HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu naomba kuuliza, kama umeanza na vacancy request ikawa accepted ikaenda kwenye transfer that means hapo ni kusubiri tu kibali sio?

I mean ikipita kwenye vacancy hakuna tena vikwazo? Au ndo unaweza subiri af ikaja sema not budgeted and the likes
 
Sawa sawa Mkuu nitabonga na HR wangu anipe ufafanuzi maana kuna Raia intake ya 2021 naona ndio wamepanda huu Mwaka
 
Shule kubwa sana Chief huyu wa June 2023 na yule July 2023 inamaama mmoja ni 2027 na mwingine 2028 au nimekosea Maste
 
Unasubiri vipi kibali bila ombi kufika Tamisemi au Utumishi. Maana hujaeleweka hapo kama umefanikiwa kumaliza transfer after vacancy request au bado Iko njiani..!
 
Wakuu naomba kuuliza, kama umeanza na vacancy request ikawa accepted ikaenda kwenye transfer that means hapo ni kusubiri tu kibali sio?

I mean ikipita kwenye vacancy hakuna tena vikwazo? Au ndo unaweza subiri af ikaja sema not budgeted and the likes
Yes,japo kibali kinachukua muda
 
Mi mwenyewe nawashangaa TPDC salary sio kubwa kama mnavodhani labda allowance ukitaka sehemu zenye salary kubwa nenda gaming board, TCRA, EWURA,TASAC,TRA, TCAA na zingine nyingi tu Kuna hiyo ya kwanza haivumi ila ni balaa kwenye maokoto
Ila TPDC nasikia wana safari nyingi sana tofauti hata na hao ewura
 
Mi mwenyewe nawashangaa TPDC salary sio kubwa kama mnavodhani labda allowance ukitaka sehemu zenye salary kubwa nenda gaming board, TCRA, EWURA,TASAC,TRA, TCAA na zingine nyingi tu Kuna hiyo ya kwanza haivumi ila ni balaa kwenye maokoto
Kwa hiyo ewura kuna maisha sana kuliko hata tpdc...? Why wakat tpdc ndio wazalishaji
 
EWURA mbona nao wanaingiza mapato, sijasema Kuna Maisha kuliko TPDC nmezungumzia mshahara kwenye allowance hapo labda TPDC ndo atakua juu ila salary EWURA wapo juu
 
Hapo nimekupata kaka, basi kumbe hawapishani pishani sana
 
EWURA mbona nao wanaingiza mapato, sijasema Kuna Maisha kuliko TPDC nmezungumzia mshahara kwenye allowance hapo labda TPDC ndo atakua juu ila salary EWURA wapo juu
Maana pia kuna story nyingi sana zinasemwa kuhusu tpdc wanapewa sifa sana kuwa wao ndio namba 1 tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…