Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Tatizo mwanaume ambae haudumii au mchoyo anachosha hata umpende vip asee, iko siku utakinai[emoji848]
Una jua bhana sisi wanaume tuna matatizo yetu sikatai, ila nyie mmetushinda tabia, yaan hamweleweki mnataka nn aisee....
-wengi hapa mnalalamika kuhusu kuhudumiwa, ila mbona nakutana na case kibao za wanawake wanawasaliti wanaume wanao wajali vizur na kuwapa mahitaji yao, SHIDA IKO WAPI AISEE WITH U PEOPLE!!!
-Kama shida ni kuhudumiwa, mbona mkihudumiwa bado mnasaliti???

MM SIZANI KAMA SHIDA YENU KUBWA NI KUHUDUMIWA AU KUPEWA FEDHA, NADHANI NI KITU KINGINE!
 
Swala sio kuomba pesa
Ukute anaomba fedha na yeye mwenyewe ana sura kama utadhani kapata mfadhaiko.
Kuna lidada moja humu yaani linapiga mizinga vibayaa, ila ukilikuta public linajishebedua kuwa halitegemei fedha wanaume.

Niishie hapa.
Hao ndio wengi sana sikuhizi, wanajifanyaga hawajui kupiga mizinga ila unakuta mtu hana shughuli maalum ya kumuingizia kipato lazma mizinga ihusike yani😂
 
Unapodate na mwanaume , wewe mtoto wa kike tambua level ya mahusiano uliopo nae. Mtu hajakutambulisha kwao wala kukuposa kwenu, unajipa hadhi ya mke kwake. Hii ndio inawafanya muwaone kama wanaume zenu ambao hawatimizi wajibu wao kwenu na mnaishia kujidisappoint mkidhania wanaume ndio wanawadisappoint.

Hivi unaweza kodi tax halafu ukajipa akili kuwa ni mali yako na kutaka kuitumia kama gari yako?!

Kuavoid hizi aina ya complain na disappointment, ni vema ukadate na mtu na kuishi nae kwa kiwango kile mliopo. Kama yeye ni just a boyfriend then ishi nae kwa namna hiyo, acha kulalamikia yeye kutowajibika na wewe kwa gharama zako is he your husband?!

Subiri akuoe ndipo uanze kutazama namna anawajibika na wewe. Ndio maana wengi mnakimbiwa mapema sababu mnajihalalisha mapema sana. Ndoa za siku hizi ni za kipepea zinataka subira na utulivu wa akili.

Mkiendelea na huu ushindani mnaoumia ni ninyi wanawake. Wewe kama unaona ni ufahari kutoka na wanaume na kuwabadili kwa kigezo cha kwamba hawakidhi vigezo then jua ambae anachosha na kuchakaza mwili ni wewe si hao wanaume.

Wenzako wataendelea kulala na wanawake tofauti kila inapowabidi maana ni sehemu ya mahitaji ya mwili. Wewe unavyochovya kila mtu mpya kwanza unaharibu utamu wa huko chini, pili una risk kupata magonjwa ya zinaa maana maumbile yenu hayana ruhusa ya kuingiliwa hovyo hovyo bila utaratibu lakini mbaya zaidi stress za mahusiano na wata tofauti huwa zinawazeesha bila kujijua.

So nawaasa muache na muwe wavumilivu. Mtu asipokupa pesa kwani utakufa, si na wewe utafute huku ukicheki ustaarabu wa ndoa yenu.

Ukiona mwanaume hana dalili ya kufanya maisha na wewe na kukugeuza mke basi achana nae mchana kweupe na sio kwa kuachana nae kihuni au kiholela. Muache kwa kikao maalumu cha kumuonyesha alizingua wapi na umejitahidi mara ngapi kumpa nafasi ajirekebishe amekupuuza na umuonyeshe madhara ya anachofanya kwako na kwake pia.
 
Una jua bhana sisi wanaume tuna matatizo yetu sikatai, ila nyie mmetushinda tabia, yaan hamweleweki mnataka nn aisee....
-wengi hapa mnalalamika kuhusu kuhudumiwa, ila mbona nakutana na case kibao za wanawake wanawasaliti wanaume wanao wajali vizur na kuwapa mahitaji yao, SHIDA IKO WAPI AISEE WITH U PEOPLE!!!
-Kama shida ni kuhudumiwa, mbona mkihudumiwa bado mnasaliti???

MM SIZANI KAMA SHIDA YENU KUBWA NI KUHUDUMIWA AU KUPEWA FEDHA, NADHANI NI KITU KINGINE!
Hili ndio hata mimi linaniumiza kichwa! We expect loyalty na mapenzi ya dhati na ya kudumu ila mwanamke unamhudumia but still ataku cheat tu au ku break up na wewe licha ya huduma zote unazompa!

Yani most cases naona mwanamke akipewa 100% anacho expect she still will strive for more ambavyo huna na ataenda nje kupakuliwa tu for such stuffs!

Ndio maana mie huwa napenda kuwa real tu kama mwanamke hataridhika basi bana ila siwezi jiumiza kisa kumridhisha mwanamke kwa kufanya yalio nje ya uwezo wangu. If she loves me she will stay real with me!
 
Unapodate na mwanaume , wewe mtoto wa kike tambua level ya mahusiano uliopo nae. Mtu hajakutambulisha kwao wala kukuposa kwenu, unajipa hadhi ya mke kwake. Hii ndio inawafanya muwaone kama wanaume zenu ambao hawatimizi wajibu wao kwenu na mnaishia kujidisappoint mkidhania wanaume ndio wanawadisappoint.

Hivi unaweza kodi tax halafu ukajipa akili kuwa ni mali yako na kutaka kuitumia kama gari yako?!

Kuavoid hizi aina ya complain na disappointment, ni vema ukadate na mtu na kuishi nae kwa kiwango kile mliopo. Kama yeye ni just a boyfriend then ishi nae kwa namna hiyo, acha kulalamikia yeye kutowajibika na wewe kwa gharama zako is he your husband?!

Subiri akuoe ndipo uanze kutazama namna anawajibika na wewe. Ndio maana wengi mnakimbiwa mapema sababu mnajihalalisha mapema sana. Ndoa za siku hizi ni za kipepea zinataka subira na utulivu wa akili.

Mkiendelea na huu ushindani mnaoumia ni ninyi wanawake. Wewe kama unaona ni ufahari kutoka na wanaume na kuwabadili kwa kigezo cha kwamba hawakidhi vigezo then jua ambae anachosha na kuchakaza mwili ni wewe si hao wanaume.

Wenzako wataendelea kulala na wanawake tofauti kila inapowabidi maana ni sehemu ya mahitaji ya mwili. Wewe unavyochovya kila mtu mpya kwanza unaharibu utamu wa huko chini, pili una risk kupata magonjwa ya zinaa maana maumbile yenu hayana ruhusa ya kuingiliwa hovyo hovyo bila utaratibu lakini mbaya zaidi stress za mahusiano na wata tofauti huwa zinawazeesha bila kujijua.

So nawaasa muache na muwe wavumilivu. Mtu asipokupa pesa kwani utakufa, si na wewe utafute huku ukicheki ustaarabu wa ndoa yenu.

Ukiona mwanaume hana dalili ya kufanya maisha na wewe na kukugeuza mke basi achana nae mchana kweupe na sio kwa kuachana nae kihuni au kiholela. Muache kwa kikao maalumu cha kumuonyesha alizingua wapi na umejitahidi mara ngapi kumpa nafasi ajirekebishe amekupuuza na umuonyeshe madhara ya anachofanya kwako na kwake pia.
Hii nondo inabidi uwape nakala kina Evelyne maana umesema mawazo yangu kupitia hili!

Summary: Huduma rasmi zinaanza baada ya kulipa mahari na ndio maana kabla hatujaamisha mke baada ya harusi huwa tunaomba tuchungiwe mke na kuna hela ya tochi au ulinzi tunawapa makaka nje ya mahari! Kabla ya hapo ni aidha mzazi ama binti mwenyewe kama ana kazi ndio anajihudumia na hilo halina mjadala!

Huu utaratibu wa wasichana kulazimisha mwanaume awatunze ilihali hayuko obliged kuhudumia ni wa kishamba, uliishije kabla hamjawa wapenzi. Mwanaume akiamua kukuhudumia ni out of good faith tu wala hayuko obliged na sio lazima afanye hivyo. Kama hana uwezo basi ni swala lenu kushirikiana kama wapenzi kwa mawazo na mikakati ya kujikwamua kama mna malengo ya kufika mbali!

Vinginevyo wakware wenye pesa watatumia njia hii hi kuwachakata na kuwatelekeza kama toilet papers.

Evelyn Salt na wengineo mnaofosi kuhudumiwa ujumbe uwafikie! Case closed!
 
Hata Kama unahela kiasi gan,, mwanaume anampa hela yule mwanamke ambaye tayari ana uhakika wa Umiliki juu yake.( She is mine)

Ndio maana kuna mwanaume anayeweza kukushawishi kwa pesa umpe mbususu kama lengo lake ni mbususu.

Mwingine anaihitaji muestablish relationship kwanza ndio awe responsible kwako .

Mlivyo sasa,,,,Mtu atakutongoza, unakua sitaki nataka, Unamlia pesa yake wee, alafu ndio unajilopokesha, " Nina bwana wangu, ananipenda sanaa na mimi nampenda ,sifikirii kumsaliti".

Mnakula nauli za watu. Hamtokeiii....nyie ni watu[emoji23][emoji23].

WANAUME WENZANGU, HUSUSANI VIJANA, MSIOGOPWE KUITWA MABAHIRI ,SIJUI HAUNA HELA SIJUI MASIKINI, NAJUA UNAJIJUA ULIVYO HIVO[emoji116]

[emoji117]Heshimu sana Pesa yako.
[emoji117]Kua na nidhamu na pesa yako.
[emoji117]Iombee Mungu Pesa yako ailinde.
[emoji117]Toa sadaka na zaka.
[emoji117]Saidia wahitaji hata watoto wa mitaani, siku moja moja nunua nguo hata zamitumba ,viatu katoe.
[emoji117]Fanya mamb yako ya msingi

LAKINI USIKAE KUITUMIA PESA YAKO KAMA SEHEM YA KUMFANYA MWANAMKE AKUPENDE, AKUONE KIDUME N.K .....

PENZI ITS AN EMOTIONAL DECISION AND NOT Financial decision na KUTOA PESA ni financial decision na sio Emotional.

huhitaji kutumia Pesa yako Kumfanya akutake, kufanya hivo ni kumfanya ajiaminishe yakua " She is in control ".[emoji777].

[emoji117]GUYS JIKITENI KUITAFUTA PESA NA KUITUMIA KUJIPA THAMANI, KUBORESHA MAISHA YAKO. JIPENI THAMANI , YAAN HATA AINA YA WANAWAKE WATAKAOKUJA KWAKO NI WALE WAPIGANAJI, WANAOHITAJI UWAFUNDISHE JINSI YA KUVUNA PESA ZAO, WANAOHITAJI UWASAPOTI KWENYE JUHUDI ZAO ZA UTAFUTAJ, WANAWAKE AMBAO NI "VERY BRIGHT VICHWANI , WANAOHITAJI KUA HURU KIUCHUMI...

Usipojipa thaman we mwenyewe, maana yake ILI UMPATE MWANAMKE ,UTAHITAJIKA KUA MTUMWA ,UTUMIE NGUVU NA PESA ULONAYO KUMSHAWISHI Ili tu akukubalie.

Nahawa ndio kila siku hahishi kukupiga mizinga ile mikubwa yaan (INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES) alafu ya mara Kwa mara.

[emoji117]Jipeni thamani , thamani inakupa nafasi ya machaguzi, thaman inakufanya, USIHANGAIKE KWA WANAWAKE...BALI WANAWAKE WAHANGAIKE KWAAJILI YAKO.

UKIJIPA THAMAN, KUMPA PESA MWANAMKE, ITABAKI NI UAMUZI WAKO WA KICHUMI .

UKIJIPA THAMANI, WANAWAKE WEEENGI WATAKUJA YAAN WENGIIIII NDUGU ZANGU, WATAKUJA , NA WAKIJA, SABABU UNA NAFASI YA MACHAGUZI, HAUTAKAA KAMWE KUTUMIA PESA YAKO ,KUMSHAWISHI MWANAMKE AWE WAKO.

SANASANA UTAITUMIA KUMUHUDUMIA MWANAMKE ULIYEMCHAGUA KATIKA HAO WENGII....NAHUO NI WAJIBU WA KIUME[emoji123]
Chief kumbe ni genius ivi sikuwahi kuwaza hilo, am sorry
By the way tunawezaje kujipa thamani in day to day activities.
 
Wazungu wanajitambua sana yani[emoji28] sio siri mzungu anajua kabisa kwamba its so fuccking disgusting kuwa omba omba!

Yani haijawahi kuwa sawa kwamba lazma yeye alipiwe kila kitu vingine anajiongeza tu. Inaleta balance flani kwenye mahusiano hasa ikiwa wote mnajiweza a man feels proud to spend on such kind of woman sababu nae anamjali na mapenzi motomoto yani hamna chembe za utapeli ndani yake. Bongo wapo wanawake design hii ambao sio wachoyo na wabinafsi japo ni wachache mno. Yani ratio yaweza kuwa 5% out of 95% na wakipendaga they do love for real! Utakula nae bata and still she makes you feel at ease sababu she is loyal.

About 95% ya madem wa kibongo ni wabinafsi na roho za kimaskini siku akispend hela yake kwako hata buku tu anaandika kwenye diary ipo siku atakusimanga na hilo buku yani wengi they don’t have such hearts. Atatumia 10K yake kwako kukulainisha ila atakupiga mzinga wa 50K yani lazima ajilipe [emoji23]
Wanawake wakizungu sijui wapoje yan utakuta mwanamke ana tumia pesa zake hatumii pesa za mpenz wake, ata wakienda kutoa pesa ATM utakuta mwanamke ana toa pesa zake na mwanaume ana toa pesa zake.
 
Tuwaache tu wale wenzetu wako mbele sana kifikra na kitabia
 
Shida sio ninyi kuomba hela, sisi wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunaowapenda, ila shida ni kuwa nyie wanawake mnaoomba hela Muda mfupi baada ya kutongozwa, huwa hamtoagi papuchi..yani natumia laki 3 kukuhudumia, sipati hata kiss, Hlf unaenda kumpa papuchi mwanaume ambaye hajawahi kukupa hata tsh 500 Si ufala huo

Siku ingine mwanaume ukikutana na mdada anayeomba hela mda mfupi baada ya kutongozwa, lazma uje kuanzisha uzi humu jF, yani hata ukimpa mdada nafasi ya kukukataa pindi unamtongoza, ili kama hataki usimsumbue, anakudanganya kua anakupenda, hlf kesho yake anaomba hela

Last but not least enyi Wadada sisi wanaume tunawapenda, na tunapenda kuwapa hela, ila kufanywa maboya tumechoka suzie _barbie Evelyn Salt Dinazarde
 
Siamin mpaka unitumie hela kwanza 😂😂😂
 
Unapodate na mwanaume , wewe mtoto wa kike tambua level ya mahusiano uliopo nae. Mtu hajakutambulisha kwao wala kukuposa kwenu, unajipa hadhi ya mke kwake. Hii ndio inawafanya muwaone kama wanaume zenu ambao hawatimizi wajibu wao kwenu na mnaishia kujidisappoint mkidhania wanaume ndio wanawadisappoint.
Upheld brother👏👏👏
KIUFUPI WAAMBIE WAWE NA KIASI👌
 
Shida sio ninyi kuomba hela, sisi wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunaowapenda, ila shida ni kuwa nyie wanawake mnaoomba hela Muda mfupi baada ya kutongozwa, huwa hamtoagi papuchi..yani natumia laki 3 kukuhudumia, sipati hata kiss, Hlf unaenda kumpa papuchi mwanaume ambaye hajawahi kukupa hata tsh 500 Si ufala huo
HIGHLY UPHELD AND SECONDED BROTHER👏👏👏
Hiki kitu ulichokiongea ni ukweli uliowazi kabisa kwamba hawa watu..... THEY AIN'T GOT LOYALTY IN THEIR GENES

-Plus, hilo jambo nilishawahi kulishuhudia kwa mwanangu flani hv
 
Weree... mma roho mbaya nayo kweli. Kila nikiifikiria naihurumia. Kuna saa nalachungulia kanatia huruma kenyewe kametulia kanarembuaaa. Basi nakaambia tulia, nitakulinda kama last born. Basi ndo kametulia kwenye cotton huko hakana hata wasiwasi. Sikagawi bana. Ubaya ubayani tu. Usifikiri nikicheka cheka na wewe ndo nakupa. Mifupa ya babu yangu kaburini

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Nyie wadada wanafiki mnavojishebedua huku jF kuwa hamgawi papuchi kwa kila mtu, wakati mshajua ladha ya aina tofauti ya mikuyenge mingi..huo utopolo uloongea hapo juu ndio unawaambia Wanaume unaowaona ni washamba (beta males), ila wanaume wanaokuvutia kimuonekano wanakulabua kama Kawa, si ajabu hata bikira ya mpalange washasepaga nayo miss pablo
 
Look at urself. What a shame to the society. Trash

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Look at urself. What a shame to the society. Trash

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app

Samahani dada yangu nlikutukana, ila nlichokuambia ni ukweli halisi. Hayo maneno ulioringia nayo humu jF ya kuwa:

1)"hutembei na kila mwanaume"
2)"ooh wewe sio mrahisi"
3)"we mchoyo wa papuchi" etc hayo maneno mm mwenyewe nshaambiwa humu mtaani na Wadada Ambao wananiona nina Sura ya sokwe, au Wadada wanaotongozwa na wanaume wasiowataka...so hayo maneno uliosema humu jf ndo unawaambiaga wanaume unaoona wana sura mbaya.

Ukweli ni kwamba:
1) Ukikutana na mwanaume handsome, anaekuvutia, akakutongoza, ww ni mrahisi sana, na utampa papuchi kirahisi, ila unaringa humu jF, ili sijui tukuone mtakatifu sana, au una thamani sana i don't know..

2) Huenda ulibadilisha, unabadilisha au utabadilisha mikuyenge aina tofauti ili ujue ladha ya wanaume tofauti wanaokutongoza, that's a fact miss pablo
 
Wewe, pumzika. Unajipa stress na mihemko kwa miili na maamuzi ya wengine. You are such a boy...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Samahani dada yangu nlikutukana, ila nlichokuambia ni ukweli halisi. Hayo maneno ulioringia nayo humu jF ya kuwa:

1)"hutembei na kila mwanaume"
2)"ooh wewe sio mrahisi"
3)"we mchoyo wa papuchi" etc hayo maneno mm mwenyewe nshaambiwa humu mtaani na Wadada Ambao wananiona nina Sura ya sokwe, au Wadada wanaotongozwa na wanaume wasiowataka...so hayo maneno uliosema humu jf ndo unawaambiaga wanaume unaoona wana sura mbaya.

Ukweli ni kwamba:
1) Ukikutana na mwanaume handsome, anaekuvutia, akakutongoza, ww ni mrahisi sana, na utampa papuchi kirahisi, ila unaringa humu jF, ili sijui tukuone mtakatifu sana, au una thamani sana i don't know..

2) Huenda ulibadilisha, unabadilisha au utabadilisha mikuyenge aina tofauti ili ujue ladha ya wanaume tofauti wanaokutongoza, that's a fact miss pablo
Punguza ukali wa maneno khaaa
We Kwan unatumia k moja tu
Mbona **** Zétu zinawauma mno
 
Back
Top Bottom