HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nimegundua normal transfer inaku- marinate kwanza kabla ya kukubamiza

lakini Vacancy request inakubamiza hapo hapo haikucheleweshi
Mfumo unafanya kazi kwenye exchange tu,kwengine ni kiini macho...watumishi tuukataeni huu mfumo umekuja kuondoa haki ya uhamisho.
 
Ivi serekalini washalipa mshahara wote?
Wenye hili ni jibu Hazina chief
We fahamu tu kuanzia tarehe 22 mpaka 24 inalipwa kuna kupishana masaa kulingana na bank,sasa kwamba wote wamelipwa au bado,Data hapo ziko. HAZINA
 
Mkuu eGA ni e-Government Authority, we ndo inabidi uangalie kirefu cha taasisi vzuri
 
Third year natimiza 2027 July. Huu uzi utanipa wenge kwa kipindi hichi.

Kama bado utakuepo tukutane mwaka huo
Nakushauri mapema bora utumie njia nyingine ila huu mfumo utakudissapoint.
 
eGA ilishakuwa mamlaka muda sasa
 
SYSTEM INA LOAD TU
Hata kwangu na pia mpaka inagoma kufunguka
Vibali hivyo kaka vinaload
Kwa baadhi au kwa wote kama inaload tujue vibali vinatoka au la
1. Mamlaka (EWURA, PPRA, PURA, TCRA, LATRA, eGA, SSRA, TIRA, DCEA, TASAC, GBT, TCAA, NCAA, TRA, TBS, etc.)
2. Mifuko (USCAF, PSSSF, NSSF, WCF, NHIF etc.)

Ishi humo, utakuja kunishukuru.
Kwenye mkeka hizi taasisi zimetoa nafasi chache sana
 
sasa Mkuu huu si uhamisho ndani ya wizara mzee(wizara ya afya), hapa watu wanaongelea kuhama taasisi, wizara moja kwenda wizara nyingine achana na hizo za internally ndani ya wizara
Mbona Watu wanahama kutoka hamashauri moja kwenda nyingine na wanatumia mfumo.
Na wakati wote wako chini ya wizara moja.
 
Hlf kwa jinsi mfumo ulivyo,kama nafasi haiko budgeted au kwa sababu nyingine yeyote inakukatalia mapema kabsaa wakati wa kuomba vacancy request kabla ya hatua inayofuata ya kuinitiate transfer request
Mapema you mean majibu kutoka taasisi unayotaka kwenda sio?
 
Angalia shughuli wanazofanya. Nilipaswa kuandika Udhibiti/Mamlaka. Hivi vitu vinategemeana, ili uweze kudhibiti lazima uwe na mamlaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…