Yes,Île ya Dodoma nayo alikiuka sheria gani ?
By thé way yeye yupo tayari kunyongwa mbona hamfànyi ivo ?
Nyie akili huwa hamna,hebu jisikilize kama hutosikia sauti ya uharoAmani kwa sababu wewe unalishwa na kuhongwa wakati wengine wantekwa na kuwawa au kufa kutokana na changamoto za miundombinu huduma na uwajibikaji?
Kanuni ni Ile Ile angalia wenzako kina polepole leo wanatoa milio ila awamu yao walishangilia vilio vya wenzao... Litakufika tuu hayawanirelax gentleman na changia hoja bila makasiriko na kujitambulisha kwa wadau wa JF kwamba nawe ni lofa wa kisheria, na ukadhani kwa vile ni lofa basi utasamehewa kilofa lofa 🐒
Kwa hivo nilivyo andika ni uongo??Nyie akili huwa hamna,hebu jisikilize kama hutosikia sauti ya uharo
Siyo uwongo bali pia inaakisi kiasi gani umejaza kamasi kichwaniKwa hivo nilivyo andika ni uongo??
eWatibeli tumewaomba, sisi hatushurutishagi watu, hatulazimishi watu kwani baada ya ombi ambalo ni kwa heshima mtu akikaidi ataelewa baada ya matokeo
akiendelea hivi naye hatamaliza hiyo awamu,atapokea kijiti mzee wa kusiniNa maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
hizo kanuni za kishirikina waeleze washirikina wenzako gentleman 🐒Kanuni ni Ile Ile angalia wenzako kina polepole leo wanatoa milio ila awamu yao walishangilia vilio vya wenzao... Litakufika tuu hayawani
We kaza fuvu la takohizo kanuni za kishirikina waeleze washirikina wenzako gentleman 🐒
kuporomosha matusi ndiyo nonsense pekee unayoweza gentleman, relax tu ikiwa huna pweinti 🐒We kaza fuvu la tako
ila wadada wengine! sawa tumekusikiaAcha anyooshwe yule aso adabu
Naunga mikoni, tumbo na miguuHamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
Walnao mtesa tundu Lisu wala hawana haja na Tundu lisu ila wana haja na Utundulisu.Wajue kua maumi wanampa TL ila utundulisi unajisikia amani na Furaha.Wanachotesa ni Ile Nafsi yake ya ndani Ambayo inapunzi ya Mungu. Mimi niwaambie ukweli mnaweza Mkafunga Tundulisu.Lakini hutundulisu hamtaweza kuufunga wala kuua. Kwasababu hicho kitu kina nguvu ya Mungu na Mungu kakiweka kwake kwa sababu maalumu.Wanao amrisha Tundulisu Ateswe abalagazwe wao na familia zao ndiyo wanapata shida zaidi kuliko Tundulisu Aliye ndani ya nondo.Najua wao wanamuona kama Tunddulisu ni mtu wa kawaida wanaweza waka treat kama kibaka yoyote.La hasha .Lisu pamoja ni viumbe kama viumbe walioumbwa na Mungu lakini ananguvu ya ziada ambayo mtu mwingine hana.Watu huzani mbingu ipo mbali sana ila Mbingu inaweza ikawa mtu aliye pewa Kazi na fulani na Muumba Kutoka 4.:16 Mungu anamwambia Musa kuwa wewe utakuwa mfano wa Mungu na Aruni atakuwa nabii wako na Mahali popote alipo Mungu ni Mbinguni na mahali Popote Mungu alipo mkaimisha mtu wake sehemu hiyo na mtu huyo ni mbingu.Lisu ni mbingu na huwezi ukaichezea mbingu ukawa salama..Hiyo nikanuni ya ulimwengu.(universe)Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
Ili afe mapema kama magu, naunga mkonoNa maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Mpaka adabu ziwarudi .Kw hiyo, waendlee kuahrisha ahrisha kexi! - mpaka lini?
ila wanaofanya utekaji wao wanatunza amani ya nchi??safiHakuna jambo baya kama kuharibu amani ya nchi
pamoja sana🙏Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
Walnao mtesa tundu Lisu wala hawana haja na Tundu lisu ila wana haja na Utundulisu.Wajue kua maumi wanampa TL ila utundulisi unajisikia amani na Furaha.Wanachotesa ni Ile Nafsi yake ya ndani Ambayo inapunzi ya Mungu. Mimi niwaambie ukweli mnaweza Mkafunga Tundulisu.Lakini hutundulisu hamtaweza kuufunga wala kuua. Kwasababu hicho kitu kina nguvu ya Mungu na Mungu kakiweka kwake kwa sababu maalumu.Wanao amrisha Tundulisu Ateswe abalagazwe wao na familia zao ndiyo wanapata shida zaidi kuliko Tundulisu Aliye ndani ya nondo.Najua wao wanamuona kama Tunddulisu ni mtu wa kawaida wanaweza waka treat kama kibaka yoyote.La hasha .Lisu pamoja ni viumbe kama viumbe walioumbwa na Mungu lakini ananguvu ya ziada ambayo mtu mwingine hana.Watu huzani mbingu ipo mbali sana ila Mbingu inaweza ikawa mtu aliye pewa Kazi na fulani na Muumba Kutoka 4.:16 Mungu anamwambia Musa kuwa wewe utakuwa mfano wa Mungu na Aruni atakuwa nabii wako na Mahali popote alipo Mungu ni Mbinguni na mahali Popote Mungu alipo mkaimisha mtu wake sehemu hiyo na mtu huyo ni mbingu.Lisu ni mbingu na huwezi ukaichezea mbingu ukawa salama..Hiyo nikanuni ya ulimwengu.(universe)