Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
MumeanzaHata kama ndo mshindwe kuvaa Shela hata la kukodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MumeanzaHata kama ndo mshindwe kuvaa Shela hata la kukodi?
Wanawake Wengine utasikia wanasema,"marafiki zangu watanionaje,mimi siwez funga ndoa hvyo bora tuache tu,nitawaibisha ndugu zangu"KIjana ameshinda pressure kubwa kutoka upande wa mwanamke akiwemo mwanamke mwenyewe na pressure ya wazazi hasa mama kutoka upanda wake. Hongera kwake
Kubariki ndoa (officiating marriage)View attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa ma
Zinadamu kwa sababu huwa ni ndoa zinazoelezea personality ya muoaji na muolewaji.Hapo kijana hana hofu kanisa ,moyo wake mweupe ..Hesabia miaka 10 na zaidi ,ndoa za namna hyo zinadumu sana .
Najua huwezi kubali ndoa ikafungwa bila msafara weweUnavyopenda wewe iwe/ifanyike na mm ndo napenda.
Kweli nmependa sanaView attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Hao walikuwa na uhitaji wa ndoa siyo siyo harusi, kwa maana ya sherehe ya harusi.Inaonekana Wana kiwango cha juu Sana cha kujiendesha na kujiamulia mambo Yao!
Ha ha ha umenifurahisha inaonyesha mnapendanaUnavyopenda wewe iwe/ifanyike na mm ndo napenda.
Unataka MC wale wapi?Hii safi sana,mambo ya kuchangishana hela kwa ajili ya arusi ni ushamba na yamepitwa na wakati na pia ni ufisadi.
Mkikubaliana ninyi wawili YATOSHANimeipenda,shida kupata familia itakayo kubaliana na ndoa bila harusi