Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

Wanawake wanazingua iyo ipo wazi lakini huu uzi utaumiza watoto wengi sana kama mtu atamchukulia uyu jamaa katoa fact ila ukweli ni kwamba jamaa kaandika kwa mihemko tu kachanganya mbichi na mbivu...

Kila mtu ana moyo wake na akili zimetofautiana matatizo ya mama usimpe mtoto wako alafu ukajiona mwanaume, mwanamke kiumbe dhaifu sana ukishindwa kumcontrol wewe ndo unakua fala mmoja yani umekosa mbinu zero brain

Kuna muda wivu wa mapenzi unapelekea mke na mume kutoelewana, hapa jukumu lako mwanaume kua mvumilivu na usikae mbali na watoto na unatakiwa ujue kivyovyote mwanamke atawajaza maneno ya sumu watoto ili wakuchukie iyo ndo nature yao wanawake wote

Usishindane na mwanamke we shubaamiti ishi kwa akili watoto watafika muda watajua tu umuhimu wako haijalishi mama yao kawaambia nini, maamuzi yakuwatelekeza watoto wako wa damu kwa sababu za kipumbavu zinazosababishwa na mama yao huo ni UBOYA PLUS tumia akili

Na inawezekana mtoa uzi hana hata mtoto[emoji28]

Sisi wengine tumekua kwenye familia za migogoro ya wazazi tunajua kiundani nini kinatakiwa kifanyike, usiwe mwinyi sana kwenye maisha ya siku izi wanawake hawajalelewa kutumikia umwinyi
 
Sema tuu hii nchi kuna mahali hapako Sawa Yani hata wahariri wa gazeti la mwananchi wanajifanya Hawazioni nakala zako tungekuwa tunajielewa tayari ungeshapata kitendo Hapo mwananchi wakupe ukurasa uanze kazi ya kuandika. Huwa nazifatilia sana mada zako
 
Unyenyekevu unaouzungumzia hapa ni upi ... Uchepuke Mwanamke aseme naam.. endelea baba.. uchelewe Kutuma matumizi akuonee huruma .. au unyenyekevu upi?

Mwanaume umuinue kiuchumi apate mafanikio , hasikumbuke kizazi chake akaonge nje Akatae kusomesha na kulea watoto wake unamnyenyekea wa nini

Unampoteza karma imtafune unaendelea na Maisha yako
 
I wishi i cudu be an Aigipi! Ninyi waleta watoto duniani bila mpangilio mngenyooka, wote wame kwa wake. Wame kwa wake mngejifunza nini maana ya Condom na mngefundishana kuvaa. Hii nchi tunachekeana mno!

Mt.omban. msikie raha, mmoja apate mimba alete mtoto duniani halafu muanze danadana! Aiseee!

Mngehesabiwa sensa na wote vipato vyenu vingejulikana na mngechangia malezi ya mtoto bila excuses, kama wewe unakula mtoto atakula na kama unavaa mtoto atavaa. Kwa hili tusingeelewana aisee, Mbona nchi za wazungu wameweza, Kama baba/mama ana afya na akili timamu anapaswa kuchangia malezi ya mtoto aliyeshiriki kumleta duniani.

Serikali ingeshughulika na watoto yatima tu, watoto ambao wazazi wao wapo hai mngelea hata kwa viboko, ngono mnapenda, kulea zinaanza siasa.!??

Yeyote mwenye mtoto angefanya kazi hata kwa mijeledi apate kipato cha kuhudumia mtoto wake, yaani! I wish i could be an IGP!
 
ushaambiwa ukitaka mtoto alelewe mwache kwa baba yake .
 
nahisi umeguswa pabaya .
 
sioni haja ya wewe taikoni kumjibu mwanamke mpumbavu[emoji847]
 
mzee taikoni yupo sahihi , wanawake wapumbavu hamna kuwaonea huruma , mwanamke wakumuheshimu ni yule mwenye haiba ya kike
 

Wanaume msizae bila ndoa, na mkizaa waoweni hao wanawake, na msiache wanawake kama Mna watoto!

Hivi kuna mwanaume anabakwa? Kwa nini uzae bila mpango? Hovyo? Mwanaume is in a position to solve all these problems.
 
saikolojia inaonyesha umezaa na mume wa mtu ndomaana unatoa mapovu
Sometimes ni better kunyamaza not to expose the level of ur stupidity dear na hayo sio mapovu huo ni mtazamo wangu wewe ulitakiwa kuleta wako. Balehe uzeeni zinasumbua sana mtu unakua kama una makamasi kwenye ubongo smh
 
Af umejiunga jf juzi najuta hata kukujibu looks like hujui hata kilichomo umejaa mihemko na ushamba unanuka maziwa komaa kidogo ndo urudi humu fool
saikolojia inaonyesha umezaa na mume wa mtu ndomaana unatoa mapov
 
Wanaume msizae bila ndoa, na mkizaa waoweni hao wanawake, na msiache wanawake kama Mna watoto!

Hivi kuna mwanaume anabakwa? Kwa nini uzae bila mpango? Hovyo? Mwanaume is in a position to solve all these problems.

MWANAUME Habebi mimba wala Hana mamltna mimba,
Mwanaume hazai wala hatakuja kuzaa.

Ukielewa Jambo hili itakusaidia kujua Nani anatakiwa kujidhibiti zaidi
 
Af umejiunga jf juzi najuta hata kukujibu looks like hujui hata kilichomo umejaa mihemko na ushamba unanuka maziwa komaa kidogo ndo urudi humu fool

Kwa hiyo kwako kujiunga JF ni Sifa??
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Dunia inavioja kweli, ushamba Mzigo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…