa kukomenti ili mdari nisivunje sheria.Poa kwaheri siku nyingine usirudie kurukia rukia comment za watu uwe unapita kimya kimya
Rukia mkeo umpe raha
Mange 10 Chawa 0 ubao unasoma hivyo leo usirudie kuita watu wajinga wakati wanawapa ukweli
hujui chochote kuhusu haki za binaadamu na utawala bora. wewe unajua kushangilia mauaji ya watu kama kule MKIRUUnazungumzia kile kituo cha mchongo cha kina magoti na mstaafu bi simba mbona kile ni chama cha siasa kilichojificha kwenye kivuli cha haki za binadamu kuna wapuuzi wao wakiguswa haraka utawasikia!
Wala sitaki kuzijua za hapa bongo kwa sababu ni za kinafiki na uhanithi mtupu kama walivyo wanaharakati wao!hujui chochote kuhusu haki za binaadamu na utawala bora. wewe unajua kushangilia mauaji ya watu kama kule MKIRU
Atakufa kifo kibaya sanaNasikia Baba yake wahuni walimkuta na mke wao wakamla Mande aliliwa kiboga alafu na video wakamrekod km ushahidi mpaka akaamua kujinyonga, hio video nahisi ndio imemvuruga Mange kisaikolojia kuona Baba yake analiwa kiboga kwenye camera huyu mtoto Mange siku zake zaja
inachekesha kwl mkuu, nashindwa kuelewa maza hana uwezo wa kupata Po~210, yaan anawachekea tu kima? hapana aiseeMwanaharakati wa haki za binadamu akae kumtetea rais kwamba anaonewa au
Mbona inachekesha hii
Wale wapo kutetea raia ambao wanaonewa na hawana uwezo wa kwenda popote kuchukua hatua ya kile wanachofanyiwa rais hawezi kuwa kwenye hilo kundi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
huyu mama mauchafu yake watu wanayatumia kum-blackmail, ndio mana watu wanajifanyia wanavyotaka na hana cha kuwafanya!Kama wanaweza kumvua nguo kisa Makonda huoni wanaweza kumvua nguo wakati wowote wakitaka?
Huoni wanamuweka Rais kama mateka wao
Samia aache ujinga akamate mmoja akate kichwa...huyu mama mauchafu yake watu wanayatumia kum-blackmail, ndio mana watu wanajifanyia wanavyotaka na hana cha kuwafanya!
hujiulizi kwann waarabu wanamfanya watakavyo?
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.
Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.
Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.
#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??
Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Anasema sijuwi brenda mbovu mara kukoboa mahindi ,mimi pia sijamuelewa mkuu,,Mange kasemaje?
Ndoto unaota amka usijinyee tuYule Dem wamteke,wamgonge matundu yote wakimrekodi,wamtue kkoo uchi,wamlazimishe apost kwenye akaunti zake,Kisha wajifanye kumkamata na kumfungulia mashtaka,ambayo Nina hakika yatafika 200,wamfunge maisha jela
Alitukanwa kiasi Kuwa shoga nani aliyesimama kukemea acha misumali utoke ulipoingiliaMnakuza mambo wenyewe ni watu wangapi wanatukana watu? Kwenye mtandao upi maana hapa naona watu wanajadili hoja tu. Sasa kama mnaenda kwenye mitandao ya umbeya inayo ongelea wasanii na kufikiri hamtatukanwa mnakosea. Hiyo mitandao ni ya kuuzwa. Hata Raisi wa Marekani natukanwa kila siku lakini hatumi jeshi wala vyombo vyovyote. Matusi ni mambo binafsi mtu akikutukana wewe unaweza kumshitaki au kumpuuza ndiyo maana ya mahakama. Huwezi kusema wanajamii hapa tushinde kuongelea watu wanao tukana watu.
Wewe lini umeshaongelea hata siku moja wapinzani kutukanwa kila mara mbona hakuna lolote linafanyika na wala hawalalamiki!? Kama matusi ni ya uwongo ni ya kuupuuzwa. Huwezi kuweka muda wako kuongelea vitu ambayo havijengi na kulalama lalama
Machawa yenyewe yameoza yananuka na mauchafu kibao . Wakionyesha uso tu wamekwisha. Sifagìlii matusi kama angetumia lugha mzuri angepata support lakini wanaomtumia wamefil saba katika hili. Lakini walimlea. Mtu anatafutwa alaf anaonekana anapiga picha ya karibu na mama? Wakati fulani ashawahi kutukana. Mange na Kigogo2014 wanapewa hela. Kigogo2014 awewahi kutoa mapicha ya ajabu. Alipogeukia upande uleee sasa anajifanya kujibu makombolaJamani wapi chawa wa mama kina steve nyerere wapi kina maimatha
Yaani yule dada wa marekani anarusha makombora ikulu chawa wa mama wamekaaa kimya utadhani hawaoni
Shida wanaogopa wakikohoa vita ina hamia kwao yaani kila mtu anaogopa atavuliwa nguo na yule dada wa marekani
Yaani wame mute wameziba masikio wanajifanya hawajui kabisa mambo yanayoendelea wanajifanya viziwa wakati huu mama alihitaj support yao maana vinu vinavyotoka marekani ni vizito vinahitaji chawa waingie vitani
Chawa nao wanaogopa fumigation kutoka marekani
Sema kiukweki imeniuma sana hawa chawa kujifanya viziwi na vipofu yaani kama hawapo wanajua wakisema tu meee dada analipua mabomu mazito ndo maana wanaogopa
Kile kikundi cha chawa mama kiko chini ya maimatha tunaomba mwenyekiti maimatha atoe kauli kwamba wako vitani au laa...maana kazi ya kile kikundi ni kujibu mabomu ya mitandaoni
Chawa mjitokeze mjibu haya yanao endelea mitandaoni ni mazito na defamation kwa mama .....mme mute sana
Kiti cha urais hakina uwezo wa kujibu habari za umbea ni kazi ya mashabik ambao ndo nyie chawa wa mama
Sasa mnajifanya viziwi hamskiii pia vipofu hamuoni yaani ....kisa mnaogapa vinu vya uso kutoka marekani
Hao watawala wanaambiwa ukweliKwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.
Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.
Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.
#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??
Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!