Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
- Thread starter
-
- #221
Don't come here to vomit your nonsense!Wewe ni mjinga,mpuuzi na zuzu haswaaaa
Hujajibu swali languKama unadai Mungu ndiye muumbaji wa binadamu, Kwa nini Mungu aruhusu binadamu awe na uwezo wa kutenda mabaya?
Wakati Mungu huyo alikuwa na uwezo wa kutoruhusu binadamu asifanye mabaya tangu mwanzo?
Huyo Mungu kama kweli yeye ni muumbaji wa binadamu, alikuwa na uwezo tangu mwanzoni wa kuweza kumfanya kiumbe binadamu atende mema tu, Sasa alishindwaje kufanya hivyo?
Jinsia mbili zimekuwepo milele naturally.
Sijasema "Muumbaji" Swali langu ni..... huoni kama mifumo iliyopo inaonekana imeundwa kitaalamu?Ikiwa mifumo tata inahitaji muumbaji, basi muumbaji naye anahitaji muumbaji aliye tata zaidi.
Hilo linapelekea msururu mrefu usio na mwisho wa waumbaji, ambapo kila mmoja anakuwa tata zaidi kuliko aliyemtangulia.
If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex.
Hata huo utaalamu hauwezi kuwepo wenyewe by coincidence.
Hapa sasa tunarudi kwenye infinite regress of causes.
An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever. There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
Thibitisha,....Jinsia mbili zimekuwepo milele naturally.
tutatu tuchache jaribu hata tutano kwani iko nene.Natafuta mpenda ngono mwenzangu..
Tufyatue tutotoo twetu tutatu tu.
Mambo yasiwe mengi.
HahahaMungu hayupo.
Ndio maana kuna zaidi ya Mungu 500+ wanaoaminiwa na watu. Na kila mtu anadai Mungu wake ndio wa kweli.
Wakristo wana amini Yesu ni Mungu.
Waislamu wana amini Allah ni Mungu.
Wahindu wao wana amini Vishnu na Krishna ndio Mungu.
Wagiriki wao wana amini Zeus ndio Mungu.
Hakuna Mungu wa kweli. Kwa sababu Mungu hayupo.
Kuna imani nyingi za watu tu kuamini kitu ambacho in reality hakipo.
Mungu ni dhana ya kufikirika tu ambayo in reality haipo.
Watu wana amini illusion tu. Ndio maana kila mtu ana amini kivyake vyake.
Maraisi wana apa kwa kushika Biblia na msaafu kulingana na imani zao tu.
Lakini haimaanishi kwamba kuapa kwao kuna thibitisha uwepo wa Mungu huyo.
Usawa huu Mkuu..tutatu tuchache jaribu hata tutano kwani iko nene.
besen la kazi gani my dear mtoto mloweke kwene ndoo mpake mafuta ya mboga then alale uoshe hiyo ndoo ifanye kazi zingne. Kwan besen la 150k linakuja na chakula cha mtoto wewe naniliu yaan uogope watoto kisa beseniUsawa huu Mkuu..
Beseni la mtoto 150K.
Tutatu tu
Mkuu can you justify your claim vividly?Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Umemaliza kila kitu mkuu. Uzi ufungwe✍️Aya ya kwanza na ya pili vinapingana. Kama ni matokeo ya ngono mke wa mchungaji ingeshika tu maana anafanya ngono.
Suala la MUNGU ni la kiimani, wapo wanaosali kupata mtoto na wanampata baada ya miaka mingi ya kufanya ngono bila mafanikio.
Uliendelea mno mkuu. Tukajadili mpaka off point kabla ya mimi kuendelea na mambo mengine na kuwaacha wengine wakijadili.Umemaliza kila kitu mkuu. Uzi ufungwe✍️
Una uhakika gani na uthibitisho gani kwamba imeundwa?Sijasema "Muumbaji" Swali langu ni..... huoni kama mifumo iliyopo inaonekana imeundwa kitaalamu?
Kama hujui tumefikaje hapa, utasemaje mifumo imeundwa?Pia kimsingi ni kwamba wewe ni kama Binadamu wengine tu hujui umefikaje hapa na hujui wapi unaelekea,.... kinachobaki unafanya assumptions tu ambazo huna uhakika nazo, so hutakiwi kulazimisha kwamba wewe ndiyo upo sahihi kuliko wengine wakati ukiambiwa uthibitishe arguments zako huwezi,...
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.Kwa dunia ya sasa ilipofikia Kila mtu aamini katika kile anachoona ni sahihi kwake
Huyo Mungu hayupo na wala hajawahi kuwepo.Hahaha
Mungu akuongoze ww na sisi sote
Sawa, tuombe kheri Mkuubesen la kazi gani my dear mtoto mloweke kwene ndoo mpake mafuta ya mboga then alale uoshe hiyo ndoo ifanye kazi zingne. Kwan besen la 150k linakuja na chakula cha mtoto wewe naniliu yaan uogope watoto kisa beseni
nitafute tuyajenge kuhusu watoto usiogopeSawa, tuombe kheri Mkuu
Eeeeh!! Unataka uwe ba mtu wangunitafute tuyajenge kuhusu watoto usiogope