Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Wale mbwa fisiemu wamewakamata wadanganyika kila kona mamaye hakuna pakutokeaEti kigezo ni kwamba steve nyerere anajuana na makada wengi wa CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale mbwa fisiemu wamewakamata wadanganyika kila kona mamaye hakuna pakutokeaEti kigezo ni kwamba steve nyerere anajuana na makada wengi wa CCM.
Jamaa (Steve) ana mahesabu makali sana.Ila Steve jamaa anajua kujipenyeza kutoka kwenye udalali wa wanawake, uuigizaji, uchawa kwa wanasiasa na baadhi ya matajiri mpaka uongozi.
Hako kajamaa kaoneni hivyo ila kana hela kwa sababu ya uchawa.
Nakumbuka 2017 nipo zangu Kawe, nikamuona anapita Prado kali.
Sasa nina mwanangu ni mbongo movie nika mwambia nimemuona Steve na Prado, jamaa akanipa Mkanda mzima.
Akanambia sio Prado ana gorofa analijenga lipo mwisho mwisho kuisha.
Zile chaguzi mbili zilizo mweka madarakani Kikwete, yeye ndiye alikuwa coordinator wa waigizaji wote, mzigo anapewa yy, then yy ndiye anaugawa.
Uchaguzi 2015 alipiga ila sio kivile kwani awamu ile Magu alikuwa hataki shobo, 2020 hajalamba kabisa.
Ila ndio mama kaingia mwamba anarudi tena na uchawa wake.
Steve alikuwa anauwezo wa kummiliki Welu Sengo, demu ana bonge la shepu hapo Steve alimpangishia, akamnunulia usafiri na bado mtoto wake akampeleka shule.
Kajamaa mademu anaotembea nao ni wale walio fungasha hatembei na vimodel.
Kajamaa kaoneni hivyo kanapiga hela kwa issues za uchawa kwawanasiasa na baadhi ya matajiri wanamuamini.
Kwa kifupi Fid Q kazingua jamaa hana quality za uongozi bali kujipendekeza.
Hii leo kumpongeza mama,yy ndiye kiongozi wa tukio upande wa wasanii.Jamaa (Steve) ana mahesabu makali sana.
kuna watu ambao wapo kidogo neutral na wamepitia hi game, kina p funk, mike tee, lady jay dee, ray c, n.k.We unafkr Nani anafaa kuwa msemaji , katika mazingira ambayo mziki umetawaliwa na utimu
Hili swali hata waziri husika anaweza asitaje hizo album, pia ukishakuwa na interest kwa kiwango cha kuzijua album unakuwa shabiki na ukiwa shabiki unapoteza sifa..kuna watu ambao wapo kidogo neutral na wamepitia hi game, kina p funk, mike tee, lady jay dee, ray c, n.k.
hata kwenye soka ukiwa msemaji basi angalau uwe una interest, sasa huyu steve ana interest ipi kwenye mziki, nina uhakika hata akiambiwa ataje majina ya album mbili tu za professor jay atashindwa, kwanini ? Hana interest ..... yeye hapo anataka ageuze iwe platform ya siasa zake, nothing else.
Kwani Fid Q ndio shirikisho la wasanii?Hakuna kazi rahisi kama kufanya muziki anao ufanya Fid Q. Anacho kifanya Fid Q ni kutafuta best quotes kuhusu mada anayo taka kuiandikia wimbo alafu hutafsiri kuja kiswahili na kufanya ionekane kama wazo lake, kwa hali hii wasikilizaji wake wengi wanamuona genius kimakosa.
Fid Q huwa anaonekana genius kwa sababu huwa anajipanga na kufanya maandalizi makubwa kabla hajatema mistari kwenye mic, ila sasa likijaga swala linalohitaji uwezo wa kufikiria asilia ambalo halihitaji maandalizi wala kujipanga kwa mfano maamuzi, hapa ndipo huwa anatuacha midomo wazi.
Hivi kwa akili gani fid q alim backup Steve Nyerere kuwa msemaji wa wana muziki ??
Wengi mnakurupuka kumu attack Fid Q pasipo kujua chochote.Hakuna kazi rahisi kama kufanya muziki anao ufanya Fid Q. Anacho kifanya Fid Q ni kutafuta best quotes kuhusu mada anayo taka kuiandikia wimbo alafu hutafsiri kuja kiswahili na kufanya ionekane kama wazo lake, kwa hali hii wasikilizaji wake wengi wanamuona genius kimakosa.
Fid Q huwa anaonekana genius kwa sababu huwa anajipanga na kufanya maandalizi makubwa kabla hajatema mistari kwenye mic, ila sasa likijaga swala linalohitaji uwezo wa kufikiria asilia ambalo halihitaji maandalizi wala kujipanga kwa mfano maamuzi, hapa ndipo huwa anatuacha midomo wazi.
Hivi kwa akili gani fid q alim backup Steve Nyerere kuwa msemaji wa wana muziki ??
Mleta mada amekurupuka yaani amekopy reaction ya wana JF kwenye uzi fulani na kuleta kama mada pasipo kujua chochote.Kwani Fid Q ndio shirikisho la wasanii?