Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

90% ya walimu wanapeleka watoto wao private. Make wanajua huku santa kayumba hamna la maana braa braaa za wanasiasa nyingii
 
Sure. Tufocus katika ufundishaji bana sio mavazi... tutafute namna ya kufunza watoto wawe na uwezo wa kufikiri na kupambana na changamoto za kila siku na sio watu kichwani 0 ila vinara wa kuchomekea na kuvaa tie. Matokeo yake ndio hivi sasa tunajaza mafisadi ofisini...
Kwa tafiti yangu ndogo, nimeona kua shule nyingi za kiislamu wanafocus sana katika tabia, mavazi etc... matokeo yake zinakua kati ya shule zinazofanya vibaya zaidi kitaaluma...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchomekea kunachangia vp mwanafunz kufaulu???
 
Na watoto wa kike wanavaa nguo fupi na kuzivuta juu maksudi yaani kiufupi wanavaa uchi.
 
Waache tu wale ujana wajiajiri kwenye mitindo washaanbiwa hakuna ajira
 
Mzazi hakikisha mwanao akitoka nyumbani mkague, sare za shule zisimamie na umpe onyo kwamba nikikuta suruali au shati limepunguzwa ole wako.... sisi walimu hatuna huo muda
 
Hakuna kitu nilikuwa sipendi kama kuchomekea, kuvaa surual yenye marinda, kuvaa viatu vya kamba, kuvaa tai, kuvaa bwanga , kubeba madaftari mengi ilikuwa mwiko kwangu ,na kuvifungo vya shati nikikuwa sifungi vya juu ila hii tabiq ya kuvaa njiwa sijuia wamerithi kwa nani
 
Yanatokea hayo MAWAZIRI ELIMU MPO, WAZIRI TAMISEMI UPO, Wakurugenzi mpo, maafisa elimu mpo, wakuu wa shule mpo, walimu mpo MNAANGALIA
Hapo waziri ana husika vipi mbona unaongea Kama umekatwa kichwa
 
Sio issue as long as ni wasafi, wanavaa na wanajisitili vizuri bila kuwa uchi au karibu na nusu uchi ,uvaaji sio issue kubwa sana na haina uhusiano na nidhamu ya mwanafunzi, ningekuwa mimi ningeondoa issue ya uniform kabisa au ingekuwa choice ya mtu, waliotuletea hizo uniform wenyewe walishaacha kuvaa sare zinazofanana shule nzima, mfano US hakuna kitu kinaitwa uniform kwa wanafunzi (ondoa some private schools) wanavaa chochote as long as hawako uchi, tusisitize usafi sio uniform
 

masharobalo wazuri tu
 
Nalo neno
 
Ila tukumbuke ni watoto wetu unavyokuw unazan kuw ni jukumu la mwl ikiw yeye anajukumu la [emoji817] kuw darasa kufundsh unamuach mwanao anatok nyumbn amevaa shati ajachomek au unifomu yake hai sapot kuchomekea unasem n kaz mwl


Anza wew kwako akitoka nyumbn awe amevaa ipasavyo dunia sasa ina mambo mengi dili na chako sana...
Inshu ya kuchomekea shati haiwez kuwa ya mzaz hata siku moja
 
Wakulaumiwa ni walimu na wazazi Kwa pamoja.,
Wazazi wengi hawawafatilii watoto wao huko mitaani.
Watoto wengi wakitoka nyumbani kwao wanakuwa wapo vzr mfano kuchomekea,
Suruali anaishusha hadi miguuni,

Akishatoka mtaani ,,huko atakunja suruali nakuwa "don't touch ".
Na ataingia class akiwa kama hivyo suruali "don't touch ",
Na walimu hawaongei chochote,

Nilimfatilia kijana wangu wa form 1, nikaja gunduwa hilo,,

Nilipiga ngumi kama napiga mwizi.

Leo heshima na adabu,,
 
Ngumi kama Mandonga
 
NDOIGE ndo ulimpatia
 
Do you know anything about foolish. Age?..
Foolish age is so illusionary, I have seen a number of grown ass fools in my lifetime. Don’t get it twisted homie, gotta have hope for the youth unless otherwise you ain’t got no hope for the future. Let em’ kids be.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…