Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

DaaaH imebidi nicheke aisee😂😂
 
Kuna kijana wa Parokian bunju miongoni mwao leo ana agwa R IP
 
Marekebisho kidogo...ilikuwa Bunju A, Mianzini
 
Ukweli ni kwamba ajali haikutokea Bunju B bali Maeneo ya mianzini ambayo ni Bunju A.

Imewaondoa duniani majirani watano wanaoishi sehemu moja... Ni msiba wa ujirani. Bahati mbaya zaidi dereva wa Lori aliyewagonga naye ni jirani akifahamiana vyema na marehemu wote....Wanne wameshazikwa na wa mwisho anazikwa leo, mida hii...

Majeruhi mmoja aliyesalia tayari kashatoka hospitalini.

Mungu yu mwema daima
 
Siwafahamu bali nafahamu hayo maeneo na nilijulishwa na mshikaji ana ofisi karibu na hapo.
Hamjambo Bunju?
Hatujambo mkuu. Hao wadau waliusimamisha mtaa kwa majonzi. Watu walishindwa waende kwenye msiba wa nani, maana ni majirani. Wakajikuta wanakutana baa ya jirani kuomboleza misiba yote kwa pamoja
 
Hatujambo mkuu. Hao wadau waliusimamisha mtaa kwa majonzi. Watu walishindwa waende kwenye msiba wa nani, maana ni majirani. Wakajikuta wanakutana baa ya jirani kuomboleza misiba yote kwa pamoja
Duuh poleni sana, hicho kipande cha barabara kuanzia kwa Jumbe hadi pale kwa Wagogo imekunywa damu nyingi sana hasa Mianzini kituoni.
 
Duuh poleni sana, hicho kipande cha barabara kuanzia kwa Jumbe hadi pale kwa Wagogo imekunywa damu nyingi sana hasa Mianzini kituoni.
Yeah kabla ya hii ajali siku 5 kabla yake watu wawili walidanja kwa ajali moja ya boda. Na juzi kati hapa tena bibi mmoja kagongwa na school bus na kudedi hapohapo.

Itabidi tumtafute Mshana Jr aje atutambikie barabara yetu
 
Wabongo na ulimbukeni wa magari hasa madereva dawa ni matuta hapo Lake oil, mianzini baa na mteremko wa Gudal
 
Na huyo Dada hapo Chini kushoto Pia au yeye ndio Majeruhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…