Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Papuchi haiuzwi, wala hailiwi bure…. ukila demu na hakuombi hela kimbia haraka sana.
 
Kwenye mapenzi usiingize siasa; wewe tafuta mwanamke wa levo yako ambaye unaweza lipia huduma yake ya uchi, ukikinai unahamia jwa mwingine. Kwa nini uhangaike kumgeuza malaya awe mke anayefaa? Ukifika wakati wako wa kuoa utatafuta mwanamke mwenye sifa ya kuwa mke unaoa mambo yanasonga mbele.
 
Ukiwa ombaomba mwanaume anakuchukulia poa. Hela utapewa si una njaa ila utapigwa utaachwa sababu thamani yako ipo kwenye pesa sio wewe.
Mkuu hao wasioomba pesa wote huwa hawaachwi??
 
Aisee
 
Kuna wanawake wapo wastaarabu sana hata anapokuomba pesa unaelewa huyu anahitaji tena wa hivyo hata hausubiri aombe ila utu twenye njaa ndio unakapa hela vinagongwa vinaachwa.
Wanaume wenye njaa nao mmekuwa wengi mnoo...unakuta mwanaume amekamilika anasema alimpa demu efu20 sjui 15 ya matumizi kheeee afu anajisifu amehudumiaaaa😂😂😂😂😂
 
Huyo Domo zege...kula pesa yake Hadi atakapopata akili...si ametuma kwa ridhaa yake mwenyewe bila kuombwa?
 

Point kuntu sana hii japo watakuelewa wachache[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Aiseee Kuna manz sikuwahig kuonana nae for the first time ilikuwa chatng tu za simu Kama miez sita hv Zaid ya kuona picha zake Mara ya kwanza kaomba 50k nikamtumia ikawa destur nikawa namtumia mazaga kila kitu.

Siku niliyokutana nae alikuwa Yuko good saana beautiful flan tukapata dinner moja matata Sana nikaenda mchekecha maini na Figo swafi.

Siku nisio itarajia yule manz aksema leo nakufanyia surprise nikawait Aiseeee nashangaaa muamala 1.5m imeingia bimdada alikuwa serious na mm Ila mm mambo yalikuwa meng
 
Tanzania ili tufikie uchumi wa kati katikati nilazima wanawake mbadilike na mkiamua inawezekana....nimeishi ulaya mwanamke wakule ukimtia out maramoja tu awamu ijayo anakwambia kilakitu nitalipa Mimi....nyinyi wahuku kwetu chawa chawakweli/kupe
 
Malalamiko hayo yamechagiwa pia na wanaume wa siku hizi kupenda kitonga(slope)wengi wanaolia lia hawana pesa yaani pesa ni ya kubangaiza hawataki kutimiza majukumu yao kitu kinachofanya malalamiko yazidi kuongezeka
 
Wengi hawasimami barabarani lakin wanafanya biashara ya kujiuza , kutumia ngono kama njia ya kujitafutia kipato, ni wachache wenye mapenzi ya ukweli na wasio endeshwa na tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…