Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Watu mnashangaza sana usifikiri eti waliokuwa bora kuimba watakuwa bora kuwasemea.kuna watu ambao wapo kidogo neutral na wamepitia hi game, kina p funk, mike tee, lady jay dee, ray c, n.k.
hata kwenye soka ukiwa msemaji basi angalau uwe una interest, sasa huyu steve ana interest ipi kwenye mziki, nina uhakika hata akiambiwa ataje majina ya album mbili tu za professor jay atashindwa, kwanini ? Hana interest ..... yeye hapo anataka ageuze iwe platform ya siasa zake, nothing else.
Hao ulio wataja ni wako vyema kwenye sanaa ila si usemaji.