Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
sioni haja ya wewe taikoni kumjibu mwanamke mpumbavu[emoji847]
Namjibu nikiona kuna haja ya kufanya hivyo. Na sio Kwa ajili yake au kumbadilisha Bali Kwa ajili ya wengine ambao hawajaharibikiwa.
Ukiona Taikon anatumia muda wake Kwa ajili ya Mtu Mpumbavu jua kabisa sio Kwa ajili ya huyo Mpumbavu.
Kwani najua Mpumbavu hakuna mwenye uwezo wa kumbadilisha akili yake. Hata maandiko yanaeleza.
Soma hii Kwa uchache,
Mithali 27:22
Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.
Mithali 29:9
Mwenye hekima akijadiliana na mpumbavu; Akikasirika au akicheka, pia hapana raha.
Mithali 29:11
Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote; Bali mwenye hekima huizuia na kuituliza.
Mithali 21:9
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.
Mithali 9:13
Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu.
Mithali 14:1
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Hivyo wala asikusumbue, Kelele zake ndio nguvu ya upumbavu wake, atatukana na kutoa matusi lakini hakuna anachokijua.
Bishana naye kama unajisikia raha kusikia kelee zake na matusi yake😂😂