Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

kuwa na mwanamke mmoja ni sawa na kuwa na kiatu kilichokubana uvunguni.

Kukivaa huwezi sababu ni kidogo, kukigawa huwezi sababu unakipenda.

WTF
Mwanaume kuwa na wanawake wengi haimvunjiii heshimaa
 
Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k

Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume.

Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single hiyo inapelekea wengi kucheat.

Kwa sababu ya ushindani wa show off za kwenye social media mwanamke anapozidiwa na wenzake mara nyingi hujikuta ana stress na kuwa bored.

Mzee mwanamke akiwa bored lazima atatafuta a new dick to ride na ikitokea mwanaume aka-like au aka-reply kumsifia basi moyo wake utasuuzika kapata attention ya mwanaume na safari ya kusalitiwa inaweza kuanzia hapo.

Mwanamke aliye active kwenye social media anatafuta na kuzithamini likes, replies na followers kuliko upendo na muda kwa mwanaume wake.

Yuko tayari apost picha na video za mitego ili mradi tu apate likes na replies hasa za wanaume. Mwanamke kama huyo ni ngumu sana kufocus kwenye mahusiano yenu.

Njia moja ya kumtambua mwanamke aliye a low value ambaye sio wa kufanya naye maisha ni yule ambaye anapenda ku-expose mwili wake kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa kifupi ni kwamba avoid women who are addicted to social media

Your attention will never be enough for them

Learn or Perish
 
Kabisaa mkuu
Mwanamke anatafuta attention always, Wanaume wengi wanapo M-DM ana feel kwamba amewin kuvuta attention zao, hii huwaongezea maringo..


That kind of Men wanaaotekwa kwa muonekano wa nje wa mwanamke ni weak Men, Wana lack purpose na selfcontroll ..


Binafsi hua siwapi attention wanawake wanaojipodoa ili wavute attention zetu, hua napishana nao bila kuwaangalia kabisa kama siwaoni...


Mtandaoni unamuona mtu kwa nje tu, kwahyo sanasana utatumia kigezo cha Sura, Umbo ambavyo sio vigezo vya mwanamke wa kudate naye....


Mtu ni yule wa ndani yaani Fikra, mtizamo, Itikadi, Imani, Uadilifu, Tabia, Tafuta mwanamke ambaye utakua na muda mwingi wa ku-observe haya .


NB: Kua makini na jambo lolote ambalo linavutia na kutamanisha kwa nje include Women .

: Pia huenda sio kila mwanamke Aneajiremba sana au anayejionyesha sana mtandaoni akawa anatafuta attention .
 
Back
Top Bottom