Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

Watu mnashangaza sana usifikiri eti waliokuwa bora kuimba watakuwa bora kuwasemea.

Hao ulio wataja ni wako vyema kwenye sanaa ila si usemaji.
 
Ccm wanaandaa mazingira mapema kupitia chawa wao Steve nyerere
 
Hawa ndio magenius wa africa... Genius wa kuunganisha misemo na kutoka nyimbo..

Mtu aleze kidogo fid q kafanya nini??

Maana nimeona watu wengi wanamsema
Wanao msema Fid Q wanakurupuka Fid Q yupo kwenye kamati iliyo mteuwa Steve Nyerere.
Eti kisa Stive Nyerere kateuliwa wanamu attack Fid Q bila kujua ilikuwa kamati.
 
Wanao msema Fid Q wanakurupuka Fid Q yupo kwenye kamati iliyo mteuwa Steve Nyerere.
Eti kisa Stive Nyerere kateuliwa wanamu attack Fid Q bila kujua ilikuwa kamati.
Fid Q ana cheo kikubwa cha kuwa katibu mkuu hilo shirikisho, acha kumfnya aonekane kama ana cheo cha kawaida.
 
Fareed Kubanda kaonyesha maturity na leadership skill ya hali ya juu kwenye hii situation.

1. Collective responsibility
2. Utulivu na usikivu

Angeweza ku-dictate kila kitu lakini anapokea mawazo ya watu nakuyafanyia kazi bila kuchukulia personal.

Big up sana Ngosha kwa ilo, ingekuwa wasanii wengine navyowajua pangenuka haswa.
 
Fid Q ana cheo kikubwa cha kuwa katibu mkuu hilo shirikisho, acha kumfnya aonekane kama ana cheo cha kawaida.
Kama umelifuatilia hili sakata Fid Q wala hana kosa kama mnavyo msakama.

Kuna mjumbe mwingine nahisi anacheo kikubwa pia (Jina nimesahau) amemkingia kifua Stive Nyerere na kusema waje na sababu za kupinga uteuzi wake.

Je, huyo nae ni Fid Q? Watu mnajaribu kumu attack Fid sijajua kama Fid kuwa Fid labda mnachukia.
 
Fid Q ana cheo kikubwa cha kuwa katibu mkuu hilo shirikisho, acha kumfnya aonekane kama ana cheo cha kawaida.
Katibu wa shirikisho afanyi maamuzi yake peke yake, ukiwa kwenye team unaweza usikubariane na maamuzi fulani lakini kuna principle ya collective responsibility.

Watoto wadogo mna kelele na hamjui vitu vidogo kama hivi.
 
Binafsi nasema hawa wanakurupuka na maneno ya mtandaoni na wao wanaleta hivyo hivyo bila kupima.

Na lengo lao ni kupinga uwezo wa Fid mara ana quote tu misemo as if ni swala dogo.
 
Hata ROBERT HERIEL ambaye kwa wasifu wake ni Taikon wa Fasihi nilishangaa sana kuja na hoja za kumpinga Fid Q pasipo kujua undani wa sakata hilo.

ROBERT HERIEL uliniangusha sana Taikon wetu
 
nilimsikia mwana fa leo wasafi fm hakuna kamati iliokaa kumteua huyo steve zaidi ya kujuana tu chamsingi fidi kapuyanga sana
 
nilimsikia mwana fa leo wasafi fm hakuna kamati iliokaa kumteua huyo steve zaidi ya kujuana tu chamsingi fidi kapuyanga sana
Ni kazi kubishana kwa ushabiki ungesikiliza EA Radio pengine kuna kitu ungejua maana waliliongelea
 
Ni kazi kubishana kwa ushabiki ungesikiliza EA Radio pengine kuna kitu ungejua maana waliliongelea
siko kishabiki maana nimeandika nilichokisikia na conclusion yangu.
 
Title haiendani na content uliyopost

Maybe wewe ni mtupu zaidi ya huyo unayemponda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…