ebro jerry
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 354
- 657
Mwanadamu hususani mwanaume au Kiumbe chochote Cha kiume kimeumbwa na tamaa..Umewaza vizuri, kwakweli sijui kwanini mnatamaa hiviπ«’
duhh hatari!Mwanadamu hususani mwanaume au Kiumbe chochote Cha kiume kimeumbwa na tamaa..
Ndiyo maana dume Moja majike kama yote..
Ndiyo ulimwengu ulivyo, na kiuhalisia sisi ni Polygamist/watu wa kuona wake Wengi..
Hawa wazungu ndiyo wametuletea huu ushenzi wa ndoa ya mke mmoja (Monogamy) ..
Eti ndoa ya wake Wengi ni dhambi, ili malaana ya ushoga na usagaji fresh tu,..
Kumbe lengo lao tusizaliane ili jamii isipate wasomi, nguvu kazi, wagunduzi n.k kwa tamaa yao ya rasirimali zetu za kutosha katika Africa yetu..
Ni sawa inaweza kuwa Baraka kubwa sana nakubaliana nawe..Duh aiseee! Leo sikuwa na mpango wa kucomment huu uziβ¦.
Kutokutakwa na mwanaume kama wewe ni baraka kubwa sana!
Stay in your lane mdau..Upuuzi wangu Kuna watu wamelike, Kuna watu wamepita kama hamna kitu...Maoni tu usijae povu..Umeandika upuuzi mwingi sana mdau
nimekuelewa vizuri bravoNimekuelewa..
Wengi sana hujikuta ni wasagaji..
Na Moja Kati ya Factor kubwa ya mapenzi ya jinsia Moja, kwamfano mtu mwenye Swagger kupenda sana Kijihusisha na michezo/Career ambayo nature yake ni ya kiume na ya kutumia nguvu kama Soccer β½, Basketball, Kunyanyua vyuma (Weightlifting), n.k hujikuta wengi ni wasagaji kwasababu Psychologically na naturally ni ya kiume kwa hiyo anajikuta anakuwa na mahusiano na wanawake wenzake..
Sio wote ila kwa asilimia kubwa (Wengi ni mashahidi hata kama hawajitangazi hadharani lakini tunajua wanamichezo wengi wa michezo hiyo ni Wasagaji)
Vivyo hivyo hata kwa wanaume wanaojihusidha na masuala ya mitindo/Modelling na wabunifu wa mitindo nao hujikuta wengi ni mashoga kwasababu mambo ya mitindo naturally ni ya wanawake kwa asilimia kubwa..
Sio wote, lakini kwa asilimia kubwa chinguza vizuri kwa wakati wako utakuja nipa majibu..
Mimi ukiwa msumbufu as long as tupo kwenye Close R/ship ya Mimi na wewe tu, hakuna mtu mwingine ni sawa..hizo ni wishful thinking tu, hawataki malaya at the same time hawataki usumbufu,unawaelewa kweli?
naaaamOoh hao ni matom boy
Mdogo wangu si unajua mie mtu hatari. Naweza fumba macho na bado ubongo ukaona mbaliBro ume badilisha mstari wa hatuna kesi by blue, ukasifia kibumbu ππ
Nami ndio maana naenda kwa tahadhari, napenda kuwa ulia nyoka ghetto la karibu japo fimba yangu inafila mbaliMdogo wangu si unajua mie mtu hatari. Naweza fumba macho na bado ubongo ukaona mbali
Bro sijasema lazima iwe hivyo hujanielewa..Hao ndio wanaofundishaga wanawake mavitu ya ajabu, na hao ndio wa kwanza kuwahukumu wanawake kwa tabia hizo! Mwanamke unampenda unaanzaje kumpitishia vidole kwenye nanii ya takataka!!!
Bro sijasema lazima iwe hivyo hujanielewa..
Kwenye sex hata Mimi mwenyewe sio kwamba ni Mwalimu wa Walimu..ni mwanafunzi tu wa Baby Class..
Kuna vitu unavipenda na wengine hawavipendi ..
Ukikutana na unayematch naye basi ni Blessing sana..
Wewe unashangaa mtu kufanya anal fingering pekee kama foreplay, je anayepitisha Dhakari kwenye Mpalange kabisa??
Wakati nakua nilikuwa nawashangaa sana watu wa dizaini hiyo, lakini kuishi kwingi nimejifunza kwamba niishi kwenye mstari wangu..
Vya kuvifanya nivifanye, na nilivyojiwekea kutovifanya hata ushawishi uweje SIFANYI..
Kwasababu nikiendelea kuwashangaa hawa wanaofanya hivi, sio wa kwanza na ulimwengu haujaanza Leo..
NASHAURI INAPOBIDI, NA IKIWEZEKANA NINAPOOMBWA..
Haya ni maoni tu mdau..
Tupige kazi kujenga Taifa π€πΏπ€πΏπ€πΏ
Kwahiyo Relax mdau..Hao ndio wanaofundishaga wanawake mavitu ya ajabu, na hao ndio wa kwanza kuwahukumu wanawake kwa tabia hizo! Mwanamke unampenda unaanzaje kumpitishia vidole kwenye nanii ya takataka!!!
sasa kama na yeye amekuelewa asikubali?aaaaahaa !
-nikimtongoza msichana akakubali siku iyo iyo,
-kuwa bize na simuwakati tunaongea/ kuwa na wasiwasi simu ikiwa mbali au nikiishika
-tupo wawili lakini anaongea kwa sauti kama yupo kwenye debate
-kucheka cheka hovyo bila sababu
vinanikata stim kabisaaaπ
Brother kwenye sex hakunaga huruma..Mbaya zaidi unakuta huyo mwanamke anakuja kuolewa na innocent boy π
Ndo mwanzo wa kuonekana hujui mapenzi, huna nguvu za kiume n.k kumbe n girl mwnyw amezoea mikikimikiki
Ah kudadeki, Sir God naomba uniepushe na hiki kikombe π
ata ungekuwa ww umekutana na mwanamke kwa mara ya kwanza unamtongoza anakubali lazima upate wasiwas, bora siku 2, 3, wiki hiv apo atleast !sasa kama na yeye amekuelewa asikubali?
Yes ni kuomba tu upate muaminifu na msimu basiiii..Mbaya zaidi unakuta huyo mwanamke anakuja kuolewa na innocent boy π
Ndo mwanzo wa kuonekana hujui mapenzi, huna nguvu za kiume n.k kumbe n girl mwnyw amezoea mikikimikiki
Ah kudadeki, Sir God naomba uniepushe na hiki kikombe π
Ndiyo hapo Sasa..sasa kama na yeye amekuelewa asikubali?
UMEMALIZA KILA KITU..Ndio kinachotokea, mwanamke ukikuta yupo namna flani, ujue amewahi kutana na mtu akamfundisha namna hiyo.
Wengine burudani hio kwetu.. Worshipping the beauty of a woman.. Licking every corner π€£ππYaani mtu anataka kukubinuabinua tu bila sababu, anakulazimisha kukulambalamba mwili mzima kama mwendawazimu!
iyo ipo okk kama ulishaona viashiria mapema, ila nilimaanisha mwanamke ambaye ni siku ya kwanza kumuona tu !Na unakuta sometimes mtu anaenda tongoza kama Kuna viashiria vya kwamba anakukubali..