[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah ameshangaa unawezaje kumiliki mademu wa 3 kwa wakati mmoja [emoji28][emoji28][emoji28] maana mzungu wazo la kumpanga tu linahitaji akili ya ziada! Nafikiri sababu wanajitosheleza kiuchumi...Huku mahusiano ni backup plan ya kudhibiti njaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Ila dada zako wasife njaa na waendelee ku slay mjini inawalazimu wawe katika mahusiano na wanaume wahongaji almaaruf ma Danga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawaida TU mzee baba Hawa viumbe sio Kama hawawez kutoa pesa wanatoa saana sema timing yako ukiwa na haraka nao wanakufiris wew huwa wanatoa bila kulazimishwa kwa hiar yao.kama naweza kabidhiwa ATM CARD na inavyuma vya kutosha na Sina muda wa kwenda kutoa mpaka naulizwa mbona hutoi pesa kidogo ya matumiz kila siku unatoa kwako leo katoe katika akaunt yanguEeh una kismati mzee baba
Hahahahah mtoi anakuwa kajijabidhi mazima kwa muhuni😝😝😝! Sema ukiwa real nao ndio inakuwaga namna hio ila ukijifanya mtu wa kuvimba vimba ndio wanawapasuaga washamba wale!Kawaida TU mzee baba Hawa viumbe sio Kama hawawez kutoa pesa wanatoa saana sema timing yako ukiwa na haraka nao wanakufiris wew huwa wanatoa bila kulazimishwa kwa hiar yao.kama naweza kabidhiwa ATM CARD na inavyuma vya kutosha na Sina muda wa kwenda kutoa mpaka naulizwa mbona hutoi pesa kidogo ya matumiz kila siku unatoa kwako leo katoe katika akaunt yangu
Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa
Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza
Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
Umasikini ni kichocheo kikubwa sana, kiukweli kibongo bongo wadada wengi uwezo wao wa kifikra na kuchanganua mambo ni mdogo sanaIla dada zako wasife njaa na waendelee ku slay mjini inawalazimu wawe katika mahusiano na wanaume wahongaji almaaruf ma Danga
Ndio maana wanaomba omba hela kiboya na wanaona wanastahili kabisa kupewa😝😝😝 ukiwanyima wanakutukana kabisaumasikini ni kichocheo kikubwa sana, kiukweli kibongo bongo wadada wengi uwezo wao wa kifikra na kuchanganua mambo ni mdogo sana
Wanawafundisha mpaka Kakazao, unakuta dume nzima na afya yake imetulia baa inaomba inunuliwe bia.
Mm kujivimbisha siwez kwa Hawa watu.ukiwa unavimba wanakutumbua saana mpaka unachanganyikiwaHahahahah mtoi anakuwa kajijabidhi mazima kwa muhuni[emoji13][emoji13][emoji13]! Sema ukiwa real nao ndio inakuwaga namna hio ila ukijifanya mtu wa kuvimba vimba ndio wanawapasuaga washamba wale!
Utaambulia manyoya tu. Nyama watakula wengine wenye kutuma hela. Usimsikilize huyo anajaribu tu kupangua hoja za hiki kikao cha wanaume kujikwamua kutoka kwenye makucha ya mizinga iliyokithiri.kuanzia leo ntakua natuma maneno tu maana pesa zinakukera.
Mm huwa nawachana tu unaniomba pesa umenipa wazo lolote la kuingiza pesa tangu tumefahamiana mm Nina principal zangu yaani nimekutoa mtoko Mara 3 zote hata Mara moja husemi Leo wacha nikuhudimie aisee napiga chiniNdio maana wanaomba omba hela kiboya na wanaona wanastahili kabisa kupewa[emoji13][emoji13][emoji13] ukiwanyima wanakutukana kabisa
Hapo ndio utajua Sasa ukimtosa tu hzo status zake whatsap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mungu pekeee anaejua tunavyonangwa****** kuna mdada mmoja nilimpeleka mtoko flani hv usku baada ya matumiz ya hapa na pale bill ikaja 100k nika clear ile mambo huko njian Sasa naambiwa Nina matumiz mabaya Sana ya pesa Ni Bora hyo pesa ungenipa nipate kamtaji kidogo nikupunguzie gharama hata siku ukikwama nikusaidie hata kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahah ***** unakuta mtoto njaa ila anataka muende viwanja vya Masaki auze sura snapchat!
Wewe hela huna!!!naomba nikutumie pesa please nicheki DM, niko serious
Njoo kwangu Sasa utulie tuleaneMwanamke ukijidai eti huombi pesa ili uonekane wife material itakucost, labda kwa mwanaume anaejielewa, kwa upande wangu Sina jadi kabisa ya kumuomba pesa mmwanaume hata Kama Nina shida Hadi makalioni,
But ilishanitokea Nilikuwa na mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote ,simuombi pesa Wala Nini, lakini hakua anajiongeza ata nauli, ila ukienda mtenbelea anataka ufanye kazi zite za mke ,kufua ,usafi ,kupika,nk, lakini hajiongezi ata sumni.nilikuwa naona kawaida coz nilikuwa nampenda, kumbe mwenzangu ananichukulia Kama sex partiner na mm namchukulia Kama husband to be, imagine.
Saanyingine unawaza Ni Bora kuexchange goods
Sio muda wote
Mtu anayedhani pesa ni kila kitu ni ngumu kuishi nae
Kuna muda uwepo wa mtu ni muhimu kuliko pesa
Sorry we ni mwanamke na nusu aise; hivi wewe ni toleo la hawa hawa tulionao huku mtaani au toleo la zamaniMapenzi ya kweli ni muhimu kuliko pesa
Rudia kusoma vizuri nilichoandika
Hakuna nilipoandika pesa zinanikera
Tafuta hela acha kulia lia njaa ni hilo tuWe mpare em tulia majukumu kwani mimi mzazi wako. Kabla ya mimi nani alikua anabeba haya majukumu? Hivi ni kujilemaza kiakili, kimwili na kifikra.
Sent using Jamii Forums mobile app