GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Île ya Dodoma nayo alikiuka sheria gani ?

By thé way yeye yupo tayari kunyongwa mbona hamfànyi ivo ?
 
Ipo siku ccm itagawanyika pande mbili, conservatives and democrats na huu ndio utakuwa mwisho wa utawala wa chama kimoja...

Ndani ya Ccm Kuna democrats na conservatives and both are fighting for ideologies..

Sijui ni lini ila siku inakuja, na ndio utakuwa mwanzo wa multiparty system
 
Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Nani kakwambia akilazimisha kupita atafika February bila mizinga 21 pale kati uhuru !!!
Haya mambo msiyachezeee kabisa


Britanicca
 
Kumuacha TAL uraian ni mbaya ila kumuweka deathrow ni mbaya zaid
 
Nilishawaambia, Oktoba 29 hatufiki, kuna li V8 la mtu linabiduka chaliii. Futatilieni utabiri wa Sheikh Yahya alioutoa mwaka 1993, umekuwa onpoint hadi sasa…,
 
Île ya Dodoma nayo alikiuka sheria gani ?

By thé way yeye yupo tayari kunyongwa mbona hamfànyi ivo ?
Yye anaomba apelekwe huko juu wakamhukumu harakaharaka, wao wanaahrisha ahrisha, C wangeanza na lile kubwa kwanza!? Anyongwe tujue 1, kama kwl ametenda koxa. C haki itendeke? - hii maahrisho wkt kuna koxa kuu ni njia 2 ya kumtexa, na Dunia inafatlia!
Kama vile imefkia "point of no return" - kumwachia balaa, kumtoa balaa, aibu ...dah!
 
Nimekuuliza unaizungumzia Serikali ipi Executive body au Government? Kiswahili na Kingereza ndipo walipotuvuruga, haya unaizungumzia Serikali ya Chama cha au Serikali na Chama cha yaan Executive body si ndio?
Sasa usichoelewa Nini?
Hujui executive body inatokana na Chama cha siasa bila shaka CCM
President (CCM)
V. President (CCM)
PM (CCM)
 
siasa za lissu sii nzuri, kelele zote za siasa mwisho wake hua ni wananchi wananufaika vp na wewe na sio kuchochea sintofaham, anatakiwa ajikite kwenye siasa zaidi ya harakati
mkuu harakati ni mwanzo wa kuwafunua wananchi kujua haki na wajibu wao
baada ya hili ndio wataanza kunufaika sasa kama watakupatia ridhaa ya kuwaongoza
 
Sasa usichoelewa Nini?
Hujui executive body inatokana na Chama cha siasa bila shaka CCM
President (CCM)
V. President (CCM)
PM (CCM)
Kwisha habari mimi naizungumzia Serikali (Government) sio Taasisi ya Serikali (executive body), sasa weengi wanafikiri executive body ndio Serikali yenyewe wakati hio executive body imekua treated as Serikali ya Chama cha na Chama cha sio Serikali ya Wananchi wa ambayo ndani ya hio Serikali ya Wananchi kuna Taasisi ya Serikali ambayo ni executive body sio Serikali ya Wananchi bali ni Serikali ya Chama ndio maana wanasema tunatekeleza Ilani ya Chama sio Ilani ya Serikali maana yake unaongozwa na Serikali ya Chama sio Serikali ya Wananchi, ushaelewa ndio maana nikakuuliza unaizungumzia Serikali ipi?
 
Mihimili ya serikali ni
Dola
Mahakama
Bunge
Dola laZima itokane na Chama cha siasa
Rais ni mwanasiasa
Makamu wa Rais ni mwanasiasa
Waziri mkuu ni mwanasiasa
Dola ndo ina jeshi, ina kusanya Kodi na mapato yote
Dola ndo inaziendendesha bajeti za mihimili hii
Dola ndo inateua Majaji na viongozi wa juu wa mahakama
Dola ndo inasaini sheria za kutekelezwa naahakama wala mahakama haiwezi kuhoji
Dola inaweza kupuuza na kubatilisha hukumu za mahakama mf Rais anatoka msamaha Kwa mfungwa yoyote mwenye adhabu yoyote na mahakama haina ubavu wa kugoma

Ndo maana nakwambia Kwa katiba yetu Kamwe mahakama zetu haziko huru laZima zitii Dola
 
Sasa wewe boya unavoona ni kweli Kuna Sheria inafuatwa kwenye mwenendo wa kesi yake ?? Au ndo shoga kujibadili jinsia aonekane mwanamke??
 
Sasa wewe boya unavoona ni kweli Kuna Sheria inafuatwa kwenye mwenendo wa kesi yake ?? Au ndo shoga kujibadili jinsia aonekane mwanamke??
relax gentleman na changia hoja bila makasiriko na kujitambulisha kwa wadau wa JF kwamba nawe ni lofa wa kisheria, na ukadhani kwa vile ni lofa basi utasamehewa kilofa lofa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…