Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure. Tufocus katika ufundishaji bana sio mavazi... tutafute namna ya kufunza watoto wawe na uwezo wa kufikiri na kupambana na changamoto za kila siku na sio watu kichwani 0 ila vinara wa kuchomekea na kuvaa tie. Matokeo yake ndio hivi sasa tunajaza mafisadi ofisini...Akili ya Mwanafunzi inapimwa kwa Kuchomekea Kwake Sare zake za Shule?
Wengine tumechapwa mno Bakora kwa Utundu, ila bado tulitusua vile vile Kitaaluma.
Kuna Shule moja Kinondoni ina Jina la Kiongozi mkubwa nchini na 24/7 Wanafunzi wake Wanachomekea Uniforms zao na wana Nidhamu mno ila Kila Matokeo ya Kidato cha Nne yakitoka huikosi katika Top Ten ya Mapopoma ( Wapumbavu ) je, hapo huko Kuchomekea Kwao kumewasaidia nini Kitaaluma?
GENTAMYCINE napenda mno na sana Wanafunzi Watukutu ( very Naughty) ila ni Werevu Kiasili na hata Shuleni pia Wanatusua ( Wanafaulu ) vyema.
Kuchomekea kunachangia vp mwanafunz kufaulu???Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea?
Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!
Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea!
Hata ukitazama hizo suruali wanazovaa nyingi ni njiwa (yaani hazifuniki kiwiko) Mashati yao ya shule mengi ni madogo hayafiki kiunoni (Vitopu) Wengine hawana hata vibebeo (mabegi) wanabeba daftali kitozi mkononi Haya yote yanatia sana mashaka tunaandaa wasomi gani
Je, hii style ya uvaaji tunaandaa watumishi wenye sifa gani huko baadae?
Je, nani anastahili hizo lawama? Wizara, wazazi au walimu?
Au tusubiri watumishi wasio na nidhamu baadae ndipo tuwakanye!?
Waache tu wale ujana wajiajiri kwenye mitindo washaanbiwa hakuna ajiraHili bomu la utovu wa nidham nani analilea?
Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!
Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea!
Hata ukitazama hizo suruali wanazovaa nyingi ni njiwa (yaani hazifuniki kiwiko) Mashati yao ya shule mengi ni madogo hayafiki kiunoni (Vitopu) Wengine hawana hata vibebeo (mabegi) wanabeba daftali kitozi mkononi Haya yote yanatia sana mashaka tunaandaa wasomi gani
Je, hii style ya uvaaji tunaandaa watumishi wenye sifa gani huko baadae?
Je, nani anastahili hizo lawama? Wizara, wazazi au walimu?
Au tusubiri watumishi wasio na nidhamu baadae ndipo tuwakanye!?
Hapo waziri ana husika vipi mbona unaongea Kama umekatwa kichwaYanatokea hayo MAWAZIRI ELIMU MPO, WAZIRI TAMISEMI UPO, Wakurugenzi mpo, maafisa elimu mpo, wakuu wa shule mpo, walimu mpo MNAANGALIA
Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea?
Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!
Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea!
Hata ukitazama hizo suruali wanazovaa nyingi ni njiwa (yaani hazifuniki kiwiko) Mashati yao ya shule mengi ni madogo hayafiki kiunoni (Vitopu) Wengine hawana hata vibebeo (mabegi) wanabeba daftali kitozi mkononi Haya yote yanatia sana mashaka tunaandaa wasomi gani
Je, hii style ya uvaaji tunaandaa watumishi wenye sifa gani huko baadae?
Je, nani anastahili hizo lawama? Wizara, wazazi au walimu?
Au tusubiri watumishi wasio na nidhamu baadae ndipo tuwakanye!?
Nalo nenoSio issue as long as ni wasafi, wanavaa na wanajisitili vizuri bila kuwa uchi au karibu na nusu uchi ,uvaaji sio issue kubwa sana na haina uhusiano na nidhamu ya mwanafunzi, ningekuwa mimi ningeondoa issue ya uniform kabisa au ingekuwa choice ya mtu, waliotuletea hizo uniform wenyewe walishaacha kuvaa sare zinazofanana shule nzima, mfano US hakuna kitu kinaitwa uniform kwa wanafunzi (ondoa some private schools) wanavaa chochote as long as hawako uchi, tusisitize usafi sio uniform
Unaelewa maana ya sareKwani haya mavazi na huko kuchomekea kuna athiri nini katika uelewa wa wanafunzi hebu tuache ukale
Inshu ya kuchomekea shati haiwez kuwa ya mzaz hata siku moja
Ngumi kama MandongaWakulaumiwa ni walimu na wazazi Kwa pamoja.,
Wazazi wengi hawawafatilii watoto wao huko mitaani.
Watoto wengi wakitoka nyumbani kwao wanakuwa wapo vzr mfano kuchomekea,
Suruali anaishusha hadi miguuni,
Akishatoka mtaani ,,huko atakunja suruali nakuwa "don't touch ".
Na ataingia class akiwa kama hivyo suruali "don't touch ",
Na walimu hawaongei chochote,
Nilimfatilia kijana wangu wa form 1, nikaja gunduwa hilo,,
Nilipiga ngumi kama napiga mwizi.
Leo heshima na adabu,,
NDOIGE ndo ulimpatiaWakulaumiwa ni walimu na wazazi Kwa pamoja.,
Wazazi wengi hawawafatilii watoto wao huko mitaani.
Watoto wengi wakitoka nyumbani kwao wanakuwa wapo vzr mfano kuchomekea,
Suruali anaishusha hadi miguuni,
Akishatoka mtaani ,,huko atakunja suruali nakuwa "don't touch ".
Na ataingia class akiwa kama hivyo suruali "don't touch ",
Na walimu hawaongei chochote,
Nilimfatilia kijana wangu wa form 1, nikaja gunduwa hilo,,
Nilipiga ngumi kama napiga mwizi.
Leo heshima na adabu,,
🤣🤣🤣😂😂😂Kwani ukijiajiri ndio hutakiwa kuchomekea?Ndio maana unakuta mfanyabiashara mkubwa ukimuangalia kavaa shati kubwa linapepea na suruali kama Braza K
Foolish age is so illusionary, I have seen a number of grown ass fools in my lifetime. Don’t get it twisted homie, gotta have hope for the youth unless otherwise you ain’t got no hope for the future. Let em’ kids be.Do you know anything about foolish. Age?..