Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
-
- #761
Nenda kwenye hiyo taasisi unayotaka kwenda waambie wakuweke kwenye mpango@waweke bajeti yako.Mkuu ivi umegundua kwamba saivi hata ukianzisha transfer request inasema "Vacancy not budgeted" so kwa maana hii hata ukipewa barua na taasisi husiku uka attach kupita transfer request still unafeli
Nilianza na VacancyKwani we ulianza na Vacancy au Direct Transfer???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Utumishi wanasema wao hawana time maalum. Wanasema ombi likikamika tu basi unawekewa kibaliVibali hutoka July na December.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Yes sijaingia mudakipenseli2021 wewe ombi lako si lilifika 14 July.. Huyu Liverpool VPN lake la 15 July kashajibiwa..
Nashindwa kuelewaaa 🎶😁
Yes sijaingiakipenseli2021 wewe ombi lako si lilifika 14 July.. Huyu Liverpool VPN lake la 15 July kashajibiwa..
Nashindwa kuelewaaa 🎶😁
Wakuu hakuna mwenye jibu hapa?Preba de fisica
Chief nimeangalia mkeka ulioshare nikawa nafananisha na niliouona miezi kadhaa nyuma.
Nimegundua ni tofauti, wa miezi iliyopita ulikua una nafasi wa kada yangu kwa level ya daraja la 2 ofisi ya waziri mkuu. Ila huu hapa hauna so naamini ni mwingine.
Sasa swali langu ni kwamba huu mkeka hua unapatikana wapi? Ili nikitimiza miaka 3 nianze kupambania kuhama.
NB: Yeyote mwenye majibu anaweza kushare pia
Huu mkeka huanza kuenea usiku wa kuamkia 01/JulyWakuu hakuna mwenye jibu hapa?
Duuh mbona kasheshe hii, muda wa kuteseka bado ni mrefu sana aisee. Watesi wangu wataniua mpaka kibali kitoke yee 😁Vibali hutoka July na December.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ulianza na Vacancy?Duuh mbona kasheshe hii, muda wa kuteseka bado ni mrefu sana aisee. Watesi wangu wataniua mpaka kibali kitoke yee 😁
Acha uongoYes sijaingia
Huu mkeka huanza kuenea usiku wa kuamkia 01/July
Ni kutoka utumishi ila huenea tu kistaili ambayo haieleweki..!!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndio nilianza na vacancy, lipo utumishi tangu 27/6/26Ulianza na Vacancy?
Ombi lako likifika UTUMISHI/TAMISEMI lini???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu hapa kupata vibali hadi December, kama hali yenyewe ndio hii😭Ndio nilianza na vacancy, lipo utumishi tangu 27/6/26
Daah ni huzuni sana mkuu December parefu sana aisee.Mkuu hapa kupata vibali hadi December, kama hali yenyewe ndio hii😭
Kuna jamaa wa June 20 namjua hadi leo hajapata kibali
Ila Kuna watu wa July wamepata.. Au ndio wanatoa vibali kwa nafasi za 2026/2027.?
Watu hawaombi.Halafu zile nafasi wakionesha kuwa ziko 2 ni kweli 2..? Kama hiyo yako ndio tuseme hadi Leo hakuna watu waliomba kufika hiyo idadi ya nafasi.! Lakini wewe Umeomba vacancy hivi karibuni na imeenda. Nashindwa kupata uhalisia haps
Mungu mwema atatenda.Ndio nilianza na vacancy, lipo utumishi tangu 27/6/26
Mkuu hapa kupata vibali hadi December, kama hali yenyewe ndio hii😭
Kuna jamaa wa June 20 namjua hadi leo hajapata kibali
Ila Kuna watu wa July wamepata.. Au ndio wanatoa vibali kwa nafasi za 2026/2027.?
Daah ni huzuni sana mkuu December parefu sana aisee.
Utumishi hawaeleweki yaani mi wameshanichosha.
Amin. Mkuu nina imani nitafanikiwa.Utafanikiwa mkuu, kuwa na imani.
Asante.Hongera, Mungu akutangulie kwenye ofisi mpyaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA