Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wenzake wametumia ubabe na yeye anaongezea kitisho, nilitegemea aseme sheria itamlindaMjombangu mbunge atakuja kunitoa🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzake wametumia ubabe na yeye anaongezea kitisho, nilitegemea aseme sheria itamlindaMjombangu mbunge atakuja kunitoa🤣🤣
Dogo yupi sasa ni mshamba?Dogo mshamba sana awamu hii unaweza ukala shaba tu na ukazikwa bila kelele hata uende ukashtaki vipi. Utaunganishwa kwenye special task flani kesi iishe kimya kimya
Huyo anaesema mjomba wake mbungeDogo yupi sasa ni mshamba?
Ni kweli, mkuuHuyo anaesema mjomba wake mbunge
Hii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.
Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?
Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.
Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.
Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.
Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.
View attachment 2182358
Zile enzi za 'unanijua mimi nani' zimerudi upyaaaaHii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.
Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?
Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.
Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.
Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.
Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.
View attachment 2182358
Waambie, maana kuna watu wabishi kishenziHapo sio jeshini
Hatakuelewa huyu kwa sasa!Usalama wa taifa ni ulinzi wa kila kitu!
Katiba iliyopo inaruhusu huu unyanyasaji?Katiba Mpya mbona mtanyooka tu
Kiukweli hata sielewi kwanini alisimama, mi ningenyoosha direct hadi parking za mcity mule ndani, napaki kisha naingia century cinemax kula movie hadi nite kaliWajeda hawajafanya poa ila na yeye jamaa ana chembechembe za uzembe ndani yake.
Kuna watu wanapenda sana haki ilhali hapa kwwtu huwa haipo, wewe umeona jamaa kakuchomekea kakukosa, jamaa kaja simama mbele yako yote hiyo anakutafuta tu. Unaacha kutafita upenyo usepe we unakaa kumsubiri hadi ashuke mbishane na ushajua atakuletea matatizo ikiwemo kukupotezea muda.
Kuepusha zogo ni kusepa tu, ushajua hawa watu akili zao ni ndogo nenda nao ivoivo uepukane na upotezewaji wa muda bila sababu za msingi, mashahidi wenyewe waoga kichizi hata kushuka hawashuki.
Hiyo kweli kabisa, usitarajie hawa jamaa wakachomana, hiyo haipo...We unategemea hata trafiki angekuja akakuta jamaa ni usalama angekuwa upande wa hio IST? Unless uwe mgeni Tanzania hii!!!
Katiba iliyopo inaruhusu huu unyanyasaji?
Wenye vyeo vya chini ndiyo wana mambo hayoPale lugalo kuna siku wamepitisha gari yao njia isiyo sahihi na Mimi napita zangu kasi nashtuka gari kuubwa hili hapa na mjeshi mp kasimama ananisimamisha.
Nikaambiwa nilitaka kumgonga mp na kuvamia vifaa vya jeshi. Nikaelekezwa kupaki gari na kuingia ndani.
Nilipoingia wakaniambia kaa chini, nikakaa, lala, nikalala. Toa kila kitu mifukoni nikatoa. Akachukua dumu la maji kutaka kunimwagia ndio niondoke. Nikawa nawaangalia tu nimetulia.
Mmoja alikuwa na bunduki akasogea na kuwasemesha wale wengine kisha wakaanza kuniuliza unafanya kazi wapi? Nikawaangalia tu na kusema nyie malizeni mlichopanga.
Basi jamaa wakaingiwa na hofu wakaniambia niondoke. Nikaondoka.
Ujasiri ni ushindi.
Ulitaka iwe na meno gani?Haina meno ya kuizuia ndiyo maana upo na unaendelea kama unavyoona