HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tungi limekuponza😂
 
Ninachojua Ajira Mpya huwa ni miaka mi5 regardless ni kada gani!? Ila baada ya hapo ndio miaka mi3
Mwaka mmoja wa kuthibitishwa.

Miaka mitatu ya kutumikia cheo.

Miaka mitatu ya kutumikia cheo jumlisha mwaka mmoja wa kuthibitishwa inakua jumla minne.

Ni sahihi kuona anapanda mwaka wa 5 kwa hesabu hii ila kwa ambao tunatumia kalenda ya mwaka wa fedha maana yake mwaka wa tatu wa kutumikia cheo kwa aliyeajiriwa June 2022 utakamilika June 2026.

Ikifika July 2026, ambayo ni kalenda ya mwaka wa fedha mpya huyu mtu inabidi aanze na daraja jipya.

Hii ni kwa mujibu wa hesabu nilizopigiwa na jamaa waliopanda.
 
Ninachojua Ajira Mpya huwa ni miaka mi5 regardless ni kada gani!? Ila baada ya hapo ndio miaka mi3
Sio miiaka 5 chief,ni miaka 4 ila wanaangalia mwaka wa fedha uliaojiriwa,inawezekana uliajiriwa 2022 mwezi wa 8 na mwingine 2022 mwezi wa 5 hawa watapanfa daraja miaka tofauti huyu wa mwezi 8 ,2022 atapanda mwaka 2027 kwa sababu aliajiriwa 2022/2023 na aliyeajiriwa mwezi 5,2022 atapanda daraja 2026 kwa sababu aliajiriwa mwaka wa fedha 2021/2022
Bila shaka imeeleweka
 
Hivi ESS wanavyokuandikia hujatimiza miaka 3 ni pamoja na ule wakuthibitishwa au?
 
Huwezi amini hichi ulichoandika akili yangu inaniambia nimeandika hichi hichi.

Shukrani kwa ufafanuzi chief
 
Hivi ESS wanavyokuandikia hujatimiza miaka 3 ni pamoja na ule wakuthibitishwa au?
Haya mambo ya mwaka wa kuthibitishwa ndio yanawachanganya watu. Sasa sikia nikwambie Mimi. Achana kabisa na kumbukumbu za kuthibitishwa we chukuwa tarehe uliajiriwa rasmi halafu hesabu miaka mitatu(3) yaaani kama umeajiriwa 11/09/2023 leo hii tarehe 11/09/2026 uko legal kuomba uhamisho kwenye mfumo na mfumo unakuruhusu bila shida.
Hii mada naomba iishie hapa coz nishafunga mjadala,, Watu tuko bize kusubiri vibali. Mkuu kipenseli2021 leta updates za vibali sasa😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…