Wanajua ushahidi wa kweli utawaumbua.

Wanalinda usalama wa nani watu wa namna hii?

Hawa hawatufai asilani.

Ni muhimu hatima ya kadhia hii ikawekwa wazi.
Kama walikuwa sahihi kwa nini wanaogopa kurekodiwa? Mimi naona badala ya kulilia katiba mpya tulilie someone la ustaarabu mashuleni tangu chekechea. Kwani mtu asiyekuwa mstaarabu hata katiba mpya ataivunja kwa kuwa Hana aibu na haheshimu haki na Hana upendo.
 

Mkuu umeanza vizuri ila umaliziaji. Kumbuka haki ni kwa mujibu wa katiba si kwa mujibu wa shule.
 
Yamerudi yale ya ‘wajua mie ni nani, nitakupoteza’?!
Ni ushamba, ujinga, tatizo la akili na ulimbukeni…
 
Kuna alama yoyote imewekwa hpo usalama wa taifa au ndio ujiongeze hta km hujui?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa wawajibishwe tu. Tabia za hawa jamaa kujiona miungu watu inakera sana
 
Combats tokea upande wa pili na bunduki hakuwa na namna.

Makosa aliyofanya ni pamoja na kuendelea kuifuata kwa nyuma gari ile. Kusubiri nyuma hata iliposimama. Yote akiamini hana makosa.
Mwanajeshi haruhusiwi kufyatua risasi kwa raia
 
Siwezi kuamini maneno ya upande mmoja bila uthibitisho!

Unachofanya wewe ni kuhukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja
Uko sahihi mkuu, mtu mwenye akili lazima upate maelezo ya pande zote,
Pengine hao machalii waliingilia msafara jambo ambalo ni kosa kubwa.
Dogo katoa maelezo yake lakini ya huyo tunayemuita TISS yanatakiwa pia ili kupata mizania

Lakini jambo la kijinga hapo ni kukubali mtu aliyevaa kiraia, bila kujitambulisha kukuamuru tu upaki gari lako.
Kama ni wezi, watekaji nk je? Au wahalifu hawatumii V8.
Madogo walikuwa na haki ya kugoma mpaka atoe ID au aite wale wenye uniform waje kujitambulisha kwa ID
 
Nasikiaga tu Wazee wa Makumbusho Kumbe ndio humo? Huwa napitaga ila sikuwahi kujua
 
tazama clip kwa makini sijaelewa distance iliyopo mwanzo ile gari nyeusi na hii
ya uyu dogo (kaka wa mbunge)... ni kama bado alikuwa na opportunit ya kupita kulia au

kushoto na kuondoka hadi akawa amesubiri hyo gari imemsogelea tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…