Umeweka viambata gani kwenye hiyo normal transfer?Sikuanza na Vacancy Request nilianza na Normal Transfer moja kwa moja...
Ila nimejipanga, wakigoma kupitisha sababu ya sikuomba nafasi (vacancy) before, basi nitaanza upya.
Nilitaka ku-withdraw nianze upya kwa kuomba Vacancy, ila nikaambiwa niache hivyo hivyo kwasababu wapo walianza na Normal Transfer moja kwa moja bila kupitia Vacancy Request na walitoboa.
Yote kwa yote MUNGU ATATENDA KWA UKUBWA WAKE.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu hv kibali wanatuma kwa ess au kwenye taasisi husikaYaaaah, kweli mkuu "Life is not fair" yaan mtu anatuma ombi Leo na baada ya wiki kibali hicho kimeappear kwa ESS. Chap tu
Kwenye ess yako na hata taasisi unayokwenda wanapewa role ya "employee to receive"Mkuu hv kibali wanatuma kwa ess au kwenye taasisi husika
ConnectionKuna jamaa kapata kibali wiki hii na ombi lake lilifika Utumishi mwezi July mwaka huu..
Je, hii tuichukuwe kama ni habari njema kwa wote ambao maombi yao yalifika UTUMISHI mwezi huo July..?
hongera zakeConnection
Mkuu hv kibali wanatuma kwa ess au kwenye taasisi husika
Kibali utakipata kwenye essWanasema wanatuma kwako muhusika, Taasisi utokayo na uendako
Kibali utakipata kwenye ess
Sijajua kwanini wapate SeptemberreturnKing, Nasikia kwamba watu waolituma maombi yao Utumishi mwezi July kuna uwezekano mkubwa sana wa kupata vibali vyao mwezi September
Dah mungu afanye wepes aiseereturnKing, Nasikia kwamba watu waolituma maombi yao Utumishi mwezi July kuna uwezekano mkubwa sana wa kupata vibali vyao mwezi September
Na iwe hivyoreturnKing, Nasikia kwamba watu waolituma maombi yao Utumishi mwezi July kuna uwezekano mkubwa sana wa kupata vibali vyao mwezi September
Watu wa JF hua wanadhani kila mtu ni kama wao 😅😅Mwalimu 😳😳😳
Jifunze kuheshimu watu.
Unanijua??
Ila kwa kukusaidia nina ...
1. Diplima in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance
3. Masters of Science in Economics and Finance
4. Candidate PhD in Financial Economics.
Employeed since 12/Feb/2012
Miaka 14 of experience, unadhani nitakuwa level gani??
""Naona umewatag walimu""
Hii dharau siku nyengine usiilete tena.
Nimekuheshimu sanaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu vacancy yeyote kwenye taasisi inaanzia idara ya utumishi wao ndio wanajua ikama yao. Sasa hebu fikiria kuwe na nafasi ya HR Officer moja inatakiwa. Unafikiri huyu HR kasoma na watu wangapi kwenye hiyo kozi alipokuwa chuo na kama hao classmate wake wana uhitaji unafikiri ataanza na mtu wa nje asiyemjua.Taaluma unique haipo hivyo.
Hapa LGA kwetu Idara ya Engineering wapo 12 na wahasibu wapo 4 na Idara ya biashara wapo wawili tuuu.
Hapo nani ni unique??
Unique ni GENERAL TERM sanaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ukitaka mambo yasiwe mengi, anza kuweka mipango physically halafu ndo unaingia kwenye mfumo. Kwenye mfumo unakuwa unafanya kitu ambacho una uhakika nacho.Naombeni maelekezo Wakuu utaratibu wa Kuhama Pia nipo Kwenye RRH ya moja ya mkoa hapa Tanzania nataka nihame niende Moja ya Taasisi ya Elimu ya Juu mchakato naanzaje ni ESS au ndio nikaulizie nafasi huko ninakotaka kwanza au Vp wakuu!?
Ilipitia kwa ded?Yes.
Lazima ipitie kwa DED au CEO.. kwa kifupi lazima Mwajiri wako aione na apitishe kwa kuweka Saini yake na kugonga muhuri wa ofisi(Taasisi)Ilipitia kwa ded?
Ni point ya msingi sana hii mkuu, wengi tunaenda kichwa kichwa sana, ndo maana mambo yanakuwa magumu kupita kiasi.Ukitaka mambo yasiwe mengi, anza kuweka mipango physically halafu ndo unaingia kwenye mfumo. Kwenye mfumo unakuwa unafanya kitu ambacho una uhakika nacho.
Vinginevyo🤷🏽♀️