Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
-
- #1,961
Kama ombi lako lilienda basi hapo kazana maombi.Asante sana kwa jibu hili kaka.
Kwa maana hiyo sasa kama ulipita hatua hiyo uhakika wa kupata ni mkubwa kwa kuwa mpo idadi inayotakiwa endapo hutakuwa na changamoto nyingine?
Kwahiyo "VACANCY REQUEST" is a must, bila hivyo ni REJECTION tu??Kama hukuingia ESS siku chache kidogo nyuma basi utakuwa ulijibiwa tar 20 J4, coz Ile siku E-Transfer ilirudi jiioni watu wengi walikutana na hizo REJECTED na sababu ni hiyo kama yako. Kuna Mdau hapa aliwahi kutoa ushuhuda ErrorTyping
Wewe anza tena kwa kutuma Vacancy Request.Niwatakie mapambano mema. Mimi naachanq nayo.
Sababu wanazijua wao wenyewe.Nini kinaweza kuwa sababu ya kuwa rejected?
Kukiwa na uhakika ipoMilioni kumi? Unayo mkuu?
Yaani hiyo connection kuipata ndo mtihani hapoHata hizo rejection zenu ni kukosa watu, unakaa na komputa tu uombe nafasi EWURA upate kisa umeona nafasi? Hujui kama ni nafasi ya mtu hiyo.
Hahahahaha utaliwa kichwa MtumishiMimi niko tayri kwa lolote jamn ,mwenye connection anisaidie
Kwamba Economist wanahitajika sana???Nafasi kumbe ni nyingi walimu nendeni nkasome si mnaona economist wanavyotafutwa?
Wewe si umeona mkeka?Kwamba Economist wanahitajika sana???
Ila kuhitajika sio kupataKwamba Economist wanahitajika sana???
Samahani kama utakua umelijibu hili swali. Me nimetuma vacancy request imesema ipo kwa mwajiri wangu wa sasa. Je litakaa kwa mwajili wangu kwa siku ngapi? na vipi kama hatalifanyia kazi ndio litakua limekufa nitatakiwa kuanza tena upya?Ndio Mwajiri wako ataliona kwenda mfumo hivyo atapaswa kukataa au kukubali,
Akikubali atalituma Moja kwa Moja kwenye Taasisi unayotaka kuhamia(yaan hiyo taasisi unayoomba).
Kule pia watakubali au kukataa, kama wakikataa basi mchezo utaishia hapo.
Mwombe Mwajiri akupitishieSamahani kama utakua umelijibu hili swali. Me nimetuma vacancy request imesema ipo kwa mwajiri wangu wa sasa. Je litakaa kwa mwajili wangu kwa siku ngapi? na vipi kama hatalifanyia kazi ndio litakua limekufa nitatakiwa kuanza tena upya?
Samahani kama utakua umelijibu hili swali. Me nimetuma vacancy request imesema ipo kwa mwajiri wangu wa sasa. Je litakaa kwa mwajili wangu kwa siku ngapi? na vipi kama hatalifanyia kazi ndio litakua limekufa nitatakiwa kuanza tena upya?
Wanashangaaje na Nafasi walikuhakikishia ipo Mzee au wanakuchora tuNakubaliana na wewe. Na mimi baada ya miezi 8 ya kusubiri nimekula Rejected. Hakuna uthibitisho wa nafasi wazi. Japo nilipambana sana. Nafasi nilipewa. Kule nilipotaka kuhamia wanashangaa.
Yote sawaWanashangaaje na Nafasi walikuhakikishia ipo Mzee au wanakuchora tu
Niliomba tarehe 22/10/2026 vacancy transfer ikawa ipo kwa mwajiri wangu. Leo nimeingia siioni. Maana yake kashaipitisha na imeenda kwenye taasisi nyingine? Nitajuaje kama alikubali au kakataa? coz kwangu haipo tenaMwajiri wako anataarifa zako kwamba unahama? Kama hana nenda mwambie na mshirikishe, anakupitishia kama sio mwenye shida. Ila ndani ya siku 10 asipo itoa itaondoka automatically approved kwenda kwenye taasisi unayohamia..
Niliomba tarehe 22/10/2026 vacancy transfer ikawa ipo kwa mwajiri wangu. Leo nimeingia siioni. Maana yake kashaipitisha na imeenda kwenye taasisi nyingine? Nitajuaje kama alikubali au kakataa? coz kwangu haipo tena