Muda huu unatakiwa uko kitandan unagawa mapenzi lakin kuja hapa kubishana na wanaume nani akuoe wewe
Ni nani amekwambia kila mwanaume anafaa kuwa mumemsituchoshe kukaa kusimanga wanawake utafikiri kwa wanaume hakuna takataka.
Kabisaa mkuuAnhaa.. yaani kumbe sababu mtandaoni ni rahisi kuwapata?
Hakuna mwanaume asifaaa kuwa mume kwan sisi tunaoa tunaolewaaMwanaume asiyefaa kuwa mume ana sifa zipi?
Hahah hahhaaha hhahaamwenyewe ndio umejitutumua hapo na kutoa jiwe, smh bado hujafikia kuitwa mwanaume, ni kavulana chenye kamejaa kamasi
Wewe ni wa kupiga na kusepamwenyewe ndio umejitutumua hapo na kutoa jiwe, smh bado hujafikia kuitwa mwanaume, ni kavulana chenye kamejaa kamasi
Kabisa wengi wanajiuzaa kisasa sio ile ya kwenda bara baran kama zamani
Hakuna mwanaume asifaaa kuwa mume kwan sisi tunaoa tunaolewaa
Ukiona mwanamke anataka kuwa juu ya mwanaume huyoo hana malezi kaka na pia epuka kumuoa atakusumbua sna huyoo mwanamke mwanamke anatakiwa awe kimya mwanaume akiongeaaUmesema vyema, nasubiri jibu lake hapa tumuone
Uko sahihi sasa mwanamke anajipost mpaka Tiktok ndo awe mama wa wanao kweli?
Mwanaume kuwa na wanawake wengi haimvunjiii heshimaa
Ety anabinua makarios tik tok huyoo ni mama au malaya mmojaUko sahihi sasa mwanamke anajipost mpaka Tiktok ndo awe mama wa wanao kweli?
Hahah hahaha hahahWanauza papuchi indirect, kinachonishangazaga wanataka benefits wanazopata malaya wanaojiuza direct ila wao ukiwaita malaya wanakasirika wakati nao ni malaya WTF!
sawa mkuuMatumizi ya mitandao hayaepukiki sawa ndio maana suala linalozungumziwa ni anaitumiaje hiyo mitandao ya kijamii
Mojawapo ya akili ya kuishi nao ni kuangalia mwenendo wake kwenye social media
Kwelisawa mkuu
Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k
Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume.
Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single hiyo inapelekea wengi kucheat.
Kwa sababu ya ushindani wa show off za kwenye social media mwanamke anapozidiwa na wenzake mara nyingi hujikuta ana stress na kuwa bored.
Mzee mwanamke akiwa bored lazima atatafuta a new dick to ride na ikitokea mwanaume aka-like au aka-reply kumsifia basi moyo wake utasuuzika kapata attention ya mwanaume na safari ya kusalitiwa inaweza kuanzia hapo.
Mwanamke aliye active kwenye social media anatafuta na kuzithamini likes, replies na followers kuliko upendo na muda kwa mwanaume wake.
Yuko tayari apost picha na video za mitego ili mradi tu apate likes na replies hasa za wanaume. Mwanamke kama huyo ni ngumu sana kufocus kwenye mahusiano yenu.
Njia moja ya kumtambua mwanamke aliye a low value ambaye sio wa kufanya naye maisha ni yule ambaye anapenda ku-expose mwili wake kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa kifupi ni kwamba avoid women who are addicted to social media
Your attention will never be enough for them
Learn or Perish
Mwanamke anatafuta attention always, Wanaume wengi wanapo M-DM ana feel kwamba amewin kuvuta attention zao, hii huwaongezea maringo..Kabisaa mkuu