Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Wenye vyeo vya chini ndiyo wana mambo hayo
Mambo mengine ni kukaa mna zungumza mnaeleweshana tu
Maisha yanaendelea

Ova
Inferiority complex inawasumbua sana. Ukijiamini wanajishtukia. Kuna siku pia nilikuwa naenda mzena sasa pale getini wale jamaa wanaona watu kama wako level ya chini kuliko wao. Ni udhaifu wa hivi vyombo vyetu. Inapaswa hatua za makusudi zifanywe kuboresha attitude yao juu ya raia.
 
Pale lugalo kuna siku wamepitisha gari yao njia isiyo sahihi na Mimi napita zangu kasi nashtuka gari kuubwa hili hapa na mjeshi mp kasimama ananisimamisha.

Nikaambiwa nilitaka kumgonga mp na kuvamia vifaa vya jeshi. Nikaelekezwa kupaki gari na kuingia ndani.

Nilipoingia wakaniambia kaa chini, nikakaa, lala, nikalala. Toa kila kitu mifukoni nikatoa. Akachukua dumu la maji kutaka kunimwagia ndio niondoke. Nikawa nawaangalia tu nimetulia.

Mmoja alikuwa na bunduki akasogea na kuwasemesha wale wengine kisha wakaanza kuniuliza unafanya kazi wapi? Nikawaangalia tu na kusema nyie malizeni mlichopanga.

Basi jamaa wakaingiwa na hofu wakaniambia niondoke. Nikaondoka.

Ujasiri ni ushindi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu ungewaambia unafanya Ikulu...
 
Hiyo kweli kabisa, usitarajie hawa jamaa wakachomana, hiyo haipo...
Ukiwa na kesi na polisi halafu mwamuzi ni takukuru au una kesi na mtu wa tiss au JW halafu mwamuzi polisi nk, ujue wewe raia umeumia
Kuna polisi wananisumbua sana najishauri kushtaki kwa ocd, au niende takukuru, ni ngumu kuviamini hivi vyombo 100%
 
Ulitaka iwe na meno gani?

Kwanza mahakama, bunge na serikali viwe huru bila ya kuwepo yeyote kwa jina la kujichimbia zaidi.

Pili awaye yote asiyetekeleza wajibu wake kama tunachotaka sisi, tuweze kumweka pembeni kiroho safi tu, wakati wowote.

Vyombo hivi vya ulinzi na usalama viwajibike kwetu kama mabosi wao siyo kama watwana wao.

Yako meno mengi mjomba ya msingi tu yanayopaswa kuwamo kwa uwazi kwa manufaa yako.

Tuungane kukataa wahuni hawa.
 
Kwanza mahakama, bunge na serikali viwe huru bila ya kuwepo yeyote kwa jina la kujichimbia zaidi.

Pili awaye yote asiyetekeleza wajibu wake kama tunachotaka sisi, tuweze kumweka pembeni kiroho safi tu, wakati wowote.

Vyombo hivi vya ulinzi na usalama viwajibike kwetu kama mabosi wao siyo kama watwana.

Yako meno mengi mjomba ya msingi tu kwa manufaa yako.

Tuungane kukataa wahuni hawa.
Hii Katiba ya sasa haina haya?
 
Endelea kukariri!
Wewe ndio umekariri,ni aibu kwa taasisi kama ile kufanya walichokifanya kwa yule dogo,sheria za usalama barabarani zinajulikana na faini zake otherwise dereva muhusika asiwe na leseni,wametia aibu traffic case kumkamata mtuhumiwa na ak 47 kama jambazi vile!
 
😍
Nenda mahakamani, nikwambie kitu master, Katiba hata ikiwa nzuri kiasi gani haiwezi kuwafanya watu wasio na maadili wawe na maadili.

Kuna watu kama Trump pamoja na kuwa Rais wa nchi yenye Katiba nzuri duniani lakini bado alikuwa anapuyanga puyanga tu.
 
Sure. Ni kujitahadhari kwenye maeneo yao japo huwa hawafuati sheria.
Inategemea wengine maeneo yao mbn wastarab, as long tu usiwazingue

Miaka ya nyuma 90 huko St peters tunakatiza tu fresh hakuuliz mtu

Ova
 
Hii Katiba ya sasa haina haya?

Yangekuwamo wasingethubutu kufanya upuuzi huu wanaofanya kila leo.

Hawajui mabosi wao ni sisi. Madarakani wamejiweka wenyewe bunge si letu bali wao. Kuna mhimili mmoja umejichimbia zaidi.

Nk, nk.

Lipi hulijui hapo?
 
Unajuaje kama walitaka kumuhifadhi hapo ili waite traffiki?
Wewe jamaa ni mshamba,wangechukua plate number ya hiyo na kumpa trafiki polisi kungekua na shida gani hadi amtime jamaa mpaka makumbusho hata kama walichomekeana bamaga,huyo alikua na lengo tu la kumfanya kitu flan huyo dogo,mkishavaa gwanda hizo mnajiona mko juu ya sheria siku likibuma ndio mnatia huruma kama wale jamaa zenu wa mtwara
 
Yangekuwamo wasingethubutu kufanya upuuzi huu wanaofanya kila leo.

Hawajui mabosi wao ni sisi. Madarakani wamejiweka wenyewe bunge si letu bali wao. Kuna mhimili mmoja umejichimbia zaidi.

Nk, nk.

Lipi hulijui hapo?
Shida siyo Katiba.
 
Wale hujiona
Hii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.

Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?

Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.

Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.

Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.

Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.

View attachment 2182358

Hawa dawa yao ,kwenye gari lako usikose rungu, jambia ya masai, na pilipili ya unga, wamegeuza kitengo Kama kichaka Cha kufanya maovu, na vipisto vyao Sasa ikitokea ufe KWa risas lakin ondoka na upofu wa mmoja wao,ikiwezekana na kiungo kimoja,

Au Kama amekusimisha tena kiuonevu mpelekee moto na mafuta mengi ,Mambo ya kishamba Sana wamemfanyia ndugu yetu,
 
Back
Top Bottom