Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

Kwani hauwezi kuwa unafanya kazi lakini majukumu yako ya nyumbani unafanya kama kawaida kwa kiasi chake?
 
Hivyo umeongea wewe ila ujumbe wake haujamaanisha hivyo ulivyosema
Ujumbe wake umemaanisha alichomaanisha. Hajashambuliwa sababu kaeleweka vibaya, kashambuliwa sababu ya vita ya control.

Mbona ni rahisi sana? Kwani amesema usifue boxer kama umesoma? Sasa Kosa lake ni lipi? Kwanini anashambuliwa?

Mkuu, usipoteze muda kuelewesha alichomaanisha, we elewa tu sababu halisi ya kushambuliwa kwake.

Kueleweka vibaya ni kichaka cha kupeleka mashambulizi maana inajulikana, mwanamke anavyojitambua ndivyo control inapopungua.
 
Samahani Nini naomba kuhuliza hizo degree nne ni zipi najua mimi mwisho ni degree tatu tu au kasoma fani tofauti tofauti.
Badala ya kusoma master yeye kaamua kusomea course nyingine
 
Nimekuelewa kwa lugha nyingine tuna insecurity
 
Mkuu, kwamba mwanamke msomi asiishie kufanya domestic activities ni lugha ambayo ninaamini wengi wetu hapa tumemuelewa vizuri sana tu. Swali ni kwamba ni kwa kiasi gani mwanamke msomi au hata asiye msomi wa Kitanzania analazimishwa kufanya domestic activities au kuzuiwa kujitafutia riziki kwa nguvu na vipaji vyake? Jibu ni kwamba ni wachache sana.
 
Nimekuelewa kwa lugha nyingine tuna insecurity
Hapana. Hatuna insecurity. Mwanamke naye anapigania control, nothing else. Viumbe hai vyote vinapigania control kwa namna tofauti tofauti. Simba anaua cubs wa simba mwingine kwanini? Ni control.
 
Hapo wewe uliyeamua kuolewa na Mwanaume wa hivyo ndio hujitambui na hujui unachokitaka kwenye maisha yako. Kila mtu awajibike kwa uchaguzi wake!
Nani kakwambia mie nimeolewa??? Kwani ni mpaka uolewe ndiyo ujue kuwa wanaume wanapenda kuendesha wake zao??? Ndiyo sababu mnamshambulia Dada wa watu bila hata kuelewa alichozungumza!!!
 
Yuko sahihi kwa asilimia mia anachokisema huyo dada, atapingwa sana na ule ukoo wa mfumo dume lakini hicho ndicho nimekuwa nikiwafundisha mabinti zangu kukitafakari kwa kina japo niko kwenye ndoa tayari tena kwa miaka zaidi ya ishirini.
 
Kwaajili ya familia ya Wazazi wake na pamoja na ya kwake na mumewe na ndio maana wewe ukioa mke wako lazima awe anasaidia nyumbani kwao Ndio maana Kuna wakati unaweza kujiuliza pesa ya mke wako huwa inaenda wapi mbona inaisha haraka ni pamoja na Hilo ukishaoa utalijua hili
 
Yuko sahihi kwa asilimia mia anachokisema huyo dada, atapingwa sana na ule ukoo wa mfumo dume lakini hicho ndicho nimekuwa nikiwafundisha mabinti zangu kukitafakari kwa kina japo niko kwenye ndoa tayari tena kwa miaka zaidi ya ishirini.
Ni kwasababu wabongo ni wafuata mkumbo, wakukurupukaji na sio wazuri kwenye kusikiliza kwa umakini hivi mzazi yupi angaike kukusomesha kwa gharama nyingi alafu eti uwe mama wa nyumbani?
 
Kwani hakuna wanawake wenye mentality ya kutopenda kufanya kazi?
 
Mi sijui kwakweli manake mm sina degree yeyote/Diploma/certficate
Kwahio sifahamu wao wanafikiriaje
Kama wewe umeamua kuhudumia familia na mume wako ukiwa nyumbani hongera sana maana mmekuwa wachache sana
 
Hapana. Hatuna insecurity. Mwanamke naye anapigania control, nothing else. Viumbe hai vyote vinapigania control kwa namna tofauti tofauti. Simba anaua cubs wa simba mwingine kwanini? Ni control.
Kama anatafuta control ataipata kwa mwanaume anayemziki kipato na upeo
 
Reactions: Tsh
Halafu ngoja huyo mwanaume afariki ndugu wa mume wanataka kunyang'anya kila kitu na kusema kuwa "mwanamke alikuwa mama wa nyumbani tu alikuwa hafanyi kazi" hana mchango wowote kwenye familia!!!! Shit!!!!
Hili suala la ndugu wa mume sijawahi kulielewa! Wao mali zao ziko wapi wasizigawane watake za ndugu yao?

Ntakuja kukata mtu na panga walahi 😂😂😂 Unyonge wa aina gani huu?
 
Igweeeeeeeeeeee 🫡
Mwanaume mwenzenu naye basi mtambishia mlivyo vichaa..!! 😹😹

Utetezi wao “wazee wa zamani waliishi kwa kumtawala mwanamke” haya mrudi zamani mkaishi huko MSITUCHOSHE 😹😹
Kichogoooo 😂nimecheka sana
 
Nimejaribu kufikiria na kuvaa viatu vya mimi kama baba wa binti, yaani nimemgharamia binti yangu na kumpa elimu nzuri kwa kujinyima...

Binti yangu anakuja anapata kazi, lijamaa linatokea linamuoa, linamuachisha kazi na kumfanya mama wa nyumbani.... Lenyewe likitoka kazini ni mwendo wa kutomber tu na kupikiwa mpaka inaonekana mimi mzazi nilisumbukia binti yangu aje iwe material ya kuliwa tu na kutumikishwa utafikiri mtoto wa mbwa..
 
M
MKe wako nae ni mtoto wa mtu 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…