jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Mfumo ni illusion and they don't care kuhusu ndoa yako.Ndio jana nimekuwa rejected na reason ndo iyo iyo waraka sijui kitu gani yaani nakata tamaa, mke wangu naweza kaa hata miezi mitano hatujaonana kisa umbali maana na yeye muajiriwa na nikiomba naweka attachment zote ila wapi napigwa na kitu kizito tu, nahisi hadi ndoa siku ikivunjika ndo itakuwa furaha kwao
Utabandika bandua hadi siku unastaafu..mnachezewa mchezo na huo mfumo.Tayari. Mbona nilishatoa na ushuhuda wa rejected tangu ji
Kukata tamaa ni dhambi. Tafuta vacancy nyingine jaza, uanze upya. Ni bandua bandika hadi kieleweke.
Wanao simamia huu mfumo ni utumishi sio taasisi husika mchawi hapa ni utumishi.Kuna jamaa namfahamu katoboa kwenye mfumo na hakuwa na connection utumishi.
Aliomba nafasi kwenye taasisi kwa barua wakampa barua ya kukubali. Akaandika barua kwenda kwa katibu mkuu akiambatanisha na ile barua aliyokubaliwa na taasisi. Ili mambo yake yaende haraka akaona apeleke kwa mkono utumishi Dodoma. Alipofika kule wakamwambia hatupokei hard copy tena siku hizi rudi kaombe kwenye mfumo tu. Zunguka sana ofisini pale hakuna kitu.
Akarudi kupachika kwenye mfumo jibu linakuja NOT BUDGETED hiyo mwezi February. Anawauliza taasisi waliompa barua mbona huku NOT BUDGETED wao wanasema hata wao hawajui sababu.
Baada ya hapo kaanza kujaribu tu kila wiki anachungualia mfumo hadi June ikakubali NOT BUDGETED ikaondoka na September wiki ya kwanza kapata kibali
Japo nimekula Rejected, lakini mbona watu wanahama, shida ongea vizuri na wasimamizi wenu tuMfumo ni illusion and they don't care kuhusu ndoa yako.
yes Mkuu, mi ninachoona, ukiona ombi lako limefika utumishi, inabidi upambane juu chini upate connection kibali kitoke, ukisema unasuburia miujiza ya ESS naona itaku dissapoint....wengi wanaofanikiwa kwenye mfumo, hawa disclose kama kuna link waliitumia ku push mambo hata kama ni mwanao,kuna kuaga na ka uchoyo flani ivi sijui kwa niniNaona akili zimeanza kuwarudia sasa,huo mfumo ni illusion kwa common workers.
Duhyes Mkuu, mi ninachoona, ukiona ombi lako limefika utumishi, inabidi upambane juu chini upate connection kibali kitoke, ukisema unasuburia miujiza ya ESS naona itaku dissapoint....wengi wanaofanikiwa kwenye mfumo, hawa disclose kama kuna link waliitumia ku push mambo hata kama ni mwanao,kuna kuaga na ka uchoyo flani ivi sijui kwa nini
Uko sawa kabisa!Ukisubili tu utumishi ni Kama unabeti tu.yes Mkuu, mi ninachoona, ukiona ombi lako limefika utumishi, inabidi upambane juu chini upate connection kibali kitoke, ukisema unasuburia miujiza ya ESS naona itaku dissapoint....wengi wanaofanikiwa kwenye mfumo, hawa disclose kama kuna link waliitumia ku push mambo hata kama ni mwanao,kuna kuaga na ka uchoyo flani ivi sijui kwa nini
Mkuu unaweza kuta Halmashauri yako unataka kuikimbia nayo unaomba nafasi za kuhamia kwa kada kama yako. Unadhani hapo tutatoboa..?Letter of No objections,kama mwajiri wako wa Sasa akiweka comments ya kutokuwa tayari kukuachia hopo ndio kazi,kwa hiyo usikimbilie ku omba Tena ,tulia kwanza ujue shida nini
Katibu mkuu utumishi hakuchomoi!!Je mwajiri akisema nimeridhia hata kama I kama haipo sawa
Katibu mkuu utumishi akikutoa mwisho wa siku upungufu wa ikama unakua mzigo wake!!Mfano Kuna hizo taasisi/Halmashauri zinahitaji transfer idadi kubwa kama hizo, unadhani mtumishi wa nafasi hizo anaweza kuruhusiwa kuhama kwenye hizo Taasisi/Halmashauri..?View attachment 3683451
Sasa hata ww ukitaka.kuhamia nafasi izo upati hapo ndo shidaMfano Kuna hizo taasisi/Halmashauri zinahitaji transfer idadi kubwa kama hizo, unadhani mtumishi wa nafasi hizo anaweza kuruhusiwa kuhama kwenye hizo Taasisi/Halmashauri..?View attachment 3683451
Waangalie vigezo vingi kwa mfano mtu ana Master anafunsisha msingiKatibu mkuu utumishi hakuchomoi!!
Hizo hazinaga Course maalumu ila kozi yoyote fresh..ila za warden mars nyingi Education, Psychology, Social Work, Community Dvt, etc.Kwenye mkeka Kuna nafasi za kuhamia za Warden I ,Warden II na Examination officer, hivi ukiwa na fani gani unaweza kuomba kuhamiahi hizo nafasi?
Mi sio mwalimu lakin hichi ndio kimenikuta asee.. Masters ambayo halmashauri haina sehem yoyote naweza kuifanyia kazi isipokua kwenye taasisi kubwa tu.Waangalie vigezo vingi kwa mfano mtu ana Master anafunsisha msingi
Una masters ya nini ?Mi sio mwalimu lakin hichi ndio kimenikuta asee.. Masters ambayo halmashauri haina sehem yoyote naweza kuifanyia kazi isipokua kwenye taasisi kubwa tu.
Mpaka nawashangaa sasa hawa wamenireject ili niendelee kufanya nini huku?
Pole sanaMi sio mwalimu lakin hichi ndio kimenikuta asee.. Masters ambayo halmashauri haina sehem yoyote naweza kuifanyia kazi isipokua kwenye taasisi kubwa tu.
Mpaka nawashangaa sasa hawa wamenireject ili niendelee kufanya nini huku?
Ndio jana nimekuwa rejected na reason ndo iyo iyo waraka sijui kitu gani yaani nakata tamaa, mke wangu naweza kaa hata miezi mitano hatujaonana kisa umbali maana na yeye muajiriwa na nikiomba naweka attachment zote ila wapi napigwa na kitu kizito tu, nahisi hadi ndoa siku ikivunjika ndo itakuwa furaha kwao
Walikuajiri na hizo sifa nyingine!! Kama kwenye kada yako kutakua na uoungufu ukiondoka hawakubali unless uwe karibu na mkurugenzi akukunjulie nafsi!Mi sio mwalimu lakin hichi ndio kimenikuta asee.. Masters ambayo halmashauri haina sehem yoyote naweza kuifanyia kazi isipokua kwenye taasisi kubwa tu.
Mpaka nawashangaa sasa hawa wamenireject ili niendelee kufanya nini huku?