Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Kwa wakati huu ambapo hakuna katiba mpya, jamaa alishindwa nini kuendelea na safari, anasimamishwa naye anasimama, hao ni trafiki au aliogopa magwanda?

Nyie wananchi punguzeni kuwa-overate hao jamaa ambao ni iron boys and girls.
Kina Urio
 
Ulifanya kosa gani hapo nyuma mpaka akaja kukublock huko mbele?
 
Mi ndio nimeiona hapa nikajuwa wewe ndio muhusika; inawezekana kuna faulo ameicheza hapo nyuma, ndio akamfuata kwa mbele

Miye nikajua wewe ndiyo yule mwenye kunyoa kiduku mwenyewe sasa.

M-dude usiyejulikana, boss wa hapo knyama kwenye ubora wako.

Ukitoa maelekezo yako halali - "ingiza gari ndani."
 
Anaanza ligi kwani hajui kuwa maofisa usalama wanamafunzo ya kijeshi
Hapana!mngejua kuna wengine hata bunduki hawaijui kupiga. Tunaamini usalama ni mijitu yenye miguvu ila kinachohitajika Kule ni uwezo wa kukusanya na kuanalyzing intelligence related to national security, governments and terrorism then vyombo vinavohusika na vivifanyie kazi informations hizo. Ndio maana lazima vyombo vishirikiane mtu unaweza ikawa usalama kazi Yako ikawa kuandika report tu Wala usiijue hata bunduki
 
Miye nikajua wewe ndiyo yule mwenye kunyoa kiduku mwenyewe sasa.

M-dude usiyejulikana, boss wa hapo knyama kwenye ubora wako.

Ukitoa maelekezo yako halali - "ingiza gari ndani."
😂😂😂 Mpaka kurekodi, kunaashiria kuna kosa limefanyika hapo nyuma ambalo halikurekodiwa, ndio maana akawa amejiandaa kurekodi tukio litakalofuata.
 
Hapana!mngejua kuna wengine hata bunduki hawaijui kupiga. Tunaamini usalama ni mijitu yenye miguvu ila kinachohitajika Kule ni uwezo wa kukusanya na kuanalyzing intelligence related to national security, governments and terrorism then vyombo vinavohusika na vivifanyie kazi informations hizo. Ndio maana lazima vyombo vishirikiane mtu unaweza ikawa usalama kazi Yako ikawa kuandika report tu Wala usiijue hata bunduki
Siyo kweli huwezi ukawa kitengo nyeti usipitie mafunzo ya kijeshi
 
Back
Top Bottom