Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

Jamaa anapingwa kitambo sana lakini bado yumo tu...
 
Atolewe basi mara moja iwezekanavyo na achaguliwe mtu ambaye atakidhi vigezo
 
Huyu Steve mzee wa fursa, anapiga hela kwa ajili ya uchawa kwa kujipenyeza penyeza na hiyo nafasi atafit watake wasitake. Ila ukiwa chawa sometimes lazima ujitoe ufahamu.
Screenshot_20220319-161816_Instagram.jpg
Screenshot_20220319-172927_Instagram.jpg
 
" Utafanikiwa kwa unachojua au unachofanya, ila wachache ndo ufanikiwa kwa jinsi tu wanavyoonekana " ..... By Fid Q.

Hii sentensi inamuelezea Steve Nyerere vizuri.
 
Ila Steve jamaa anajua kujipenyeza kutoka kwenye udalali wa wanawake, uuigizaji, uchawa kwa wanasiasa na baadhi ya matajiri mpaka uongozi.

Hako kajamaa kaoneni hivyo ila kana hela kwa sababu ya uchawa.

Nakumbuka 2017 nipo zangu Kawe, nikamuona anapita Prado kali.

Sasa nina mwanangu ni mbongo movie nika mwambia nimemuona Steve na Prado, jamaa akanipa Mkanda mzima.

Akanambia sio Prado ana gorofa analijenga lipo mwisho mwisho kuisha.

Zile chaguzi mbili zilizo mweka madarakani Kikwete, yeye ndiye alikuwa coordinator wa waigizaji wote, mzigo anapewa yy, then yy ndiye anaugawa.

Uchaguzi 2015 alipiga ila sio kivile kwani awamu ile Magu alikuwa hataki shobo, 2020 hajalamba kabisa.

Ila ndio mama kaingia mwamba anarudi tena na uchawa wake.

Steve alikuwa anauwezo wa kummiliki Welu Sengo, demu ana bonge la shepu hapo Steve alimpangishia, akamnunulia usafiri na bado mtoto wake akampeleka shule.

Kajamaa mademu anaotembea nao ni wale walio fungasha hatembei na vimodel.

Kajamaa kaoneni hivyo kanapiga hela kwa issues za uchawa kwawanasiasa na baadhi ya matajiri wanamuamini.

Kwa kifupi Fid Q kazingua jamaa hana quality za uongozi bali kujipendekeza.
Jamaa (Steve) ana mahesabu makali sana.
 
Ni yale yale ya mama ongea na mwanao hakuna jingine apo..by the way wamuache tu …wasanii wa bongo game imewashinda kupenya kimataifa wenzao Nigeria 🇳🇬 Wanafikiria kujaza O2 arena wao wanamuwaza Stev ujinga tu
 
Fid Q ni boya kada la ccm
Hicho kijeba kimewekwa na ccm kwenye hiyo nafasi.
Fid Q ni punk kiasi kwamba kashindwa kuwapinga na kuamua kuweka mkia chini ya miguu!
Na target hapo ni kuyamobilise hayo mazuzu kuimba nyimbo za kampeni come 2025.
 
Fid Q akiwa kama Katibu Mkuu wa Shirikisho, alionesha wazi ana uwezo mdogo wa kufikiri, kivipi msanii nguli kama yeye alimpa "sapoti nzima" Steve Nyerere 🤓🤓 kuwa msemaji wa wana muziki ??

Hakuna kazi rahisi kama kufanya muziki anao ufanya Fid Q. Anacho kifanya Fid Q ni kutafuta best quotes kuhusu mada anayo taka kuiandikia wimbo alafu hutafsiri kuja kiswahili na kufanya ionekane kama wazo lake, kwa hali hii wasikilizaji wake wengi wanamuona genius kimakosa.

Fid Q huwa anaonekana genius kwa sababu huwa anajipanga na kufanya maandalizi makubwa kabla hajatema mistari kwenye mic, ila sasa likijaga swala linalohitaji uwezo wa kufikiria asilia ambalo halihitaji maandalizi wala kujipanga kwa mfano kwenye maamuzi, hapa ndipo huwa anatuacha midomo wazi.
 
We unafkr Nani anafaa kuwa msemaji , katika mazingira ambayo mziki umetawaliwa na utimu
 
Katika kitu Steve Nyerere utaharibu ma pengine kikakuharibia katika harakati zako za maisha ni kusikiliza makelele ya nje!

Mimi nikusihi, Wewe endelea kupiga kazi,hili uwaprove wrong kwani swala la kuwa Msemaji halihitaji madigrii.

Wewe chakufa ya piga kazi waache waseme ikiwezekana achana na press maana ukianza press ni kwamba sasa mnaanza malumbano.

Wape kisogo piga kazi kwani walipokuchagua walikuwa wapi?

Na msemaji wa tanesko siyo fundi.

Hivyo peleka mapambano mbele huo ndiyo ushauri wangu kwa sasa
 
Kwa hiyo Steve Nyerere ndio msemaji wa wasanii?

Kazi ya kukusanya rambirambi na kuzitafuna atamuachia nani?

Tuache utani kabisa.
 
We unafkr Nani anafaa kuwa msemaji , katika mazingira ambayo mziki umetawaliwa na utimu
kuna watu ambao wapo kidogo neutral na wamepitia hi game, kina p funk, mike tee, lady jay dee, ray c, n.k.

hata kwenye soka ukiwa msemaji basi angalau uwe una interest, sasa huyu steve ana interest ipi kwenye mziki, nina uhakika hata akiambiwa ataje majina ya album mbili tu za professor jay atashindwa, kwanini ? Hana interest ..... yeye hapo anataka ageuze iwe platform ya siasa zake, nothing else.
 
Hili swali hata waziri husika anaweza asitaje hizo album, pia ukishakuwa na interest kwa kiwango cha kuzijua album unakuwa shabiki na ukiwa shabiki unapoteza sifa..

Hata hivyo sijui sana kuhusu muziki, Ni tasnia ambayo nipo nyuma ila nimetoa tu maoni.
 
Hakuna kazi rahisi kama kufanya muziki anao ufanya Fid Q. Anacho kifanya Fid Q ni kutafuta best quotes kuhusu mada anayo taka kuiandikia wimbo alafu hutafsiri kuja kiswahili na kufanya ionekane kama wazo lake, kwa hali hii wasikilizaji wake wengi wanamuona genius kimakosa.

Fid Q huwa anaonekana genius kwa sababu huwa anajipanga na kufanya maandalizi makubwa kabla hajatema mistari kwenye mic, ila sasa likijaga swala linalohitaji uwezo wa kufikiria asilia ambalo halihitaji maandalizi wala kujipanga kwa mfano maamuzi, hapa ndipo huwa anatuacha midomo wazi.

Hivi kwa akili gani fid q alim backup Steve Nyerere kuwa msemaji wa wana muziki ??
Kwani Fid Q ndio shirikisho la wasanii?
 
Wengi mnakurupuka kumu attack Fid Q pasipo kujua chochote.

Stive Nyerere aliteuliwa na kamati Je, Fid Q pekee ndio kamati?
Hebu msikurupuke Kwanza kuna mjumbe mwingine amepinga kukataliwa kwa Stive Nyerere je, na huyo ni Fid Q.

JF mnaendeshwa na mihemko hamujui chochote.
 
Back
Top Bottom