Kwa Nini unaruka stage ya pande la nyama linakuwa mifupa tupu, Yani hapa NDio nime m disqualify Allah kuwa MunguYaani unakomalia kitu ambacho unataka kiwe hivyo Kwa matakwa yako mwenyewe,ni upumbavu ulioje?
Baada ya mbegu ya kiume kukutana na Yai,inakuwa tone la manii, ambalo linaenda sehemu maalumu katika mji WA mimba,hlf katika ukuaji ndo linakuwa pande la damu,then kiumbe kinaanza ukuaji ktk pande la nyama na kadhalika, unachobisha ni nini hasa?
Yaani unashikilia kitu kana kwamba upo sahihi? Acha upuuzi
Ukristo sio dini. Dini ni jitihada za mwanadamu kumtafuta Mungu. Ukristo ni uhusiano (relationship) na ushirika (fellowship) na Mungu aliyehai.Weakness ya Kwanza,,,nipe kifungu kinachosema kuwa Yesu ni Mungu na pili nipe kifungu kinachosema kuwa Ukristo ni Dini,,,,,ukijibu hayo ndio tutakuja kuonyesha uozo WA biblia mpaka mkimbie
Nijibu hayo Kwanza nipo hapa nasubiri!
Siifahamu sana Quraan lakin kwa haya zilizoanishwa hapo juu naona hazikinzani sana na uhalisa wa kisayansi.Uhalisia ni baiolojia.
Kwahiyo kwa mujibu wa hiki umeandika hapa mwanadamu anakuwa ndani ya sperm na hakuna haja ya yai la mwanamke?
Wewe ni mpuuzi,,,,kujadiliana na wewe ni kupoteza Mda wangu tuKwahiyo Allah akaamua awaige waarabu?🤣🤣 Kweli madrasa imefanya kazi nzuri kwenye ubongo wako.
We mjinga angalia hiyo video juu hapo maana wewe umejaa chuki tu na sio elimu alafu uje tueleze upumbavu wakoHakuna muislamu anayejua kiarabu zaidi ya kukariri aya za quran.
Sperm inabadilika kuwa damu iliyoganda?Ukitaka tuendelee ni ukubali Umeelewa ama lah, hakuna masuala ya assumptions hapa.
Kisha nitakuelewesha vingine amabvyo nina elimu navyo, kama bado hujaelewa hapo niendelee kutoa elimu ndogo niliyo nayo.
Leo tunakugeuza wewe ndo "UBAO" leo ili wengine wajifunze kupitia wewe....Hii video leo utaifungua tu utake usitake,shida yetu tunataka uache kuuliza uliza mambo makubwa kwa mihemko.Kwahiyo manii ni muunganiko wa sperm na ovum? Wewe jamaa sidhani kama una ubongo katika kichwa chako.
Quran inasema tone ndio sperm na hiyo ndio inabadilika na kuwa damu iliyoganda.
Ovyo kabisa,,leta andiko Yesu anasema yeye ni Mungu?Ukristo sio dini. Dini ni jitihada za mwanadamu kumtafuta Mungu. Ukristo ni uhusiano (relationship) na ushirika (fellowship) na Mungu aliyehai.
Hapa Yesu anaitwa Mungu dhahiri shahiri, Yohana 20:27-28
27. Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa. Iangalie mikono yangu. Weka mkono wako hapa ubavuni mwangu. Acha kuwa na mashaka na uamini.”
28. Tomaso akamwambia Yesu, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Unataka kumwambia Koran imeandika utoto 😂😂😂Hivi akili yako iko sawa mkuu? Mbona unauliza mambo ya kitoto hivi?
Jibu swali acha kurukaruka humu ndani.Hivi akili yako iko sawa mkuu? Mbona unauliza mambo ya kitoto hivi?
Inatisha. Nyama ikawa mifupa halafu baadae ikavalishwa nyama. Yote haya yametendeka ndani ya tumbo la uzazi.Kwa Nini unaruka stage ya pande la nyama linakuwa mifupa tupu, Yani hapa NDio nime m disqualify Allah kuwa Mungu
Skeleton lipo ndani ya mji wa uzazi , mwanamke si angekufa !
Hakuna verse ya Kiingereza hiyo ni tarjama ya Kiingereza. Unajua kusoma Qur'aan ? Matini ya aya yanetarujumiwa kwa Kiswahili vizuri sana, usiwe unaweka tarjama bila kuisoma Martini ya aya kwanza.Soma hiyo verse ya kiingereza hapo juu. Kwahiyo sperm inabadilika kuwa damu iliyoganda?
Rudi humu usikimbie , mifupa tupu inakuwaje ndani ya mji wa uzaziNatoka katika huu Mjadala.
Wapuuzi ni wengi mno
Ukiletewa jarida la kiarabu hapo utaishia kung'aza macho.We mjinga angalia hiyo video juu hapo maana wewe umejaa chuki tu na sio elimu alafu uje tueleze upumbavu wako
Unapo leta fikra zako za kibinaadamu hapo utakua inafeli kabisa akili yako inapo ishia ndio ya Mungu inapo anzia yote hayo ni chuki zenu tu juu ya Quraan kwa sababu tu inamajibu tosha kuanzia maisha ya mwanadam kabla hajazaliwa baada ya kuzaliwa malezi maisha siasa mpaka kufa na Kisha maisha ya akhera kitu ambacho kitabu chenu hakuna vitu hivi acheni wivu na kitabu chetuKwa Nini unaruka stage ya pande la nyama linakuwa mifupa tupu, Yani hapa NDio nime m disqualify Allah kuwa Mungu
Skeleton lipo ndani ya mji wa uzazi , mwanamke si angekufa !
Kupitia uzi huu umejiabisha mno na umeonyesha jinsi gani ulivyokuwa mtu wa hovyo ,tokea mwanzo nilivyoona umeshindwa kuweka hata tafsiri iliyokuwa sahihi nikaona upo katika levo ya wajinga ambao hawastahili kujadiliana nao .Sperm inabadilika kuwa damu iliyoganda?
Unaanza kurukaruka. Hapo kwanini hakukataa kuitwa Mungu. Yaani hauelewi unataka kitu gani.Ovyo kabisa,,leta andiko Yesu anasema yeye ni Mungu?