Sawa sawa ... Kwanza mkuu mi kiufupi na ndugu zangu tunaogopa sana maji..
Tutabaki huku huku aiseeee huko hapana πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mi naenda mara kadhaa huko ila mwisho mwezi wa tano, wajinga wale wabaguzi sana
 
Mfahamu hapa inatumika hekima ya tamaduni sio dini.

Mfano kule ulaya kuna tamaduni matamasha ya LGBT jee hapa Tanzania wakisema waje wafanye mtakubali kwa tamaduni zenu?.
Mkuu, issue hapa ni uroho. Acheni uroho mkifunga, wwe umefunga kula alafu hutaki kuona watu wanakula eti wanakutamanisha sasa hapa si bora usifunge tu tena mnakamata mpaka mama ntilie wanaopikia ndani kwao
Alafu umetoa mfano hauna maana, ushoga sio utamaduni wa ulaya ni tabia imeanza recently kuleta vikundi kabla ya hapo haukukubalika na hata sasa wazungu sio wote wanaukubali, tamaduni ni tabia na mwenendo ambao umekubalika na jamii fulani kwa kipindi cha miaka mingi, vizazi na vizazi
 
Chukulia uko ofisini kwako karibia staff wenzako wengi wamefunga,,,je unaweza kula mbele yao? Busara tu ya kawaida itakuelekeza nini?
Kwani shida ipo wapi ? Mtu aliefunga kwa imani hata ukila mbele yake wala si tatizo, kafunga kwa imani sio kwamba kashinda njaa kama mtu anaefanya diet.
 
Pumbavu mama yako..Udini tu
 
Ile ni serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) au serikali ya Kiislamu ya Zanzibar (SKZ)?
 
Kwani mi nikila wao imani yao inathirika na nini? Unafunga kumfurahisha mtu au Mungu wako?
Kuna utofuti wa kufunga na kufanya diet kwa kujifosi kushinda njaa, anaefunga hababaiki lakini anaefanya diet mnamuingiza tamaa ana haki ya kulalamika.
 
Si ijulikane tu kuwa serikali ya zanzibar ni ya kislam, sasa kama polisi inakamata watu wanaokula mchana huo ni uvunjifu wa haki za binadam

Wakiwapeleka mahakamani watawahukumu kwa sheria gani?
 
Mfahamu hapa inatumika hekima ya tamaduni sio dini.
Mfungo wa ramadhani ni suala la Dini sio tamaduni,ni jambo la ajabu sana kwa baadhi ya wazanzibari kujimilikisha suala hili la dini na wakadai eti ni utamaduni wao.
 
Chukulia uko ofisini kwako karibia staff wenzako wengi wamefunga,,,je unaweza kula mbele yao? Busara tu ya kawaida itakuelekeza nini?
Sasa ukajifiche wapi na upo ofisini ndani ?

Au utoke ukale nje ambako utaambiwa unakula hadharani mkuu ?

Katika uisilamu sio dhambi kula mbele ya mtu aliyefunga,bali dhambi ni kwa anayekula kama kaamua asifunge na sio atapata dhambi kwa kula mbele yako
 
Chukulia uko ofisini kwako karibia staff wenzako wengi wamefunga,,,je unaweza kula mbele yao? Busara tu ya kawaida itakuelekeza nini?
kwanini nishindwe kula mbele yao, kufunga wafunge wao tupateshida wote huu upuuzi wa wapi??

hii dini ya kiisilamu imekua tatizo kila sehemu duniani, hivi wa buddha wa hindu wa kristo nao wakianza vitu kama hivi hii dunia itakalika kweli??
 
Mfungo wa ramadhani ni suala la Dini sio tamaduni,ni jambo la ajabu sana kwa baadhi ya wazanzibari kujimilikisha suala hili la dini na wakadai eti ni utamaduni wao.
tatizo vichwa vyao vimejazwa elimu ahela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…