Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,381
Kazi ya trafic nini? Kila chombo kina kazi yake na mipaka yakeUnarekodi maeneo ya Usalama?
Au hakujua kama hapo ni Usalama wa taifa?
Anyway alivyowaona hao wanajeshi kwanini asingezima kamera yake?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kina UrioKwa wakati huu ambapo hakuna katiba mpya, jamaa alishindwa nini kuendelea na safari, anasimamishwa naye anasimama, hao ni trafiki au aliogopa magwanda?
Nyie wananchi punguzeni kuwa-overate hao jamaa ambao ni iron boys and girls.
Akikusimamisha asiye polisi, utajuaje kama si jambazi?Hivi trafiki tuu ndio wakikusimamisha barabarani unalazimika kutii!?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kwani yeye alijua angechomekewa kiasi awe anarekodi muda woteKwa nini hakurekodi wakati anachomekewa?
Kwa nini uamini maneno yake wakati hujaona akiwa anachomekewa?
Anaanza ligi kwani hajui kuwa maofisa usalama wanamafunzo ya kijeshiUmeambiwa siyo wanajeshi?
Ulifanya kosa gani hapo nyuma mpaka akaja kukublock huko mbele?
Sio maeneo hayo kuna watu wanabisha tu hapa!!Kazi ya trafic nini? Kila chombo kina kazi yake na mipaka yake
Anaanza ligi kwani hajui kuwa maofisa usalama wanamafunzo ya kijeshi
Mi ndio nimeiona hapa nikajuwa wewe ndio muhusika; inawezekana kuna faulo ameicheza hapo nyuma, ndio akamfuata kwa mbeleSi utuambie tu kwani alikufanya nini eti ndugu?
Nakumbuka hata ya Kule osterbay,tulikua tunakatiza fresh tuHahaha naona umemjibu mwamba hapo ipasavyo
Miaka ya 90 maeneo yao tulikuwa tunakatiza safi tu,wenyewe hata hawaulizi, sijui nani alikuja na idea hiyo ya kupiga pini maeneo yao watu wasikatize
Ova
Mi ndio nimeiona hapa nikajuwa wewe ndio muhusika; inawezekana kuna faulo ameicheza hapo nyuma, ndio akamfuata kwa mbele
Kwa sheria ipi ? Mbona Zanzibar wanauwa kila ufikapo uchaguzi/ uchafuzi?Mwanajeshi haruhusiwi kufyatua risasi kwa raia
Hapana!mngejua kuna wengine hata bunduki hawaijui kupiga. Tunaamini usalama ni mijitu yenye miguvu ila kinachohitajika Kule ni uwezo wa kukusanya na kuanalyzing intelligence related to national security, governments and terrorism then vyombo vinavohusika na vivifanyie kazi informations hizo. Ndio maana lazima vyombo vishirikiane mtu unaweza ikawa usalama kazi Yako ikawa kuandika report tu Wala usiijue hata bundukiAnaanza ligi kwani hajui kuwa maofisa usalama wanamafunzo ya kijeshi
πππ Mpaka kurekodi, kunaashiria kuna kosa limefanyika hapo nyuma ambalo halikurekodiwa, ndio maana akawa amejiandaa kurekodi tukio litakalofuata.Miye nikajua wewe ndiyo yule mwenye kunyoa kiduku mwenyewe sasa.
M-dude usiyejulikana, boss wa hapo knyama kwenye ubora wako.
Ukitoa maelekezo yako halali - "ingiza gari ndani."
Siyo kweli huwezi ukawa kitengo nyeti usipitie mafunzo ya kijeshiHapana!mngejua kuna wengine hata bunduki hawaijui kupiga. Tunaamini usalama ni mijitu yenye miguvu ila kinachohitajika Kule ni uwezo wa kukusanya na kuanalyzing intelligence related to national security, governments and terrorism then vyombo vinavohusika na vivifanyie kazi informations hizo. Ndio maana lazima vyombo vishirikiane mtu unaweza ikawa usalama kazi Yako ikawa kuandika report tu Wala usiijue hata bunduki
πππ Mpaka kurekodi, kunaashiria kuna kosa limefanyika hapo nyuma ambalo halikurekodiwa, ndio maana akawa amejiandaa kurekodi tukio litakalofuata.
Si ndio mpaka uwe kitengo hiko nyeti, vitengo vya kawaida huihitaji silaha Wala nguvu mzee ni Akili tuSiyo kweli huwezi ukawa kitengo nyeti usipitie mafunzo ya kijeshi
Atakuja kumtoa mche mzima wa jamaa uwe umeisha kwa kuoga maji ya mvua.Mjombangu mbunge atakuja kunitoaπ€£π€£