Mkuu, mbona kama ulipata kibali tarehe kama hizi.. Je wenye maombi UTUMISHI wategemee hizi TAREHE..?Haya mambo ndugu hayana formula,zaidi ni kumuomba Mungu na nafsi yako ibebe imani na kuamini jambo linawezekana. Kila kitu kipo hapo wao walioweka wanajua uzito wa sababu husika. Mimi niliweka hiyo reason ya kutafuta changamoto mpya na walinipa kibali.
Yea mimi nilipata kama tarehe hizi August,ila sikumbuki kwa September watu walipata kwenye tarehe ngapi. Kwa hiyo wapambanaji wenzangu ni kuendelea kusikilizia michongo.Mkuu, mbona kama ulipata kibali tarehe kama hizi.. Je wenye maombi UTUMISHI wategemee hizi TAREHE..?
September tarehe kama hizi walitoa rejected nyingi hatari mkuuYea mimi nilipata kama tarehe hizi August,ila sikumbuki kwa September watu walipata kwenye tarehe ngapi. Kwa hiyo wapambanaji wenzangu ni kuendelea kusikilizia michongo.
Ni hatari kwa kweli,ila wale wa tamisemi naona walichekelea sana September hadi mwanzoni mwa OctoberSeptember tarehe kama hizi walitoa rejected nyingi hatari mkuu
HahhahahEndelea tu mkuu chochote kinaweza kutokea hauna cha kupoteza hapo.
Sema hio reason ya to pursue new challenge mimi binafsi sasa hivi naiona ni nyepesi sana.. baada ya utumishi kunilamba rejected pamoja na kuweka magamba mazito mazito😃, sasa hivi nawe medical condition afu ni kufoji tu documents.
Unaweka report ya daktar mpaka wenyewe wakiona wanasema huyu atakufa week ijayo hebu tumuache aende akatibiwe 😄
Medical condition nahisi hata negative comments za wakurugenzi zinakosa nguvu.
Tamisemi ni exchangeNi hatari kwa kweli,ila wale wa tamisemi naona walichekelea sana September hadi mwanzoni mwa October
Bora Auto ya Head of your institution kuliko ya DestinationAcha mzigo utembee wapo waliopitishiwa kwa comments kutoka kwa destination na bado wakapata reject. Kimsingi ombi lako tu kufika utumishi ni mafanikio watu kibao wanaishia huku hatua za awali za vacancy not budgeted, Vacancy filled na vikwazo kibao. Ko acha mzigo mzigo ufike utumishi iyo auto haipo hapo kwa bahati mbaya.
Ikipata hausubmit utumishi,unaruhisiwa sasa kuanza kufanya normal transfer after vacancy request.Vacancy imepita outo baada ya siku 10 za kule utumishi, naomba ushauri nisubmit iende utumishi au ni withdraw nianze upya?
Subiri tu itabadilika baada ya muda kidogo. Ulipata Vacancy kabisa..?Wajuzi wa mambo status ilikua kwa Accounting officer now ipo hivi nini kinafuata
Ndio nilipata vacancySubiri tu itabadilika baada ya muda kidogo. Ulipata Vacancy kabisa..?
AutoNdio nilipata vacancy
Kama medical, haiEndelea tu mkuu chochote kinaweza kutokea hauna cha kupoteza hapo.
Sema hio reason ya to pursue new challenge mimi binafsi sasa hivi naiona ni nyepesi sana.. baada ya utumishi kunilamba rejected pamoja na kuweka magamba mazito mazito😃, sasa hivi nawe medical condition afu ni kufoji tu documents.
Unaweka report ya daktar mpaka wenyewe wakiona wanasema huyu atakufa week ijayo hebu tumuache aende akatibiwe 😄
Medical condition nahisi hata negative comments za wakurugenzi zinakosa nguvu.
We tupe huyo mtu ALIYEWANYIMA CONN tudili naye kiulalo ulaloHaha hii reason ukiangalia sometimes ni nyepesi lakin pia inauzito wake, kuhama toka LGA kwenda taasisi pia ni kutafuta challange mpya, ishu inakua rejected kama huna mtu AU connection yoyote utumishi waku approve na kusubiri barua.
Kuna jamaa namjua na hadi leo aligoma toa connection utumishi baada ya transfer yake kufika utumishi alipiga simu tuu haikupita siku 7 akawa kamaliza jambo lake
Auto ipo bado kumbeEndelea Kamanda hiyo itajuana mbele kwa mbele.
Tuma screenshot tuone maana Kuna watu humu walisema auto imeondolewa
Hahaha!Endelea tu mkuu chochote kinaweza kutokea hauna cha kupoteza hapo.
Sema hio reason ya to pursue new challenge mimi binafsi sasa hivi naiona ni nyepesi sana.. baada ya utumishi kunilamba rejected pamoja na kuweka magamba mazito mazito😃, sasa hivi nawe medical condition afu ni kufoji tu documents.
Unaweka report ya daktar mpaka wenyewe wakiona wanasema huyu atakufa week ijayo hebu tumuache aende akatibiwe 😄
Medical condition nahisi hata negative comments za wakurugenzi zinakosa nguvu.
Bado ipo ipo sana.Auto ipo bado kumbe