Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nin
Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
Hapo moja bila team ngeni inaongoza🤣🤣
 
muulize demuwako...matangayaliisha tarehe ngapi tarehe hiyo uaze kuhesabu hizo wiki..usiazie ulipogonga na mimba kuingia
 
Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
kitawachanganyaje wote, sema kinachokuchanganya wewe, kwani kasema na yeye amechanganyikiwa?
 
Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?

Kwenye kujua umri wa mimba cha muhimu sana ni tarehe ya mwisho ya mama kuona siku zake. Njia hii ndiyo hutoa majibu ambayo ni sahihi hasa kwa umri wa mimba kama mama anaikumbuka vizuri.

Kama mama hakumbuki tarehe ya mwisho kuona siku zake basi njia mbadala ya kupima umri wa mimba ni hiyo ya kutumia ultrasound.

Kipimo cha ultrasound kwenye kupima umri wa mimba hakitoi majibu sahihi kwa 100%, mara nyingi hupishana na umri wa mimba kwa tarehe za mwisho kwa wiki 2 au zaidi kulingana na hatua ya mimba (trimester).

Kupishana huko ni kawaida wala sio tatizo kwa sababu kunakuwa na makosa madogomadogo (errors) ya mashine inayotumika na ya mpimaji (uzoefu nk).

Hongereni sana, muendelee na utaratibu wa mama kuanza clinic.

Kila la kheri.
 
First meet tarehe 24/12 then ukaomba game tarehe 28/12 ukapewa dah!!

kuna walakini hapo inaonyesha jinsi gani watoto wa kike wanazidi kuwa Malaya.
 
Bado nadhani akisema siku ya mwisho kumaliza hedhi utata utaisha,yy mwenyewe nahisi amejisikia vibaya akutarajia haya majibu
Mngemuuliza daktari angewaelewesha vizuri sababu inaonekana ndio mimba yenu ya kwanza.
 
Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
1+1=0 swali fikirishi je kabla huja chimba mgodi mlipima kama hamkupima, mbuzi kafia kwa muuza supu
 
First meet tarehe 24/12 then ukaomba game tarehe 28/12 ukapewa dah!!

kuna walakini hapo inaonyesha jinsi gani watoto wa kike wanazidi kuwa Malaya.
Mkuu Wanawake ni vile unavyowaingia tu ,hata Leo Leo unaweza onana naye Asubuhi, jion ukapiga na Wala sio Malaya.
 
Back
Top Bottom