Zile enzi za 'unanijua mimi nani' zimerudi upyaaaa
 
Pale lugalo kuna siku wamepitisha gari yao njia isiyo sahihi na Mimi napita zangu kasi nashtuka gari kuubwa hili hapa na mjeshi mp kasimama ananisimamisha.

Nikaambiwa nilitaka kumgonga mp na kuvamia vifaa vya jeshi. Nikaelekezwa kupaki gari na kuingia ndani.

Nilipoingia wakaniambia kaa chini, nikakaa, lala, nikalala. Toa kila kitu mifukoni nikatoa. Akachukua dumu la maji kutaka kunimwagia ndio niondoke. Nikawa nawaangalia tu nimetulia.

Mmoja alikuwa na bunduki akasogea na kuwasemesha wale wengine kisha wakaanza kuniuliza unafanya kazi wapi? Nikawaangalia tu na kusema nyie malizeni mlichopanga.

Basi jamaa wakaingiwa na hofu wakaniambia niondoke. Nikaondoka.

Ujasiri ni ushindi.
 
Uandike tiss wawajibishwe... Zile kombati ni tiss walinzi ukipita makumbusho unawaona pale getini
 
Kiukweli hata sielewi kwanini alisimama, mi ningenyoosha direct hadi parking za mcity mule ndani, napaki kisha naingia century cinemax kula movie hadi nite kali
 
WHY mwenzake anamwambia "waombe msamaha"... yawezekana kuna kosa walifanya huko nyuma?

WHY aliamua kulifuatilia hilo gari kwa kurekodi... ili iweje?

Kama anavyodai kijana, let say hao officers ndiyo wenye makosa (rough driving kumchomekea), WHY tena hao officers wamblock kwa mbele ili kum-detain?

Something doesn't add up. Otherwise, it is unlawful detention and very unprofessional!

The video clip has now been publicly circulating and gone viral. Hopefully mamlaka husika zinalifuatilia suala hili. Thanks to technology.

In Africa, mtu aweza kuzikwa hai and nobody gives a sh.it. 😎

-Kaveli-
 
Watalindana tu. Yaani sijui kila mtu akitumia madaraka na nafasi yake nani ataumia.
 
We unategemea hata trafiki angekuja akakuta jamaa ni usalama angekuwa upande wa hio IST? Unless uwe mgeni Tanzania hii!!!
Hiyo kweli kabisa, usitarajie hawa jamaa wakachomana, hiyo haipo...
Ukiwa na kesi na polisi halafu mwamuzi ni takukuru au una kesi na mtu wa tiss au JW halafu mwamuzi polisi nk, hata kama wewe raia ndo mwenye haki ujue umeumia
 
Wenye vyeo vya chini ndiyo wana mambo hayo
Mambo mengine ni kukaa mna zungumza mnaeleweshana tu
Maisha yanaendelea

Ova
 
WHY mwenzake anamwambia "waombe msamaha"... yawezekana kuna kosa walifanya huko nyuma?

WHY aliamua kulifuatilia hilo gari kwa kurekodi... ili iweje?

Kama anavyodai kijana, let say hao officers ndiyo wenye makosa (rough driving kumchomekea), WHY tena hao officers wamblock kwa mbele ili kum-detain?

Something doesn't add up. Otherwise, it is unlawful detention and very unprofessional!

The video clip has now been publicly circulating and gone viral. Hopefully mamlaka husika zinalifuatilia suala hili. Thanks to technology.

In Africa, mtu aweza kuzikwa hai and nobody gives a sh.it. 😎

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…