HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
nahisi hapo ishu sio Auto accepted ,ishu je nafasi ipo unapo kwenda,UTUMISHI wapo makini sawa
 
Nahisi mpaka unapotaka kwenda wathibitiahe
Nimemuuliza makusudi huyo kipenseli2021 Kwani anaonekana kutokubaliana kuwa AUTO sio sababu ya kukutaliwa ombi.

Jambo jepesi tu la kujiuliza, mbona wote ambao vacancy zao zilipita AUTO wamekataliwa..?
Mimi nipo group moja la WhatsApp watu kibao wa AUTO wametoa mrejesho kuwa wamepata Rejected ila wale ambao Taasisi husika walikubali na kukomenti Bado maombi yao yanapumua..?

Hapo inaonesha dhahiri kuwa hawawezi kukubali ombi bila comment au makubaliano ya kule unakokwenda.
 
Taasisi moja ya maokoto sanaa
Nililkuwa ""Focal person"" wao huko Halmashauri.

Mi nachoogopa na concern yangu ni ""Hivi kama mkurugenzi wako kapitisha ina maana karuhusu uondoke, Je Utumishi wao HAWAWEZI REJECT??""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Utumishi hawawezi kukukatalia chochote. Unaotakiwa kupambana nao ni hiyo taasisi unaotaka kwenda je?? Wana shida na wewe?? Ukute tayar mtu wanayemtaka wameshamuelekeza mtu aombe huko kwenye mfumo saa nyingine nyie wengine mnakua ni bwege wsindikizaji
 
Nimekuewa kiongozi
 
Sawa hapo wanajua wenyewe
 
NAOT unajua mshahara wake mpk unasema kidogo
 
Nataka safari nyingi, na mshahara angalau usiwe TGS
 
Another Day Guys...
Hii Auto Vacancy imepukutisha maombi mengi sana ya watu duuuh..

Tunaomba mirejesho kwa waliofanikiwa kupata vibali Asubuhi hii
Wengine tunaendelea kusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…