Unamwambia mtoto, aache kukupandia pandia, mama'ke ataelewa kuwa hukubaliani na mambo hayo. Atakuelewa tu.Unazungumziaje Wale Watoto akija Mgeni, Mara avutwe Shati, ashikwe nywele, mara mtoto kampanda mgongoni Mgeni huku Mama yake anacheka tu.
Ndiyo nyie walezi wa dot com. Mwachie achezee, si umeyataka mwenyewe.Aha mimi siwazagi hayo yote
Kwamba pesa ndo inawafanya wawe mashoga?Ni pesa ndio inewafanya ivyo
Siyo lazima akemewe, anafahamishwa anaelewa.Ni malezi mabaya wazazi hawakemei ndo Mana mtoto wa saiz kila anayemuona anamzoea haraka
Acha ujinga wa magharaibi. Uliwahi kuona wapi mgeni anaosha vyombo katika hospitality ya kiafrica? Hata Ulaya ni Mila zilizokuja na exegerated liberalism. To be educated doesn't amount to being western. Watoto Lazima wafundishwe namna ya kuwatreat wageni.Huyo mtoto anapata malezi mema. Ameshajifunza kuwa plate yake asimwachie mtu akambebea, na huko anaenda kuiosha mwenywe. Ulitaka plate yako akubebee nani?
Tatizo sio single mama, tatizo ni mwanaume aliyekataa mimba, ushoga unasababishwa na wanaume, either direct or indirect.Single maza wanawalea watoto wa kiume kichoko choko sana angalia hata mastaa single maza watoto wao wa kiume ni mashoga kabisa
Sikatai pia hata walio katika familia za wazazi wote napo mashoga wamo
Ndiyo yanakuwaje hayo?Malezi ya Kishua na Kizungu sanaaaa ndio yanaharibu watoto
Umeambiwa beba sahani yako beba.Acha ujinga wa magharaibi. Uliwahi kuona wapi mgeni anaosha vyombo katika hospitality ya kiafrica? Hata Ulaya ni Mila zilizokuja na exegerated liberalism. To be educated doesn't amount to being western. Watoto Lazima wafundishwe namna ya kuwatreat wageni.
Sibebi na sukubeba. Siwapangii na hawanipangiiUmeambiwa beba sahani yako beba.
Kama ni mgeni wa kuja na kuondoka utaambiwa, wacha usihangaike, kama ni ngeni wa kufikia hapo ndiyo uuelewe utaratibu wa hapo.
kama huwezi unaacha unaondoka, wacha ujuwaji wa kutaka kuwapangia watu maisha yao.
Kuna ukweli ndani yake, hata wanaoanza kuwaharibu watoto ni wanaume.Tatizo sio single mama, tatizo ni mwanaume aliyekataa mimba, ushoga unasababishwa na wanaume, either direct or indirect.
Msiwasingizie wanawakeee.
Ulienda kufanya nini kwa watu? Nyie ndiyo walewale mliolelewa kwa kubweteka, kila kitu ufanyiwe.Sibebi na sukubeba. Siwapangii na hawanipangii
Usiassume mambo. Utamaduni wetu ni kuwaserve wageni. Wakija kwangu pia nawaserve. Mambo ya kufanyiwa unayotoa wapi?Ulienda kufanya nini kwa watu? Nyie ndiyo walewale mliolelewa kwa kubweteka, kila kitu ufanyiwedon
NtUlienda kufanya nini kwa watu? Nyie ndiyo walewale mliolelewa kwa kubweteka, kila kitu ufanyiwe.
Kwani mgeni kubeba sahani yake ndiyo kuto m-serve ? Walishe kabisa wageni wako, upo huru, lakini usipangie watu maisha yao.Usiassume mambo. Utamaduni wetu ni kuwaserve wageni. Wakija kwangu pia nawaserve. Mambo ya kufanyiwa unayotoa wapi?
Wewe mbona unanipangia . unanikataza kuwapangia watu kwa kinipangia nisiwapangie. Akili ndogo.Kwani mgeni kubeba sahani yake ndiyo kuto m-serve ? Walishe kabisa wageni wako, upo huru, lakini usipangie watu maisha yao.
Upo kwao ni mgeni, huwezi kuwa mgeni halafu ukampangia maisha aliyekukaribisha kwake.Wewe mbona unanipangia . unanikataza kuwapangia watu kwa kinipangia nisiwapangie. Akili ndogo.
Nilivizia mama yake kaenda jikoni,Unazungumziaje Wale Watoto akija Mgeni, Mara avutwe Shati, ashikwe nywele, mara mtoto kampanda mgongoni Mgeni huku Mama yake anacheka tu.
Dogo mmoja niko kwao nadiscuss kitu akaniambia shut up naangalia katuni.Exactly mkuu watoto inabid waheshimu vitu ya mgeni na wawe na heshima na mgeni utakuw upo sebuleni unaangalia tv anakuja na kubadirisha channel anawek cartoon
Ila na wew hapo ulikosea why ufanye ivyoDogo mmoja niko kwao nadiscuss kitu akaniambia shut up naangalia katuni.
Nikamwambia ntazima TV kama ndio inakupa jeuri akajibu "kwani siwezi kuwasha"
Nilichomoa adapter ya king'amuzi ukutani na hakuna aliyeniambia kitu
Nenda kasome tafsiri ya neno "Udini" kwenye kamusi ya Kiswahili na utaeelewa namaanisha nini!!Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam, itabidi uache wewe udini. Utaumia sana, Uislam na mimi ni kama bahari ya hindi na chumvi, hatuachani.
Aseme aliuegesha tu!!Ukiufunga ataingiaje? Hapo haiingii akilini.