Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #181
Government may be defined as an institution of the state that is primarily concerned with governance and the general well-being of the people within it’s governance.
Mimi sikumaliza Chuo UDSM, Mkuu labda nimekosea definition unaweza ukanisahihisha hapo.
Mkuu samahani sana hayo ni mujibu ya Walimu wako waliokufundisha hivyo na ukakariri hivyo baada ya kukaririshwa hivyo, ningeomba nikuulize swali: Nchi yako ipo Ndani ya Serikali yako au Serikali yako ipo Ndani ya Nchi yako?Tukirudi kwenye dhana Yako ya mihimili ya Nchi.
Nchi Ili iitwe nchi lazima iwe na Watu, Ardhi, Utawala, utamaduni n.k.
Hakuna nchi isiyo na watu, Ardhi, utawala au utamaduni
Kwa Kichwa Mkuu....Hii uliitoa wapi Mkuu?
Mkuu samahani sana hayo ni mujibu ya Walimu wako waliokufundisha hivyo na ukakariri hivyo baada ya kukaririshwa hivyo, ningeomba nikuulize swali: Nchi yako ipo Ndani ya Serikali yako au Serikali yako ipo Ndani ya Nchi yako?
Ukijibu hili swali ndio utanielewa nilimaanisha nini nilipokwambia kwamba Nchi yako ili iwe Nchi lazima Mihimiri Mitatu inayojitegemea iwepo, Bunge linalojitegemea lenyewe bila ya kuingiliwa kinyume na Mahakama au na Serikali, Mahakama inayojitegemea bila kuingiliwa kinyume na Bunge au na Serikali, Serikali inayojitegemea bila kuingiliwa kinyume na Bunge au na Mahakama, bad enough ni kwamba kwenye Nchi uliyopo hakuna Bunge au Mahakama inayojitegemea zote zinaingiliwa kinyume na Serikali, hakuna Bunge au Mahakama inayoiingilia Serikali kinyume ila ipo Serikali inayoiingia Mahakama na Bunge kinyume
Usisahau nimesomasoma Sheria kidogo sio sana
Kwa Kichwa Mkuu....
Ndani ya Nchi kuna Serikali na ndani ya Serikali kuna Mihimiri mitatu. Nchi yako ipo ndani ya Serikali au Nchi ipo nje ya Serikali? Hio Mihimiri mitatu ipo nje ya Nchi yako au ndani ya Nchi yako?"Na Ni Kweli Nchi Ina Mihimiri Mitatu"......Na Si Serikali Ndio Ina Mihimili Mitatu....
Hapo kwenye bold sijaelewa Serikali ni Nchi au Nchi ni Serikali?Sheria ikiwemo katiba inasema serikali yetu ambayo ni ya kidemokrasia inamihimilo mitatu.
Hapo kwenye bold sijaelewa Serikali ni Nchi au Nchi ni Serikali?
Ndio nimekuuliza hio Mihimiri au Mihimili ya Ipo ndani ya Nchi au nje ya Nchi?Nchi ni kubwa kuliko Serikali. Kumbuka serikali unazungumzia utawala ambapo ni moja ya Muhimili wa nchi.
Mkuu twende taratibu usianze kujivuruga ujue kutofautisha kati ya Nchi na Serikali, vizuri sawa mkuu angalia ninapoweka bold kwa umakiniNchi sio serikali.
Serikali(utawala) ni sehemu au mhimili wa nchi.
Nchi ina mambo mengi serikali ni sehemu tuu ya nchi.
KwenyeserikaliNchi ya kidemokrasia ndio kuna hiyo Mihimili mitatu ambayo ni bunge, serikali kuu na Mahakama vyote vinashirikiana kwa separation of powers kuendesha nchi. Sijui unaelewa lakini.
Sawa Nchi Ina Mihimiri (3)Ndani ya Nchi kuna Serikali na ndani ya Serikali kuna Mihimiri mitatu. Nchi yako ipo ndani ya Serikali au Nchi ipo nje ya Serikali? Hio Mihimiri mitatu ipo nje ya Nchi yako au ndani ya Nchi yako?
Angalia vizuri ninapoweka bold na uelewe namaanisha niniKwenyeserikaliNchi ya kidemokrasia ndio kuna hiyo Mihimili mitatu ambayo ni bunge, serikali kuu na Mahakama vyote vinashirikiana kwa separation of powers kuendesha nchi. Sijui unaelewa lakini.
Unaweza ukaandaliwa na badaye ukaaenda against ya walio kuandaa na hao ndio viongozi wazuri.Chukulia mfano ayatollah khameneiNyerere aliandaliwa na wakoloni Ili aachiwe nchi,hana uspesho wowote, karume alikua ikulu dar wakati mapinduzi yanafanyika
Lissu hatafuti uhuru wowote,ni muhuni tu kibaraka wa wakoloni
Mkuu twende taratibu usianze kujivuruga ujue kutofautisha kati ya Nchi na Serikali, vizuri sawa mkuu angalia ninapoweka bold kwa umakini
Mnaomba au mnaamuru!! Shetani haombwi bali anaamrishwa.Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
Ndio nimekuuliza hio Mihimiri au Mihimili ya Ipo ndani ya Nchi au nje ya Nchi?
Unachanganya kutofautisha Nchi ni nini na Serikali ni nini? Serikali ni Taasisi ndani ya Nchi, unaelewa au wewe unavyojua na ulivyofundishwa kwamba Serikali ndio Nchi? Nani alikufundisha hivyo? Serikali ni kijitaasisi kimoja ndani ya Nchi, Nchi ina taasisi zingine zinazoifanya Nchi iwe Nchi bila hizo hakuna NchiNimeandika hivyo makusudi. Wala sijachanganya.
Tayari nilikutajia nguzo tano za nchi, utawala(serikali) i/ukiwepo. So sioni wapi unachanganya
😳 !🙄 !Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.