Shida siyo Katiba.

Tuna shida na katiba.

Kwani mafwedhuli hawa bado wako kazini hata sasa? Bosi wao je? Waziri naye?

Yupi tuna mamlaka ya kumwajibisha kama haturidhiki kwenye hiyo chain?

Kwani hata Mama naye anasema je?
 
Tuna shida ni katiba.

Kwani mafwedhuli hawa bado wako kazini hata sasa? Bosi wao je? Waziri naye?

Yupi tuna mamlaka ya kumwajibisha kama haturidhiki kwenye hiyo chain?

Kwani hata Mama naye anasema je?
Shida ni uoga wa Watanzania kusimamia Katiba.

Hii iliyopo kama Watanzania wangekuwa na ujasiri wa kuisimamia ipasavyo haya yote usingeyaona.

So hata Katiba Mpya ikija na uzuri gani, bado mambo yatakuwa yaleyale as long as wasimamizi na watekelezaji ni hawahawa.

After all hitaji la Katiba Mpya baada ya 2015 imejulikana ni la wanasiasa, siyo wananchi.
 
Exquisite 😍
 

Inajulikana na nani ndugu?

Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Kiswahili kigumu ndugu. Hivi unajua hata mgambo ni wanajeshi? Au kwako mwanajeshi ni nani?
Kweli kiswahili kigumu, ulishasema Mgambo Mimi nikuambie kuwa kuwa Mgambo ni Mwanajeshi tena?

Kwa taarifa yako kwa vile ujui kama ujui leo sasa nakufahamisha kuwa Kuna wanajeshi, Kuna polisi, Kuna TISS, Kuna magereza, zimamoto, uhamiaji, wanyama pori na wengine.

Hacha kubabaishwa na maneno ya kisiasa hayo., Wote hao wakisimama pamoja akatokea mtu akasema wanajeshi wasimame kulia, hakuna polisi wala TISS atakaechomoa pua yake kwenda kulia. Wewe kama polisi utabaki kuwa polisi tu.
 
Inajulikana na nani ndugu?

Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
That was long before 2015.

Baada ya 2015, kupitia katiba ileile, tuliona mabadiliko makubwa sana ya kiutendaji yakatuletea maendeleo ndani ya muda mfupi.

Wananchi wa kawaida, ambao ni wengi, tunahitaji maendeleo and Magufuli proved tunaweza kuyapata kwa Katiba hii tuliyonayo.

Nyie wanasiasa mnajua kabisa kwa katiba hii hamtoboi ndio maana mnaililia nyingine.

But trust me, Katiba hiihii ina uwezo mkubwa sana wa kusimamia na kutuletea maendeleo.

Kwahiyo Katiba Mpya ni hitaji lenu wanasiasa. Muacheni mama avenge nchi, tunataka maendeleo.
 
Hebu tueleweshe tuisimamieje Katiba yetu Sisi wananchi wa chini?
 
Hizi ni zile hadithi mazuzu wanapenda kusikia. Katiba Mpya yanaogopa kuliko ukoma.
Kwani ni yenu? Wenye nayo wanaoidai si muwape?
inaonesha mambo yalishaisha na simu imerudishwa ndio maana tumeiona clip hewani ikisambaa kila kona
ni Nchi kibao hivi vitendo tunaona manyanyaso ya hawa watu, DRC Uganda, Kenya, bado Ukraine.
Baada ya Vita vya Kagera tulikalishwa sana mitaani na kurushwa vichura
huyu jamaa angekua muungwana baada ya kuiona hiyo gari yao angekua mpole kwani wanajulikana, ukitaka kuvuliwa nguo na wababe chutama, kuna kitu kajifunza tunasubiri mrejesho
 
Mi tiss mengi ni makubwa jinga hayana faIda kwenye taifa zimekuwa nafasi za vimemo kwa muda mrefu, hayada maadili kazi yao kusema utanijua mi ni nani, Kama hili fala linaonyesha umwamba barabarani jinga la kufukuza kabisa kazi, hii taasisi bure kabisa kazi wanazofanya za kishambaa, hakuna resources kabisa, kichefuchefu
 

Tofautisha wananchi na kundi linaloumua uzuzu
 
wewe ndio hujui kabisa, mgambo na wengine uliowataja ni wanajeshi na wapo chini ya Mabeyo,
labda hao Al Shabab na walinzi binafsi wa vyama vya siasa ndio likitokea Tangazo la Vita hawatachukuliwa.
umeshaambiwa hao jamaa usikaribiane nao wala kubishana watakuchakaza kwa push up kumwagiwa maji na mateke
hivyo vita vya Ukraine hamvioni jamani wanaume wote ni lazima wapewe majukumu ya kijeshi na wanaingia vitani,
Vita ikitokea Raia wote watanzania waliopitia mafunzo wanatakiwa wavae kombat, wanaume wote wasiopitia wanajiunga na wanawake na watoto mnakimbilia Nchi jirani mkajifiche ukimbizi
 

Kwamba katoka? Bila uthibitisho wowote, itakuwa ni sawa na kuamini Ndugai yuko Kongwa busy akichunga ng'ombe wake.

Kumbuka aliyekuwapo mtu wa pili ku record yumkini tuliyoyaona.
 
Kwamba katoka? Bila uthibitisho wowote, itakuwa ni sawa na kuamini Ndugai yuko Kongwa busy akichunga ng'ombe wake.
Kumbuka aliyekuwa mtu wa pili alikuwapo ku record yumkini tuliyoyaona.
Fuatilia vizuri huyu dogo aliyetaka Mjomba wake Mbunge atamtetea ndiye aliyerecord
Mtu wa pili anasikika akimuomba apatane nao hao (ni TISS na yule mgomvi ni dereva tu ila km ni kikazi wanapita popote) katumia uungwana sana kumuomba rafiki yake wayamalize lkn yeye anazamisha simu mfukoni.
Ninasema hivi kwa sababu nimekutana nayo mtandao mwingine wanaijadili, na wanasema simu kapewa sasa anaanzisha zogo lingine
 

Kichekesho labda.

Ndiyo maana "ujui" ni msamiati rasmi kwako.

Ulibahatika kufika hata shule ya kata kweli mjomba?

Kwamba hata majeshi ya polisi, magereza, zimamoto, na binamu zao ndiyo unasikia leo?

Maajabu ya Mussa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…